THOMASS SANKARA
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 2,066
- 4,769
Hizi tunaziita mbinu za medani vita..!Hahahah Huyo lecturer ni konki sana ana hekima kama za mfalme suleiman akaona atumie mbinu za kiintelejensia kuwakomesha
#DG

Hizo picha zenu mnazopata kwenye saturday assembles sisi hazituhusu. Baki nazo huko huko. Huna hoja wewe zaidi ya ujuaji. msifanye watu wote ni wajinga. Hata nikikuuliza sasa hivi kwa mujibu wa agano jipya ambalo ni matokeo ya kifo cha Yesu Msalabani, ndani ya agano hilo amri za Mungu ni zipi, huna jibu. Jambo la msingi kaeni na imani yenu, acheni kudhihaki imani za watu wengine. Ni uchanga wa imaniAcha kupaniki
Hapa ni maandiko tu
Mimi.ukinitukana ndio nafurahi,
Maandiko ya Mungu kwako yanakuchoma hadi unapaniki
AMRI ZA MUNGU NI KAMILIFU KASEMA MUNGU MWENYEWE,
View attachment 928183
Afadhali mkuu umewaambia ukweli. Haiwezekani watukane imani za watu wote ambao ni tofauti na wao eti ni dini za kishetani. who gave you that mandate to ignore your colleague's faith ? Wnafikiri Mungu ni mjomba wao.Marafili zako wamechanganikiwa tu....Usabato si dini bali ni "A CULT" ambayo imeundwa na mwana mama aliyechanganikiwa baada ya kifo cha mumewe, "Ellen G. White."
HAKUNA AMRI ZA AGANO LA KALE WALA AGANO JIPYAHizo picha zenu mnazopata kwenye saturday assembles sisi hazituhusu. Baki nazo huko huko. Huna hoja wewe zaidi ya ujuaji. msifanye watu wote ni wajinga. Hata nikikuuliza sasa hivi kwa mujibu wa agano jipya ambalo ni matokeo ya kifo cha Yesu Msalabani, ndani ya agano hilo amri za Mungu ni zipi, huna jibu. Jambo la msingi kaeni na imani yenu, acheni kudhihaki imani za watu wengine. Ni uchanga wa imani
Hili ndilo tatizo la walimu wa vyuo vikuu nchini Tanzania: kupenda kukomoana na wanafunzi wao. Kama alikuwa na uwezo wa kuwafanyisha mtihani ijumaa angewafanyisha tu,...Kuna siku moja chuo lecture wetu, ijumaa ratiba yake inakuwa tight sababu ana vipindi viwili alafu ostazi, akapanga test Jumamosi Wasabato wakalalamika sana. Jamaa kwa kuwa mpole akatunga mitihani miwili, mmoja Jumamosi, mwengine Ijumaa. Sasa huo mtihani wa Ijumaa ulikuwa wa motoo akawambia, ukiona mtihani mgumu njoo Jumamosi, ufanye na wenzio wakanyanyuka mmoja mmoja, Jumamosi tukafanya nao test. Tokea siku hiyo heshima na adabu.
Huna hoja wewe. Nimekwambia niletee katika agano jipya ni wapi Yesu wa Msalaba aligiza tuikumbuke sabato, unarukaruka tu. Inaonekana nyinyi hata hamjui maana ya KIFO CHA YESU PALE MSALABANI.HAKUNA AMRI ZA AGANO LA KALE WALA AGANO JIPYA
AMRI ZA MUNGU NI ZA MILELE.
NA HAZIJAWAHI KUBADILIKA
NA HAZITABADILIKA
NI RAHISI MBINGU ZIONDOKE ILA YODI WALA NUKTA MOJA YA AMRI HAITABADILIKA
ukweli utasemwa tena ukweli wenyewe , Kama.ukweli kwenu nikutukanwa bas MTATUKANWA SANA TU ENYI WAABUDU SANAMU View attachment 928191
UKATOLIKI, UISLAMU, UBUDHA ,USHINTOAfadhali mkuu umewaambia ukweli. Haiwezekani watukane imani za watu wote ambao ni tofauti na wao eti ni dini za kishetani. who gave you that mandate to ignore your colleague's faith ? Wnafikiri Mungu ni mjomba wao.
