davisoni
JF-Expert Member
- May 3, 2014
- 422
- 445
Msaidie huyo jamaa mshauri akapime.Jamaa yangu aliitwa kufanya interview kwa mkemia mkuu jmos akaacha kwenda kisa tuu ni sabato
Msaidie huyo jamaa mshauri akapime.Jamaa yangu aliitwa kufanya interview kwa mkemia mkuu jmos akaacha kwenda kisa tuu ni sabato
Mkuu imetokea ndugu yako kakamatwa na polisi siku ya sabato na inatakiwa asaidie siku hiyo hiyo,je utamuacha kusa sabato.?Siku ya Sabato ni Mali ya BWANA hatupaswi kufanya chochote ila kinacholeta Utukufu kwa Muumbaji wetu. Kwa nionavyo Graduation haileti Utukufu wowote kwa Mungu zaidi ni kwa ajiri kujifurahisha sisi wenyewe.
'"lakini siku ya saba ni Sabato ya Bwana, Mungu wako, siku hiyo usifanye kazi yo yote, wewe, wala mwana wako, wala binti yako, wala mtumwa wako, wala mjakazi wako, wala mnyama wako wa kufuga, wala mgeni aliye ndani ya malango yako"" Kut.20:10.
Kwanini asimsaidie?.. Tatizo lenu huwa mnadhani kuwa mnajua sana habari za wasabatoMkuu imetokea ndugu yako kakamatwa na polisi siku ya sabato na inatakiwa asaidie siku hiyo hiyo,je utamuacha kusa sabato.?
Yeye mwenyewe akimwa leo hawezi kwenda hospital mbona kuna mwingine anachart humu leo jumamosi!Mkuu imetokea ndugu yako kakamatwa na polisi siku ya sabato na inatakiwa asaidie siku hiyo hiyo,je utamuacha kusa sabato.?
Muda wa swala unatakiwa ukaswali na ibada ya ijumaa ni ndefu .lakini kuna taasisi waislamu muda huo wanafanya kazi Kama kawaida.Je kuna andiko lolote kwenye Koran linakukataza kufanya kazi siku ya sita ya juma (Ijumaa) maana inakukataza kufanya kazi siku ya Jumamosi (Sabato) au hauna habari?
Siri ya kale hainaga dini........kwa hiyo hata vyuo havinaga dini......Otherwise kasome kwenye chuo cha dini yakoHabari wana jamii!
Zikiwa zimebaki siku chache tu kabla ya kufanyika kwa mahafari ya kuhitimu chuo kikuu, nina sikitika kuona kwamba rafiki zangu wengi wasabato hawachangamki kabisa.
Jana tumetoka kulipia majoho lakini nikashangaa kuona rafiki zangu wasabato hawalipii (siowote) na sababu kubwa ya kutolipia ni kwamba sherehe hiyo ya kuhitimu chuo inafanyika siku ya jumamosi ambayo ni siku yao ya kuabudu.
Idadi kubwa ya vyuo vikuu nchini hapa hufanya sherehe hizi siku ya jumamosi hivyo kuwanyima nafasi ya kushiriki ndg zetu hawa wasabato.
Na ninyi wasabato mje hapa mtuambie ubaya wa kushiriki siku ya jumamosi maana kwa mtizamo wangu siku hiyo hufanyi kazi ni sawa na kupumzika kabisa huku ukifrahia kujumuika na wenzako.
Karibuni tueleweshane.
Kumbuka wakati wa ibada ni muda wa kazi sio shughuli zinasimama za kijamii!!Hawalalamiki maana dini yao inasema BAADA YA IBADA YA IJUMAA KILA MTU AENDELEE KUFANYA KAZI,
ILA WASABATO NA WAYAHUDI WANAOFATA biblia na maandiko ya MUNGU WANAAMBIWA HIVI
Ikumbuke siku ya Sabato uitakase. Siku sita fanya kazi na kutenda mambo yako yote, lakini SIKU YA SABA NI SABATO YA BWANA, MUNGU WAKO. Siku hiyo usifanye kazi yoyote, … maana kwa siku siku sita BWANA alifanya mbingu, na nchi, na bahari na vyote vilivyomo, lakini AKAPUMZKA siku ya saba. Kwa hiyo BWANA AKAIBARIKI siku ya Sabato AKAITAKASA" - Kutoka 20:8-11.
Nimachati nini?.. Je mambo yangu mwenyewe? la hasha...Yeye mwenyewe akimwa leo hawezi kwenda hospital mbona kuna mwingine anachart humu leo jumamosi!
Kwani leo ni ibada tu! humu si mpaka matusi mnaongea huoni kama ni kuvunja sabato?Nimachati nini?.. Je mambo yangu mwenyewe? la hasha...
Hivyo sijavunja Sabato kabisa
hahahahahaaaaPia haviwatendei haki Waislamu kwa kuendelea na shughuli zake kama kawaida siku za Ijumaa??
Tume ya uchaguzi pia haiwatendei haki wakristo kwa kufanya uchaguzi siku za Jumapili?
Kwahiyo Serikali pia haitutendei haki wanandoa maana tulipaswa tupumzike siku ya Jumatatu??
