digalangosha
JF-Expert Member
- Aug 30, 2013
- 1,574
- 2,292
Kama wanahisi watenda peponi basi waende kwenye sabato.....
Aiseee wasababto wanazingua sana kila mtu angeamua kuata imani yake maisha yasingeenda kabisa, kuna paper UE fulani miaka ya pale UDSM ratiba ilikuwa ijumaa saa 12jioni Duuh ilikuwa shida wakaandika barua hawafanyi watafanya kipindi cha sup.....ile ya kaisari mpe kaisari wasababto hawana,too much sanaHabari wana jamii!
Zikiwa zimebaki siku chache tu kabla ya kufanyika kwa mahafari ya kuhitimu chuo kikuu, nina sikitika kuona kwamba rafiki zangu wengi wasabato hawachangamki kabisa.
Jana tumetoka kulipia majoho lakini nikashangaa kuona rafiki zangu wasabato hawalipii (siowote) na sababu kubwa ya kutolipia ni kwamba sherehe hiyo ya kuhitimu chuo inafanyika siku ya jumamosi ambayo ni siku yao ya kuabudu.
Idadi kubwa ya vyuo vikuu nchini hapa hufanya sherehe hizi siku ya jumamosi hivyo kuwanyima nafasi ya kushiriki ndg zetu hawa wasabato.
Na ninyi wasabato mje hapa mtuambie ubaya wa kushiriki siku ya jumamosi maana kwa mtizamo wangu siku hiyo hufanyi kazi ni sawa na kupumzika kabisa huku ukifrahia kujumuika na wenzako.
Karibuni tueleweshane.
Mungu nisaidie nifike chuo Kikuu, mungu nisaidie nimalize chuo salamaaa..... Anakusaidia unahitimu salama ila unakataa kwenda kwenye mahafari maana yake ni nini sasa daaaahKama mambo ukikurupuka unageuka kuwa mtumwa..maandiko yako wazi ..Yesu aliuliza ni nani kwenu ng'ombe wake akitumbukia shimoni siku ya sabato hata mtoa?
Imani zingine ni mateso makubwa kwakweli...wana heri wa Muabudio Mungu ktk roho na kweli na wala si kwa siku wala muandamo wa mwezi
Hao jamaa ni hatari,ninawajua vema sanaKugomea interview kisa dini sio sawa huenda angepata kazi akasaidia familia yake
Sabato haijaletwa na mzungu sabato kaileta ALIYE kuumba wewe
Ushauri kuntu kabisaWalimu wengine wanakuaga na vipindi mpaka jumapili sijawahi kusikia wanaosali jumapili wakilalamika.
Kwanini kila siku wasabato ndio hupenda kuonesha wanaonewa. Acheni kuabudu siku abudu Mungu. Mungu pekee ndio ana abudiwa sio siku
Umeongea point sana mkuu na Leo ndio nimejua kua wahindi hawakupelekewa dini kama sisiAcha kutisha watu wewe! Jibu hoja!!!
Nimisema Wazungu na Wasabato walileta Ukiristo kama chombo cha kukutawala sisi Waafika!! Sasa wewe kwa nini unatisha watu?
Wahindi, Wajapani wana dni zao hadi lei hii.. ila Mwafrika aliacha dini zake akakubali kutumia dini ya Mzungu na Mwarabu!
Nini hapo huelewei!!
Jibu hoja na acha kutisha watu!
Umewapa ushauri wa kimungu kama ni wa Mungu kweli watasikia kama ni wa mungu helene white lazima watoe povuWalimu wengine wanakuaga na vipindi mpaka jumapili sijawahi kusikia wanaosali jumapili wakilalamika.
Kwanini kila siku wasabato ndio hupenda kuonesha wanaonewa. Acheni kuabudu siku abudu Mungu. Mungu pekee ndio ana abudiwa sio siku
HAO WANAOKUSAPOTI LEO WATAKUPOTEZAPia haviwatendei haki Waislamu kwa kuendelea na shughuli zake kama kawaida siku za Ijumaa??
