Vyuo vikuu nchini haviwatendei haki wasabato??

Vyuo vikuu nchini haviwatendei haki wasabato??

Usiseme ni pumba, someni hata mpate ufahamu. Kakobe sio Mkatoliki ambao unawatukana kila siku, naye kasema yake kuhusu SABATO. Kukopi sio dhambi, muhimu ni kujifunza.
Hahaa wewe jamaa akili yako unaijua mwenyewe,

Kakobe ni mpiga dili.kama wengine, yeye karithi tu kutoka Lutheran ,

Martin luther muanzilishi wa kanisa la kiruther hakuwahi kuikubali IBADA YA JUMAPILI, alipotoka roma alikuwa bado anaichunguza biblia, alipokufa wafuasi wake wakaishia hapo hapo

Martin Luther, mwasisi wa kanisa la Kilutheri, aliandika katika ungamo la Augusiburgi (Augusburg Confession), sharti la imani la 28, aya ya 9, maneno haya: "Wao [Wakatoliki wa Roma] wanadai kwamba Sabato ilibadilishwa na kuwa Jumapili, siku ya Bwana, kinyume na ile sheria ya Amri kumi,.. wala hakuna mfano wanaojivunia sana kama huo wa kuibadili siku ya Sabato. Ni mkuu, wasema wao, uwezo na mamlaka ya Kanisa, kwa kuwa liliiondoa mojawapo ya zile Amri kumi."

NDIO MAANA NILIKWAMBIA LETA ANDIKO TULIDADAVUE HAPA WEWE UMEENDA KUKOPI KWA KAKOBE,

KAKOBE NI MBABAISHAJI KAMA WENGINE,

HUYO KAKOBE NA MARTIN LUTHER NANI ANAJUA? MAANA KAKOBE NI MFUASI TU
 
Badala ya kusoma kwa tafakuri, unakopi na kuniletea propaganda zile zile. (Halafu unafanya makosa makubwa kwa mujibu wa sheria yenu ya kisabato kutukana wakati sabato kwa mujibu wa mama yenu) imekwishaanza. Nakushauri kalale ujiandae na sabato maana imekaribia mkajifunze matusi mengine.
Mkiambiwa ukweli NI MATUSI?

ONESHA TUSI HATA MOJA

TATIZO NILILOLIONA ,UKWELI KWENU NI MATUSI

MAANA MSHAZOEA INJILI LAIN ZA KUTIANA MOYO

MMESHAZOEA INJILI LAINI ZA KUAMBIWA UTAKUWA TAJIRI BILA KUFANYA KAZI

SASA MKIKUTANA NA INJILI ZA UPANGA BAS MNAJIHISI MMETUKANWA
 
Hahaa wewe jamaa akili yako unaijua mwenyewe,

Kakobe ni mpiga dili.kama wengine, yeye karithi tu kutoka Lutheran ,

Martin luther muanzilishi wa kanisa la kiruther hakuwahi kuikubali IBADA YA JUMAPILI, alipotoka roma alikuwa bado anaichunguza biblia, alipokufa wafuasi wake wakaishia hapo hapo

Martin Luther, mwasisi wa kanisa la Kilutheri, aliandika katika ungamo la Augusiburgi (Augusburg Confession), sharti la imani la 28, aya ya 9, maneno haya: "Wao [Wakatoliki wa Roma] wanadai kwamba Sabato ilibadilishwa na kuwa Jumapili, siku ya Bwana, kinyume na ile sheria ya Amri kumi,.. wala hakuna mfano wanaojivunia sana kama huo wa kuibadili siku ya Sabato. Ni mkuu, wasema wao, uwezo na mamlaka ya Kanisa, kwa kuwa liliiondoa mojawapo ya zile Amri kumi."