Wewe ni mpagani period!!
Huna uthibitisho au hoja zaid mipasho
MFAHAMU KAHABA MKUU WA UFUNUO 17
Mwanamke (yule Babeli) wa Ufunuo 17
anaelezwa kuwa “alikuwa amevikwa nguo ya rangi ya zambarau, na nyekundu, amepambwa kwa dhahabu, na kito cha thamani, na lulu, naye alikuwa na kikombe cha dhahabu mkononi mwake, kilichojawa na machukizo, na machafu ya uasherati wake. Na katika kipaji cha uso wake alikuwa na jina limeandikwa, Siri [2 The. 2:7], Babeli Mkuu, Mama wa Makahaba” [Ufu. 17:5, KJV].
Asema hivi yule Nabii: “Nikamwona yule mwanamke amelewa kwa damu ya watakatifu, na kwa damu ya mashahidi wa Yesu.”
Babeli anatangazwa tena kuwa ni “mji ule mkubwa wenye ufalme juu ya wafalme wa nchi.” Ufunuo 17:4-6,18. Mamlaka ile iliyodumisha utawala wake wa kidikteta juu ya wafalme wa Ulimwengu ule wa Kikristo kwa karne nyingi ni Roma. Rangi ile ya zambarau na nyekundu, dhahabu na kito cha thamani, na lulu, huonyesha waziwazi picha ya utukufu wake na fahari yake iliyozidi ile ya kifalme [angalia pia rangi za sare za viongozi na mapambo yao], mambo ambayo jimbo lile la Roma ( Vatikani), lenye majivuno makuu, lilijigamba kuwa nayo. Wala hakuna mamlaka [serikali] nyingine ambayo kweli ingetangazwa kuwa ilikuwa imelewa kwa damu ya watakatifu,”
kama ya kanisa lile ambalo kwa ukatili mbaya sana limewatesa wafuasi wake Kristo. Babeli pia anashtakiwa kwa dhambi ya kuungana isivyo halali [kuzini] na “wafalme wa nchi.” Ilikuwa ni kwa njia ya kujitenga mbali na Bwana, na kuungana na washenzi [wapagani], ndipo kanisa lile la Kiyahudi likageuka na kuwa kahaba [Soma Ezekieli 23]; naye Roma [kama kanisa], akifanya uasherati [ukahaba] unaolandana kabisa na ule na kutafuta msaada [kuungwa mkono] toka kwa mamlaka [serikali] zile za kidunia, anapata lawama iyo hiyo.View attachment 928352
Roman Catholic ni upagani ambao una proper management,organisation na leadership. Kwanini? Kwa kuwa mambo yaliyopo kwenye biblia wanaenda kinyume chake huku wakiwa na chuki sana na Ellen G White kwani amefunua ushetani wao mwingi.mm nna mawazo kadhaa
1- Hii mada inajibiwa kijamii na sio kidini kama mnavyofanya ndugu zangu wasabato kwa kuweka vifungu vya Bible.
Kumbuka humu kuna wasioamini ktk hicho unachoamini wewe kwahiyo kutujazia humu story za vifungu na magazeti ni kuwek uchafu tu na kupoteza mda.
2- Serikali yetu haina dini lkn jamii inawwza kuweka utaratibu kwa ajiri ya kuwapa watu Uhuru wa kuabudu kufuatia na kile wanachoamini. Hivyo usitwambie kuhusu upapa, twambie/ tupe ushauri ambao unahisi kua utasaidia sabato japo unapotoa ushauri kumbuka kua sabato sio kipaumbele cha jamii na si chochote kwa jamii bali dini kama dini zingine hivyo usilazimishe jamii ikufuate wewe.
3- Binadamu hutoonekana mkamilifu kwakua umeweza kuonesha udhaifu wa mwenzio.
Hivyo mnapojaribu kujadili mambo yenu fanyeni kivyenu, iacheni Roman Catholic (RC) wao wamejizatiti kwenye mambo yao na kimsingi kanisa lenu halina madhara yoyote kwa RC iwe kiimani, kiuchumi, kijamii n.k. mnachowazidi labda n kukariri tu vifungu na kitabu cha Hellen G White.
4- Too much is harmful, wasabato maneno na akili za kupewa changanya na zako. Usijione we ndo unasali wengine waigizaji.
unakuta mtu anatunza kipande cha gazeti kwa miaka kadhaa kisa tu kipande hicho kimezungumzia -ve side ya RC. Hua nawashangaa sana katika hili. Ninashauri muelewe kua hata paganism n dini na inakosa tu proper management, organization and leadership lkn usishangae hata kuona mpagan anaingia mbinguni anakuacha ukijitangaza kuokoka na Hellen G white
ushauri tu
Aisee umeshamaliza majibu yote kabisa. Nadhani hakufikilia yote hayo.Pia haviwatendei haki Waislamu kwa kuendelea na shughuli zake kama kawaida siku za Ijumaa??
Tume ya uchaguzi pia haiwatendei haki wakristo kwa kufanya uchaguzi siku za Jumapili?
Kwahiyo Serikali pia haitutendei haki wanandoa maana tulipaswa tupumzike siku ya Jumatatu??