Vyuo vikuu nchini haviwatendei haki wasabato??

Vyuo vikuu nchini haviwatendei haki wasabato??

China wangekuwa wanaendekeza ujinga kama huuu, wasingekuwa hapo walipo hivi sasa....

Russia walipiga marufuku Mashahidi wa Jehova, na mimi ningekuwa na mamlaka kwenye hii nchi ningewakusanya sehemu moja wote na kwenda kuwafungia kwenye kambi moja wote na kuwafanyishia kazi siku ya jumamosi bila kuwapa chakula, kama China walivyo fanya.........
 
Ya wanandoa imeniacha hoi , ndoa inafungwa jumamosi , kuamkia jumapili inawatosha , mapumziko ya nini jumatatu ?
 
Hakuna anayeabudu siku, kama ni hivo bas wa kwanza ni Mungu , maana hata YESU alitunza sabato, luka 4:16 ,sasa niambie ALIABUDU SIKU?

WEWE biblia gan imekupa mandate ufanye ibada jumapili?
Na wewe una uhakika gani kuwa sabato ni Jumamosi?

Hii naming ya Jumatatu, jumanne, jumatano, alhamis, ijumaa, jumamosi na jumapili imeandikwa wapi kwenye biblia?

What if hiyo sabato ya enzi hizo ndo jumapili ya sasa?
 
NIMEIGA UNAFIKI KWA HUYU

Yesu ilikuwa ni kwenda kuabudu katika sinagogi siku ya Sabato (Luka 4:16).
Marko 2:
23 Siku moja ya sabato, Yesu pamoja na wanafunzi wake, wal ikuwa wakipita katikati ya mashamba ya ngano. Wanafunzi wake wakaanza kuvunja masuke ya ngano.24 Mafarisayo wakamwambia, “Mbona wanafanya jambo ambalo si halali kufanywa siku ya sabato?”
25 Yesu akawaambia, “Hamjasoma alivyofanya Daudi wakati yeye na wafuasi wake walipokuwa na njaa? 26 Aliingia katika nyumba ya Mungu wakati Abiatha akiwa kuhani mkuu, akala mkate wa sadaka walioruhusiwa kuula ni makuhani peke yao - na akawagawia wafuasi wake.” 27 Kisha akawaambia, “Sabato iliwekwa kwa faida ya mwanadamu, lakini mwanadamu hakuwekwa kwa ajili ya sabato.
RUDIA TENA HUU MSTARI WA 27 mkuu ndio utaelewa kwann watu wanasema wasabato mnaabudu siku.
 
Siku ya Sabato ni Mali ya BWANA hatupaswi kufanya chochote ila kinacholeta Utukufu kwa Muumbaji wetu. Kwa nionavyo Graduation haileti Utukufu wowote kwa Mungu zaidi ni kwa ajiri kujifurahisha sisi wenyewe.
'"lakini siku ya saba ni Sabato ya Bwana, Mungu wako, siku hiyo usifanye kazi yo yote, wewe, wala mwana wako, wala binti yako, wala mtumwa wako, wala mjakazi wako, wala mnyama wako wa kufuga, wala mgeni aliye ndani ya malango yako"" Kut.20:10.
Kwahiyo kufurahia mafanikio yako sio utukufu kwa Mungu wako Maana ni yy aliyekulinda nakukuongoza mpaka unamaliza chuo na unafanikiwa kupata cheti chako sio utukufu? Je sio Muda sahihi wakumshukuru Mungu kwa furaha na mafanikio uliyopata? Au huyo Mungu wenu anashukuriwa kwa jengo la kanisa tu
 
Dhambi zako ndio zilimuua Yesu,

Soma isaya 53 yote
Yohana 5:18
18 Maneno haya yaliwaudhi sana viongozi wa Wayahudi. Wakajaribu kila njia wapate kumwua, kwa sababu, zaidi ya kuvunja sheria za sabato, alikuwa akijifanya sawa na Mungu kwa kujiita Mwana wa Mungu.

Wayahudi walitaka kumuua sababu hakutii sabato.
 
