Ungeleta andiko ingekuwa vema ,maana mm na ushahidi wa kimaandikoAs long as dhamira ni kumuabudu Mungu muumbaji siku haimati maana Yesu alisema imewapasa kumwomba Mungu siku zote.......nyie mnaong'ang'ania jumamosi tu endeleeni na mbinguni hamuendi ng'o maana mnapinga Roho Mtakatifu
Hadithi ya kutunga hii!Kuna siku moja chuo lecture wetu, ijumaa ratiba yake inakuwa tight sababu ana vipindi viwili alafu ostazi, akapanga test Jumamosi Wasabato wakalalamika sana. Jamaa kwa kuwa mpole akatunga mitihani miwili, mmoja Jumamosi, mwengine ijumaa. Sasa huo mtihani wa ijumaa ulikuwa wa motoo akamwambia, ukiona mtihani mgumu njoo Jumamosi, ufanye na wenzio wakanyanyuka mmoja mmoja, Jumamosi tukafanya nao test. Tokea siku hiyo heshima na adabu.
Asante sana, kwanini unasali jumapili.na sio jumatatu au jumanneNasali jumapili, AICT
Amina Mtumishi, hayo ni maagizo ya Mungu mwenyewe tusameje basi? Tuyafuate."'Kama ukigeuza mguu wako usihalifu sabato, usifanye anasa yako siku ya utakatifu wangu; ukiita sabato siku ya furaha, na siku takatifu ya Bwana yenye heshima; ukiitukuza, kwa kutokuzifanya njia zako mwenyewe, wala kuyatafuta yakupendezayo, wala kusema maneno yako mwenyewe'' Isa.58:13
Walikuwa na hafu na Imani haba.Kama hujasoma chuo kikuu chochote kisicho cha kisabato ni vigumu kuamini
Abarikiwe Sana huyo mtuJamaa yangu aliitwa kufanya interview kwa mkemia mkuu jmos akaacha kwenda kisa tuu ni sabato
Lecture anaitwa Dewa anafundisha programming language c++ UDOM, college ya CIVE. Mimi sio mtu wa chai.Hadithi ya kutunga hii!
Hapana, sababu kuu ni haiabudiwi siku. Ana abudiwa Mungu pekee.Hao wanaosali jumapili hawalalamiki maana TARATIBU za dini zao zinawaruhusu Kufanya kazi hata kulima siku ya ibada,SASA unataka walalamike nini?
Wasabato na wayahudi wanaofata biblia , Hawaruhusiwi, hivo ni lazima walalamike
Sio kila ibada inafata utaratibu wa Mungu, japo inaitwa Ibada,
Hii ndio inapelekea UPAPA kuanzisha siku moja ya IBADA ili ishindane na MUNGU,
Lakini hawataweza ,bali watavunjwavunjwa vipande vipande
Kama nabii Daniel alivyooneshwa,
ACHA KUSHABIKIA TU, USIDHANI KILA IBADA NI SAWA, waislamu wao wanaambiwa baada ya ibada waendelee na shughuli zao,
sasa hawa walalamike nini?View attachment 926086
Bas Inakubidi usome na ufatilie ,usiburuzweWazazi wangu nilikuta wanasali huko na siku hiyo sijawahi kuhoji zaidi.
Haya hapo niliyoandika ni nini? Acha kukaririshwa jiongeze utoke gerezaniUngeleta andiko ingekuwa vema ,maana mm na ushahidi wa kimaandiko
Manabii wote
Had yesu na mitume walisali siku ya SABATO
hii jumapili ni ibada ya papa
Sasa sijui unasmsema Yesu gan huyoView attachment 926096
Kwani ni wakatoliki pekee ndio wanasali jumapili?? Mboma papa ndio unamtolea mifano zaidi??Ungeleta andiko ingekuwa vema ,maana mm na ushahidi wa kimaandiko
Manabii wote
Had yesu na mitume walisali siku ya SABATO
hii jumapili ni ibada ya papa
Sasa sijui unasmsema Yesu gan huyoView attachment 926096
Kulikuwa na ulazima wa kutumia lugha hiyo?Pia haviwatendei haki Waislamu kwa kuendelea na shughuli zake kama kawaida siku za Ijumaa??