NDIO MAANA NILIKWAMBIA LETA ANDIKO TULIDADAVUE HAPA WEWE UMEENDA KUKOPI KWA KAKOBE,

KAKOBE NI MBABAISHAJI KAMA WENGINE,

HUYO KAKOBE NA MARTIN LUTHER NANI ANAJUA? MAANA KAKOBE NI MFUASI TU
Hamueleweki nyie. Mara umsifie Martin Luther, mara umponde mfuasi wake Kalobe kwamba karithi kutoka kwa Martini Luther, kwa kifupi umekuwa mjuaji lakini unahitaji kujifunza bado. Sijui unataka andiko gani tena kila ulichoomba umepewa. Wasabato naturally ni wabishi. Mnapenda ubishi hata kwa mbambo yasiyo ya msingi. Mbaya zaidi mmejihesabia Utakatifu na kusababisha bugdha kwa watu wa imani nyingine. Acheni hizo mambo .
 
Usiseme ni pumba, someni hata mpate ufahamu. Kakobe sio Mkatoliki ambao unawatukana kila siku, naye kasema yake kuhusu SABATO. Kukopi sio dhambi, muhimu ni kujifunza.
NI PUMBA MAANA AMEDOKOA MAANDIKO BILA KUZINGATIA CONTEXT, HALAFU ANADANGANYA WATU

NDIO MAANA NIKASEMA INGEKUWA VEMA UNALETA ANDIKO LINALOTHIBITISHA UHALALI WA IBADA YA JUMAPILI

SIO KWENDA KUKOPI LI HABARI LA KAKOBE,

KAKOBE LAZIMA AFANYE UDANGANYIFU HUO.MAANA ANATETEA UGALI WAKE, MIMI HUWA NAMKUBALI MZEE WA UPAKO ANAKISEMEAGA UKWELI, KUHUSU SABATO
 
Hamueleweki nyie. Mara umsifie Martin Luther, mara umponde mfuasi wake Kalobe kwamba karithi kutoka kwa Martini Luther, kwa kifupi umekuwa mjuaji lakini unahitaji kujifunza bado. Sijui unataka andiko gani tena kila ulichoomba umepewa. Wasabato naturally ni wabishi. Mnapenda ubishi hata kwa mbambo yasiyo ya msingi. Mbaya zaidi mmejihesabia Utakatifu na kusababisha bugdha kwa watu wa imani nyingine. Acheni hizo mambo .
Wewe Tulia ,ufundishwe, wapi tumemponda luther?

Martin luther tunamuheshimu kama mmoja ya wana matengenezo wa kanisa

Lakini unapaswa utambue , martin luther hakufanya matengenezo yote , bado aliendelea kuchunguza biblia na kuitafsir kwenda lugha ya kijeruman

Alipokufa WALE WAFUAS WAKE HAWAKUENDELEA KUCHUNGUZA MAANDIKO WAKAISHIA HAPO HAPO ALIPOISHIA LUTHER NDIO HAWA LEO WANAJIITA WALUTHERAN yaan wafuas wa luther,

NDIO MAANA WAMEJAA MAFUNDISHO MENGI YANAYOFANANA NA MAMA YAO ROMA

NA SASA HIVI WAMESALITI MATENGENEZO YA LUTHER WAMERUDI KWA MAMA YAO ROMA

NDIO MAANA NIKAKUPA NUKUU YA LUTHER AKIWA ANACHUNGUZA BIBLIA YEYE MWENYEWE HAKUONA UHALALI WA IBADA YA JUMAPILI, HALAFU LEO UNAKUJA KUDANGANYWA NA KAKOBE , NA KINA MWAKASEGE

Martin Luther, mwasisi wa kanisa la Kilutheri, aliandika katika ungamo la Augusiburgi (Augusburg Confession), sharti la imani la 28, aya ya 9, maneno haya: "Wao [Wakatoliki wa Roma] wanadai kwamba Sabato ilibadilishwa na kuwa Jumapili, siku ya Bwana, kinyume na ile sheria ya Amri kumi,.. wala hakuna mfano wanaojivunia sana kama huo wa kuibadili siku ya Sabato. Ni mkuu, wasema wao, uwezo na mamlaka ya Kanisa, kwa kuwa liliiondoa mojawapo ya zile Amri kumi."