Tume ya uchaguzi pia haiwatendei haki wakristo kwa kufanya uchaguzi siku za Jumapili?
Serikali pia haitutendei haki wanandoa maana tulipaswa tupumzike siku ya Jumatatu.
Visabato masalia vina lalamika kama makalio ya konki konki...
Nchi hii haina dini mkuuHabari wana jamii!
Zikiwa zimebaki siku chache tu kabla ya kufanyika kwa mahafari ya kuhitimu chuo kikuu, nina sikitika kuona kwamba rafiki zangu wengi wasabato hawachangamki kabisa.
Jana tumetoka kulipia majoho lakini nikashangaa kuona rafiki zangu wasabato hawalipii (siowote) na sababu kubwa ya kutolipia ni kwamba sherehe hiyo ya kuhitimu chuo inafanyika siku ya jumamosi ambayo ni siku yao ya kuabudu.
Idadi kubwa ya vyuo vikuu nchini hapa hufanya sherehe hizi siku ya jumamosi hivyo kuwanyima nafasi ya kushiriki ndg zetu hawa wasabato.
Na ninyi wasabato mje hapa mtuambie ubaya wa kushiriki siku ya jumamosi maana kwa mtizamo wangu siku hiyo hufanyi kazi ni sawa na kupumzika kabisa huku ukifrahia kujumuika na wenzako.
Karibuni tueleweshane.
Hao wanaosali jumapili hawalalamiki maana TARATIBU za dini zao zinawaruhusu Kufanya kazi hata kulima siku ya ibada,SASA unataka walalamike nini?Walimu wengine wanakuaga na vipindi mpaka jumapili sijawahi kusikia wanaosali jumapili wakilalamika.
Kwanini kila siku wasabato ndio hupenda kuonesha wanaonewa. Acheni kuabudu siku abudu Mungu. Mungu pekee ndio ana abudiwa sio siku
Mkuu nisaidie, hua mnahesabu vipi hadi mnajua kwamba siku ya saba aliyopumzika Mungu ilikua ni jumamosi? Huu mfumo wa kuhesabu siku kwa majina haya ya jumamosi, pjl, j3 etc ulikuwepo tangu lini?HAO WANAOKUSAPOTI LEO WATAKUPOTEZA
UNACHOSHINDWA KUELEWA NI KUWA KILA IMAN NA TARATIBU ZAKE
Waroma na watoto zake wanaosali jumapili hawa , wamekiuka biblia , hawapumziki wao wakimaliza misa , ni kucheza na kunywa na kuondoka
Waislamu wao wameambiwa na quran wakimaliza kuswali Ijumaa waendelee na shughuli
Waaadventista wanafata biblia inasemaje, biblia inasema SABATO ni siku ya kustarehe na kumuabudu Mungu, na kuacha shughuli nyingine
Isaya 58:13., kutoka 20:8-11
HIVO USICHUKULIE TARATIBU ZA IBADA YA SDA sawa na hao ambao baada ya sala wanaruhusiwa hata kulima , au kucheza ndombolo ya solo
View attachment 926084
Nendeni kwani mnapunguza nini mkikosa? Mkajipange vzr kusafiri nje bila ya tiketi wala passportNdo maana tumekaa kimya,cku hiyo ni kanisani tu.
Kwani wewe unasali dini na dhehebu gani ili nikujibu kwa mujibu wa DINI au dhehebu lakoMkuu nisaidie, hua mnahesabu vipi hadi mnajua kwamba siku ya saba aliyopumzika Mungu ilikua ni jumamosi? Huu mfumo wa kuhesabu siku kwa majina haya ya jumamosi, pjl, j3 etc ulikuwepo tangu lini?
As long as dhamira ni kumuabudu Mungu muumbaji siku haimati maana Yesu alisema imewapasa kumwomba Mungu siku zote.......nyie mnaong'ang'ania jumamosi tu endeleeni na mbinguni hamuendi ng'o maana mnapinga Roho MtakatifuHAO WANAOKUSAPOTI LEO WATAKUPOTEZA