susan daudi
Senior Member
- Oct 17, 2018
- 110
- 134
asante kwa swali lako zuri , kufanya kazi siku ya j mosi ni dhambi kwa sababu mungu alifanya uumbaji ndani ya siku sita na siku ya saba[j mosi ] alipumzika siku hiyo aliitakasa na kuibariki , siku hiyo hautakiwi kufanya kazo yoyote ile mbali na kuabudu 222222222222222Habari wana jamii!
Zikiwa zimebaki siku chache tu kabla ya kufanyika kwa mahafari ya kuhitimu chuo kikuu, nina sikitika kuona kwamba rafiki zangu wengi wasabato hawachangamki kabisa.
Jana tumetoka kulipia majoho lakini nikashangaa kuona rafiki zangu wasabato hawalipii (siowote) na sababu kubwa ya kutolipia ni kwamba sherehe hiyo ya kuhitimu chuo inafanyika siku ya jumamosi ambayo ni siku yao ya kuabudu.
Idadi kubwa ya vyuo vikuu nchini hapa hufanya sherehe hizi siku ya jumamosi hivyo kuwanyima nafasi ya kushiriki ndg zetu hawa wasabato.
Na ninyi wasabato mje hapa mtuambie ubaya wa kushiriki siku ya jumamosi maana kwa mtizamo wangu siku hiyo hufanyi kazi ni sawa na kupumzika kabisa huku ukifrahia kujumuika na wenzako.
Karibuni tueleweshane.