Marko 2:
23 Siku moja ya sabato, Yesu pamoja na wanafunzi wake, wal ikuwa wakipita katikati ya mashamba ya ngano. Wanafunzi wake wakaanza kuvunja masuke ya ngano.24 Mafarisayo wakamwambia, “Mbona wanafanya jambo ambalo si halali kufanywa siku ya sabato?”
25 Yesu akawaambia, “Hamjasoma alivyofanya Daudi wakati yeye na wafuasi wake walipokuwa na njaa? 26 Aliingia katika nyumba ya Mungu wakati Abiatha akiwa kuhani mkuu, akala mkate wa sadaka walioruhusiwa kuula ni makuhani peke yao - na akawagawia wafuasi wake.” 27 Kisha akawaambia, “Sabato iliwekwa kwa faida ya mwanadamu, lakini mwanadamu hakuwekwa kwa ajili ya sabato.
RUDIA TENA HUU MSTARI WA 27 mkuu ndio utaelewa kwann watu wanasema wasabato mnaabudu siku.
Sawa kama ndivyo... "tunaabudu siku"... andika hapa siku nyingine iliyotajwa na Mungu kwa ibada (weka ushahidi wa maandiko) au mahali popote katika maandiko panapoifuta Amri ya nne ya Sabato (weka ushahidi wa maandiko hata fungu moja tu)...
 
Naona mada imepamba moto kweli kweli....naomba nifahamishwe faida za kufanya mahafari ya chuo kikuu jamani...faida zake ni zipi hasa?
 
Pia haviwatendei haki Waislamu kwa kuendelea na shughuli zake kama kawaida siku za Ijumaa??

Tume ya uchaguzi pia haiwatendei haki wakristo kwa kufanya uchaguzi siku za Jumapili?

Kwahiyo Serikali pia haitutendei haki wanandoa maana tulipaswa tupumzike siku ya Jumatatu??

Visabato masalia vina lalamika kama makalio ya konki konki...
Mkuu jufunze kuheshimu imani za watu wengine haikupunguzii kitu.
 
Ok naomba nikuachie hapa,yawezekana chimbuko la tatizo lako ni ukosefu wa malezi ya pande mbili ndio maana kila likutokalo waliona kheri tu.
Basi sawa. Una heri wewe ambaye chimbuko la tatizo lako ni malezi bora ya pande moja
 
Umeona mahafali tu? Mbona yako mengi sana ambayo ni kikwazo kwa ama wasabato au waislamu kutokana na siku zao za kuabudu?
 
Kuna siku moja chuo lecture wetu, ijumaa ratiba yake inakuwa tight sababu ana vipindi viwili alafu ostazi, akapanga test Jumamosi Wasabato wakalalamika sana. Jamaa kwa kuwa mpole akatunga mitihani miwili, mmoja Jumamosi, mwengine Ijumaa. Sasa huo mtihani wa Ijumaa ulikuwa wa motoo akawambia, ukiona mtihani mgumu njoo Jumamosi, ufanye na wenzio wakanyanyuka mmoja mmoja, Jumamosi tukafanya nao test. Tokea siku hiyo heshima na adabu.
Kila mtu anavutia kwake, sasa kama ni kisu aliyeshika makali budi awe mpole.
 
Yohana 5:18
18 Maneno haya yaliwaudhi sana viongozi wa Wayahudi. Wakajaribu kila njia wapate kumwua, kwa sababu, zaidi ya kuvunja sheria za sabato, alikuwa akijifanya sawa na Mungu kwa kujiita Mwana wa Mungu.

Wayahudi walitaka kumuua sababu hakutii sabato.
Yeye ndiye mtoa na mtunzi wa amri, hizo ni shutuma za kibinadamu, yeye anakiri Alizishika amri zote

Sasa tuwasikilize wanadamu au yeye Mwana wa Mungu?
FB_IMG_1540766508618.jpeg
 
Marko 2:
23 Siku moja ya sabato, Yesu pamoja na wanafunzi wake, wal ikuwa wakipita katikati ya mashamba ya ngano. Wanafunzi wake wakaanza kuvunja masuke ya ngano.24 Mafarisayo wakamwambia, “Mbona wanafanya jambo ambalo si halali kufanywa siku ya sabato?”
25 Yesu akawaambia, “Hamjasoma alivyofanya Daudi wakati yeye na wafuasi wake walipokuwa na njaa? 26 Aliingia katika nyumba ya Mungu wakati Abiatha akiwa kuhani mkuu, akala mkate wa sadaka walioruhusiwa kuula ni makuhani peke yao - na akawagawia wafuasi wake.” 27 Kisha akawaambia, “Sabato iliwekwa kwa faida ya mwanadamu, lakini mwanadamu hakuwekwa kwa ajili ya sabato.
RUDIA TENA HUU MSTARI WA 27 mkuu ndio utaelewa kwann watu wanasema wasabato mnaabudu siku.
Huo mstari hausemi.kuhusu kuabudu siku

Bas Yesu ndio alikuwa muabudu siku maana ikikuwa DESTURI yake kwenda ibadan siku ya sabato , LUKA 4:16
 
Back
Top Bottom