mbarika
JF-Expert Member
- Apr 1, 2015
- 7,258
- 9,728
Nlimuambia hakusikia akasema kama ipo ipo tuuKugomea interview kisa dini sio sawa huenda angepata kazi akasaidia familia yake
Nlimuambia hakusikia akasema kama ipo ipo tuuKugomea interview kisa dini sio sawa huenda angepata kazi akasaidia familia yake
Siku ya Sabato ni Mali ya BWANA hatupaswi kufanya chochote ila kinacholeta Utukufu kwa Muumbaji wetu. Kwa nionavyo Graduation haileti Utukufu wowote kwa Mungu zaidi ni kwa ajiri kujifurahisha sisi wenyewe.Ila yesu alisema sio vibaya kutenda yaliyo mema siku ya sabato. Kuna vyuo kama tumaini na sauti hivi ni vya dini kabisa tena vina dressing code kwahyo huwez kukuta mavazi mabaya wala pombe hadi maaskofu wana hudhuria. Kwanini msishiriki?
AmenAkuongezee hekima unayejua ulisemalo
Sabato haijaletwa na mzungu sabato kaileta ALIYE kuumba weweWaafika tunatia aibu! Sabato na ukiristo walileta wazungu kama chombo cha kututawala!!
Nshakuwa nduguyo tena? Sio babu tena?Kweli ndugu yangu
Yule mama Hellen sijui ndo kamuumba jamaa?Sabato haijaletwa na mzungu sabato kaileta ALIYE kuumba wewe
umejibu vizuri japo umemaliza vibayaPia haviwatendei haki Waislamu kwa kuendelea na shughuli zake kama kawaida siku za Ijumaa??
Tume ya uchaguzi pia haiwatendei haki wakristo kwa kufanya uchaguzi siku za Jumapili?
Serikali pia haitutendei haki wanandoa maana tulipaswa tupumzike siku ya Jumatatu.
Visabato masalia vina lalamika kama makalio ya konki konki...
Naomba radhi...umejibu vizuri japo umemaliza vibaya
Pia haviwatendei haki Waislamu kwa kuendelea na shughuli zake kama kawaida siku za Ijumaa??
Tume ya uchaguzi pia haiwatendei haki wakristo kwa kufanya uchaguzi siku za Jumapili?
Serikali pia haitutendei haki wanandoa maana tulipaswa tupumzike siku ya Jumatatu.
Visabato masalia vina lalamika kama makalio ya konki konki...

nimejikuta nimetoa chozi la kichekosuala la imani ni mtambuka sana....Pia haviwatendei haki Waislamu kwa kuendelea na shughuli zake kama kawaida siku za Ijumaa??
Tume ya uchaguzi pia haiwatendei haki wakristo kwa kufanya uchaguzi siku za Jumapili?
Serikali pia haitutendei haki wanandoa maana tulipaswa tupumzike siku ya Jumatatu.
Visabato masalia vina lalamika kama makalio ya konki konki...
mama Hellen hajawahi kuileta sabato...Yule mama Hellen sijui ndo kamuumba jamaa?
Babu yako sio ndugu yako?Nshakuwa nduguyo tena? Sio babu tena?
Kumbe Biblia ni ya mzunguBila biblia ya mzungu wewe sabato ungeijua?
Wewe wasemaYule mama Hellen sijui ndo kamuumba jamaa?