MARTIN LUTHER ALIUCHANA UPAPA DHAHIRI NI UPINGA KRISTO, LEO KUNA MLUTHER MWENYE JEURI KAMA.YA LUTHER?

ZAID WAMEREJEA KWA MAMA YAO ROMA
FB_IMG_1540964205378.jpeg
FB_IMG_1540123502299.jpeg
 
Nimekupa kila kitu. Tatizo unacomment kabla hujasoma nilichoandika, na hili sio tatizo lako pekee, ndivyo mlivyo.
Hiyo.makala nimeisoma.hata kabla yako, nimeisoma nakumbuka karibu miaka 2 imepita ,naijua vizuri mkuu,
 
Kaka kubali tu kuwa mpole kwamba umejivika uungu mtu kwa kudharau imani za watu wengine kitu ambacho hata Mungu hapendi.
Mimi.ni mpole sana,

HIVI KUSEMA KILE KILICHOPO KWENYE BIBLIA NI kivaa uungu mtu ? Ni kudharau imani?

Hivi KUKEMEA IBADA ZA SANAMU

UVUNJAJI WA AMRI.ZA MUNGU

IBADA ZA WAFU

N.K

NI KUDHARAU IMANI ZA WATU?
 
Nilishakwambia, hivyo vijarida vyako tumevizoea na ni upuuzi mtupu. Ukitaka kupata ukweli wa maamuzi ya Kanisa Katoliki, ingia kwenye source yao ya habari, sio hivyo vikaratasi mnavyodesign huko mitaani kwa ajili ya propaganda.
Unavijua vijarida wewe?
Mimi nimekaa mishen miaka 12 ,navijua vyanzo vya kikatoliki,

Unakijua kitabu kiitwacho BUSTAN YA KATEKISTA? nikuletee nukuu hapa kuhusu ibada ya jumapili

Hata hizo site kawaulize why mnasali jumapili watakwambia ukweli,then watakupa bla blaa kama za kakobe kwenye ile makala
 
Afadhali mkuu umewaambia ukweli. Haiwezekani watukane imani za watu wote ambao ni tofauti na wao eti ni dini za kishetani. who gave you that mandate to ignore your colleague's faith ? Wnafikiri Mungu ni mjomba wao.

Hakuna dini yenye imani ya kinafiki na kipuuzi kama Usabato. Just how do you believe in Ellen G. White wakati she's a nobody? Ni kama vile tu mtu unamchagua Gwajima na kusema ndiye nabii wetu toka sasa.
 
Hili ndilo tatizo la walimu wa vyuo vikuu nchini Tanzania: kupenda kukomoana na wanafunzi wao. Kama alikuwa na uwezo wa kuwafanyisha mtihani ijumaa angewafanyisha tu,...
Kwa jamaa alikuwa hana tabia ya kumkomoa mwanafunzi wake, jamaa alikuwa fair na anapenda mwanafunzi wake aelewe na darasani alikuwa anatumia zaidi ya masaa matatu mpaka manne, wakati muda wa kawaida ni masaa mawili na bado kama hujaelewa unamfuata na alikuwa anafanya hivi sababu course anayofundisha ilikuwa ni ngumu na ngeni karibia 100 ya wanafunzi walikuwa hawajui Programming (c++). Aliwaambia pepa ifanyike Jumamosi sababu hakutaka kufundisha kwa kwalipua hawa Ijumaa na ndio maana akachagua Jumamosi na akawaambia muda basi wapange wao wakakataa. Kumbuka yy ni ostazi lkn siku ya Ijumaa bado ana takiwa akafundishe vipindi 2 na vilevile akasali sisi wenyewe wakristo lkn Jumapili tulikuwa tunafanya mtihani na sometimes tunapigiwa pindi lkn hatulalamiki na jamaa sio mkomoaji kabisa. Wewe kama unabisha waulize wanafunzi wa UDOM, college ya CIVE waulize lecture anayeitwa Mohamed Dewa.
 
