Vyuo vikuu nchini haviwatendei haki wasabato??

Pia haviwatendei haki Waislamu kwa kuendelea na shughuli zake kama kawaida siku za Ijumaa??

Tume ya uchaguzi pia haiwatendei haki wakristo kwa kufanya uchaguzi siku za Jumapili?

Serikali pia haitutendei haki wanandoa maana tulipaswa tupumzike siku ya Jumatatu.

Visabato masalia vina lalamika kama makalio ya konki konki...

nahau mpya kila week.!

Fanya kufafanua..
~maana ya visabato masalia!
~na makali.o ya konk konk.?
 
"'Kama ukigeuza mguu wako usihalifu sabato, usifanye anasa yako siku ya utakatifu wangu; ukiita sabato siku ya furaha, na siku takatifu ya Bwana yenye heshima; ukiitukuza, kwa kutokuzifanya njia zako mwenyewe, wala kuyatafuta yakupendezayo, wala kusema maneno yako mwenyewe'' Isa.58:13
 
Pia haviwatendei haki Waislamu kwa kuendelea na shughuli zake kama kawaida siku za Ijumaa??

Tume ya uchaguzi pia haiwatendei haki wakristo kwa kufanya uchaguzi siku za Jumapili?

Serikali pia haitutendei haki wanandoa maana tulipaswa tupumzike siku ya Jumatatu.

Visabato masalia vina lalamika kama makalio ya konki konki...

kwakweli ata siloam wa j4 haiwatendei haki kabisa.. yani inatakiwa wiki nzima tuwe tunasali na wasisome, kazi zisifanywe.. tusitoke jasho kabisa!
 
Imani zetu hizi !Dah!Ndiyo maana huwa sipendi kulitafuta jukwaa la dini.
 
Jamaa yangu aliitwa kufanya interview kwa mkemia mkuu jmos akaacha kwenda kisa tuu ni sabato
 
Pia haviwatendei haki Waislamu kwa kuendelea na shughuli zake kama kawaida siku za Ijumaa??

Tume ya uchaguzi pia haiwatendei haki wakristo kwa kufanya uchaguzi siku za Jumapili?

Serikali pia haitutendei haki wanandoa maana tulipaswa tupumzike siku ya Jumatatu.

Visabato masalia vina lalamika kama makalio ya konki konki...
Babu nimekuelewa sana...
 
"'Kama ukigeuza mguu wako usihalifu sabato, usifanye anasa yako siku ya utakatifu wangu; ukiita sabato siku ya furaha, na siku takatifu ya Bwana yenye heshima; ukiitukuza, kwa kutokuzifanya njia zako mwenyewe, wala kuyatafuta yakupendezayo, wala kusema maneno yako mwenyewe'' Isa.58:13
Ila yesu alisema sio vibaya kutenda yaliyo mema siku ya sabato. Kuna vyuo kama tumaini na sauti hivi ni vya dini kabisa tena vina dressing code kwahyo huwez kukuta mavazi mabaya wala pombe hadi maaskofu wana hudhuria. Kwanini msishiriki?
 
Ilibidi tumuachie tu huyu bwana wa kwanza ajibu hili swali basiii maana kamaliza
 
Nioneshe tusi hapo hakika nitaomba radhi
Ivi ukisema visabato then wanabisha kama makalio we kwako unaona uko sahihi kabsa yan nilugha nzur ya kutumia kwenye iman za watu
 
Back
Top Bottom