Tume ya uchaguzi pia haiwatendei haki wakristo kwa kufanya uchaguzi siku za Jumapili?
Serikali pia haitutendei haki wanandoa maana tulipaswa tupumzike siku ya Jumatatu.
Visabato masalia vina lalamika kama makalio ya konki konki...
Hujaeleweka bado, mtu wa chai inahusu nini?Lecture ana Dewa anafundisha programming language c++ UDOM, college ya CIVE. Mimi sio mtu wa chai.
Hakuna anayeabudu siku, kama ni hivo bas wa kwanza ni Mungu , maana hata YESU alitunza sabato, luka 4:16 ,sasa niambie ALIABUDU SIKU?Hapana, sababu kuu ni haiabudiwi siku. Ana abudiwa Mungu pekee.
Hivi nyie hamtumii agano jipya??
Nyie mna abudu sikuHakuna anayeabudu siku, kama ni hivo bas wa kwanza ni Mungu , maana hata YESU alitunza sabato, luka 4:16 ,sasa niambie ALIABUDU SIKU?
WEWE biblia gan imekupa mandate ufanye ibada jumapili?
Watakao elewa hapa eatanielewesha, Mimi nimetoka buree!! Na bado yametumika maarifa kukokotoa na wala sio maandiko yanayosema kua siku ya saba ilikua jumamosi. Ninavyo elewa Mimi siku ya kwanza ya juma ni juma tatu ndio wiki inaanza afu wewe unasema wiki inaanza jpl!!Bas Inakubidi usome na ufatilie ,usiburuzwe
Biblia imeweka kumbukumbu kwamba Kristo alisulubishwa siku ya sita ya juma, au siku ya maandalizi – siku kabla ya Sabato haijatokea (angalia Marko 15:42; Luka 23:54; Yohana 19:31, 42; Mathayo 27:62), Alifufuka siku ya kwanza ya juma, au siku baada ya Sabato kuwa imepita (angalia Mathayo 28:1-8; Marko 16:1-10; Luka 24:1-8; Yohana 20:1), hivyo ikionyesha kwamba Kristo alikuwa amepumzika kaburini wakati wa siku ya saba ya Sabato. Ni maarifa yaliyo wazi kwamba Kristo alifufuka kutoka kaburini siku ya Jumapili asubuhi – ambayo wengi hurejea kama Pasaka (angalia Mdo 12:4). Tukiwa na maarifa haya ya ukweli, basi inakuwa ni rahisi kuamua kiuhalisia ni siku gani za juma katika kalenda yetu ya kisasa huendana pamoja na siku za juma hapo zamani.
Kutokana na kwamba Kristo alifufuka katika siku tunayoiita Jumapili leo, siku hii inaendana na siku ya kwanza ya juma hapo zamani – au siku baada ya Sabato kuwa imepita. Hatimaye, siku tunayoiita Jumamosi katika kalenda yetu ya kisasa, huendana na siku ya saba ya juma hapo zamani, na siku tunayoiita Ijumaa katika kalenda yetu ya kisasa huendana na siku ya sita ya juma hapo zamani – au siku ya maandalizi kabla ya Sabato kuanza! Hivyo, wote wanaotamani kufuata na kumtumikia Mungu kwa mioyo yao yote, mawazo, roho, na nguvu, kutokana na upendo kwa kile alichokwisha kukifanya na anaendelea kukifanya kwa ajili yao, wataona kuwa Sabato ya siku ya saba ya Mungu leo ni Jumamosi – siku baada ya Ijumaa, na siku kabla ya Jumapili
View attachment 926119