Hakuna dini yenye imani ya kinafiki na kipuuzi kama Usabato. Just how do you believe in Ellen G. White wakati she's a nobody? Ni kama vile tu mtu unamchagua Gwajima na kusema ndiye nabii wetu toka sasa.
MFAHAMU KAHABA MKUU WA UFUNUO 17

Mwanamke (yule Babeli) wa Ufunuo 17

anaelezwa kuwa “alikuwa amevikwa nguo ya rangi ya zambarau, na nyekundu, amepambwa kwa dhahabu, na kito cha thamani, na lulu, naye alikuwa na kikombe cha dhahabu mkononi mwake, kilichojawa na machukizo, na machafu ya uasherati wake. Na katika kipaji cha uso wake alikuwa na jina limeandikwa, Siri [2 The. 2:7], Babeli Mkuu, Mama wa Makahaba” [Ufu. 17:5, KJV].

Asema hivi yule Nabii: “Nikamwona yule mwanamke amelewa kwa damu ya watakatifu, na kwa damu ya mashahidi wa Yesu.”

Babeli anatangazwa tena kuwa ni “mji ule mkubwa wenye ufalme juu ya wafalme wa nchi.” Ufunuo 17:4-6,18. Mamlaka ile iliyodumisha utawala wake wa kidikteta juu ya wafalme wa Ulimwengu ule wa Kikristo kwa karne nyingi ni Roma. Rangi ile ya zambarau na nyekundu, dhahabu na kito cha thamani, na lulu, huonyesha waziwazi picha ya utukufu wake na fahari yake iliyozidi ile ya kifalme [angalia pia rangi za sare za viongozi na mapambo yao], mambo ambayo jimbo lile la Roma ( Vatikani), lenye majivuno makuu, lilijigamba kuwa nayo. Wala hakuna mamlaka [serikali] nyingine ambayo kweli ingetangazwa kuwa ilikuwa imelewa kwa damu ya watakatifu,”

kama ya kanisa lile ambalo kwa ukatili mbaya sana limewatesa wafuasi wake Kristo. Babeli pia anashtakiwa kwa dhambi ya kuungana isivyo halali [kuzini] na “wafalme wa nchi.” Ilikuwa ni kwa njia ya kujitenga mbali na Bwana, na kuungana na washenzi [wapagani], ndipo kanisa lile la Kiyahudi likageuka na kuwa kahaba [Soma Ezekieli 23]; naye Roma [kama kanisa], akifanya uasherati [ukahaba] unaolandana kabisa na ule na kutafuta msaada [kuungwa mkono] toka kwa mamlaka [serikali] zile za kidunia, anapata lawama iyo hiyo.
FB_IMG_1541822831781.jpeg
 
Hakuna dini yenye imani ya kinafiki na kipuuzi kama Usabato. Just how do you believe in Ellen G. White wakati she's a nobody? Ni kama vile tu mtu unamchagua Gwajima na kusema ndiye nabii wetu toka sasa.
Wewe ni mpagani period!!

Huna uthibitisho au hoja zaid mipasho
 
Kalale kaka. Hayo kwangu ni maswali ya kitoto na sihitaji malumbano tena. Mimi ni Mkatoliki haswa kuliko unavyofikiria. Naijua imani yangu vyema, sihitaji kujua ya kwako coz haiwezi kunisaidia, vivyo hivyo nawe jifunze kuiga huu utaratibu. Jifunze kuwa na ukomavu wa kiimani na kuheshimu mawazo ya watu wengine.
IMANI YAKO HIYO HUIJUI VIZURI

KAA HAPA UFUNDISHWE UKATOLIKI ULITOKA WAPI NA SIO KUYUMBISHWA

Kanisa katoliki kamwe halikuanzishwa na Yesu,ni uongo kama ule wa Waislam kua Adam alikua mwislam.Kanisa katoliki limeanzia kwenye dola ya kirumi.

Baada ya kifo cha Mfalme Diocletian wa dola ya kirumi aliyesifika kwa kutesa kanisa la Mitume wa Yesu Kristo,kulikua na mapambano kati ya waliotaka kumrithi yaani Maxentius na Costantine(mtakatifu Constantine au Constantine the great)

Katika mapambano hayo usiku mmoja Constantine aliona angani ishara ya msalaba na maandishi yameandikwa "Kwa ishara hii utashinda" Usiku huo Constantine alifanya makubaliano(bargain) na shetani ili yeye na watu wote wawe wakristo.Kesho yake akawaita watu wote na viongozi wa makanisa ya mitume kuhudhuria sherehe ya kutangaza mfalme Constantine kuwa mkristo na Ukristo kuwa dini ya taifa.Mtu yeyote alipaswa kuwa mktisto kuanzia watoto,askari waganga na Constantine akajipa cheo cha ukuu wa kanisa hilo.Asiyekubali aliuwawa kwa upanga.

Majumba ya ibada za kipagani yakageuzwa makanisa,sanamu za miungu zikageuzwa kuwa sanamu za watakatifu,na viongozi wa ibada ya upagani wakafanywa ndio viongozi wa kanisa.

Huo ndio mwanzo wa ukatoliki na ukristo feki na mwanzo huu ndio aliokua anasema Bwana Yesu kwenye Ufunuo wa Yohana 2:12... katika ujumbe kwa kanisa la Pergamo akilitahadharisha kanisa kua lipo sehemu ambayo ni kiti cha enzi cha Shetani,na kua kuna watu wayashikayo mafundisho ya Balaamu na Wanikolai(asomaye na afahamu).
FB_IMG_1541823052366.jpeg
 
Wasabato hawajielewi nionavyo mimi, wewe unaonaje?
 
Hayo ndiyo mnayofundishwa kila Jumamosi. Ukishakosa majibu ya maswali ya msingi, kinachofuata ni kuleta vijarida, sanamu na kashifa.
Sikiliza nikwambie na nimeshakwambia mara nyingi. USIPENDE KUJIFANYA MJUAJI KWA KUWA KUNA WATU WANAJUA KULIKO WEWE. BIBLIA HAISOMWI KAMA GAZETI, NI LAZIMA PAWE NA NGUVU YA ROHO MTAKATIFU ILI UWEZE KUYAELEWA MAANDIKO MATAKATIFU. AMINI UNACHOAMINI PASIPO KUDHIHAKI IMANI ZA WATU WENGINE.
Biblia zenyewe anazosoma zimeandikwa na hao hao anaowaita mashetani
 
IMANI YAKO HIYO HUIJUI VIZURI

KAA HAPA UFUNDISHWE UKATOLIKI ULITOKA WAPI NA SIO KUYUMBISHWA

Kanisa katoliki kamwe halikuanzishwa na Yesu,ni uongo kama ule wa Waislam kua Adam alikua mwislam.Kanisa katoliki limeanzia kwenye dola ya kirumi.

Baada ya kifo cha Mfalme Diocletian wa dola ya kirumi aliyesifika kwa kutesa kanisa la Mitume wa Yesu Kristo,kulikua na mapambano kati ya waliotaka kumrithi yaani Maxentius na Costantine(mtakatifu Constantine au Constantine the great)

Katika mapambano hayo usiku mmoja Constantine aliona angani ishara ya msalaba na maandishi yameandikwa "Kwa ishara hii utashinda" Usiku huo Constantine alifanya makubaliano(bargain) na shetani ili yeye na watu wote wawe wakristo.Kesho yake akawaita watu wote na viongozi wa makanisa ya mitume kuhudhuria sherehe ya kutangaza mfalme Constantine kuwa mkristo na Ukristo kuwa dini ya taifa.Mtu yeyote alipaswa kuwa mktisto kuanzia watoto,askari waganga na Constantine akajipa cheo cha ukuu wa kanisa hilo.Asiyekubali aliuwawa kwa upanga.

Majumba ya ibada za kipagani yakageuzwa makanisa,sanamu za miungu zikageuzwa kuwa sanamu za watakatifu,na viongozi wa ibada ya upagani wakafanywa ndio viongozi wa kanisa.

Huo ndio mwanzo wa ukatoliki na ukristo feki na mwanzo huu ndio aliokua anasema Bwana Yesu kwenye Ufunuo wa Yohana 2:12... katika ujumbe kwa kanisa la Pergamo akilitahadharisha kanisa kua lipo sehemu ambayo ni kiti cha enzi cha Shetani,na kua kuna watu wayashikayo mafundisho ya Balaamu na Wanikolai(asomaye na afahamu).View attachment 928354
Huna maana wewe. Nenda mkaendele kudanganyana huko. Sio kila mtu ni mwehu kama ulivyo.
Chezea vyote lakini ukicheza na Kanisa la Mungu, utaangamia wewe na utaliacha Kanisa likiendelea kufanya kazi zake za kitume. Ninaposema Kanisa la Mungu simaanishi Katoliki peke yao, namaanisha Wakrito wote waliomkiri Yesu ya kuwa ni Bwana na Mwokozi wa maisha yao. Narudia tena, usicheze kabisa na masuala ya imani, utaaangamia.
Ninyi endeleeni kuiishi torati ya Musa na hakuna anayewaliza. Sijui munawashwa na nini hadi kufikia hatua ya kuponda imani za watu wengine na kujaza vimisemo na maneno kibao ya kipuuzi tu.
Nasoma sana vitabu vyenu ili kujua mnafundishana nini huko mkikutana Jumamosi. Mmefika mahali mmetengeneza vitabu vya kuchambua imani za madhehebu mengine ili mfananishe na kile mkifanyacho ! So what !!! Mnaanzaje kwa mfano kuwafundisha watu wenu imani ya Kikatoliki wakati nyinyi si Wakatoliki ? Nonsense.Huko ndiko kuwashwa washwa kwenyewe.
Siku hizi mmekuwa hasa ndio wasemaji wakuu wa Kanisa Katoliki, mara oh! Kanisa limefuta Biblia, mara oh! Kanisa limeungana na madehebu mengine na ujinga mwingi tu !
Badilikeni bana. Stick to your faith no body will disturb you ! Apart from that learn to respect others.
 
Aliwanyoosha
Kuna siku moja chuo lecture wetu, ijumaa ratiba yake inakuwa tight sababu ana vipindi viwili alafu ostazi, akapanga test Jumamosi Wasabato wakalalamika sana. Jamaa kwa kuwa mpole akatunga mitihani miwili, mmoja Jumamosi, mwengine Ijumaa. Sasa huo mtihani wa Ijumaa ulikuwa wa motoo akawambia, ukiona mtihani mgumu njoo Jumamosi, ufanye na wenzio wakanyanyuka mmoja mmoja, Jumamosi tukafanya nao test. Tokea siku hiyo heshima na adabu.
 
Cha ajabu jmosi hiyo hiyo burudani na mabinti/uzinzi zinaendelea kama kawaida
 
Pia haviwatendei haki Waislamu kwa kuendelea na shughuli zake kama kawaida siku za Ijumaa??

Tume ya uchaguzi pia haiwatendei haki wakristo kwa kufanya uchaguzi siku za Jumapili?

Kwahiyo Serikali pia haitutendei haki wanandoa maana tulipaswa tupumzike siku ya Jumatatu??
Sisi wakulima siku yetu ya kuabudu ni Jumanne.
 
Back
Top Bottom