Kweli wewe unaburuzwa unataka andiko.wakatiHuna hoja wewe. Nimekwambia niletee katika agano jipya ni wapi Yesu wa Msalaba aligiza tuikumbuke sabato, unarukaruka tu. Inaonekana nyinyi hata hamjui maana ya KIFO CHA YESU PALE MSALABANI.
Hayo ndiyo mnayofundishwa kila Jumamosi. Ukishakosa majibu ya maswali ya msingi, kinachofuata ni kuleta vijarida, sanamu na kashifa.UKATOLIKI, UISLAMU, UBUDHA ,USHINTO
ZOTE NI DINI ZA JOKA
KASOME ROHO TATU ZA UCHAFU ZITOKAZO KWENYE KINYWA CHA JOKA(SHETAN)
ROHO YA KWANZA NI JOKA MWENYEWE hapo unakutana na dini za KIFREEMASON,ILLUMINATI
ROHO YA PILI NI NABII WA UONGO hapo inakutana na dini zote zinazofata mafundisho ya Roma ,hapo utawakuta had walokole ,na hapa ndio utakutana na kiwanda cha manabii fake
ROHO YA TATU NI MNYAMA hapo ni UPAPA/UKATOLIKI
ZOTE HIZI ZINAUNGANA KWA AJIRI YA BITA YA HAR MAGERDONI
MUNGU ATAZIANGAMIZA
ZOTE HIZI ZINAFANYA MCHAKATO WA KUANZISHA SIKU MOJA YA IBADA , NA WAPO MWISHONI KUKAMILISHA AZMA YAO, NA SIKU YA IBADA YAO ITAKUWA NI JUMAPILIView attachment 928196
Sasa hiyo unayozidishiwa ni nini na unaitumia wapi?Mali.na pesa mbinguni hakuna kuuza wa kununua
Tumia akili
WEWE JAMAA KAA HAPA NIKUFUNZE.Hayo ndiyo mnayofundishwa kila Jumamosi. Ukishakosa majibu ya maswali ya msingi, kinachofuata ni kuleta vijarida, sanamu na kashifa.
Sikiliza nikwambie na nimeshakwambia mara nyingi. USIPENDE KUJIFANYA MJUAJI KWA KUWA KUNA WATU WANAJUA KULIKO WEWE. BIBLIA HAISOMWI KAMA GAZETI, NI LAZIMA PAWE NA NGUVU YA ROHO MTAKATIFU ILI UWEZE KUYAELEWA MAANDIKO MATAKATIFU. AMINI UNACHOAMINI PASIPO KUDHIHAKI IMANI ZA WATU WENGINE.
Mmpepee Mungu kachokaWewe ushapotezwa na kina kiranga
Hujui kitu nakuhakikishia. Nionyeshe katika Agano jipya wapi Mitume wa Yesu waliambiwa waikumbuke sabato ile amri aliyoitoa Mungu kwa wana wa ISRAELI baada ya kutoka kule utumwani Misri. Acha kukariri maandiko.Kweli wewe unaburuzwa unataka andiko.wakati
NIMEKUPA MAANDIKO MITUME WA YESU MA YESU MWENYEWE WAKITUNZA SABATO.AU UNATAKA ANDIKO GANI?
Kama unampenda Yesu ZISHIKE AMRI KUMI, IKIWEPO AMRI YA 4 YA SABATO
View attachment 928198
Unanipotezea muda wa kulala tu. Umeshindwa kuonyesha katika agano jipya ni wapi pameandikwa ikumbuke siku ya sabato na kuitakasa, unaleta porojo. Kwa faida ya wasomaji wengine, pitieni andiko la Mchungaji Kakobe. Huyu yeye sio Mkatoliki ila anaabudu Jumapili. Kwa wale wasabato, mapovu ruksa.WEWE JAMAA KAA HAPA NIKUFUNZE.
UNHEKUWA NA ROHO MTAKATIFU USINGEZIKANA AMRI ZA MUNGU
WEWE UNA ROHO MCHAFU
UNAIKANA AMRI YA SABATO WAKATI MITUME WA YESU WALITUNZA SABATO HATA BAADA YA YESU KUPAA KWENDA MBINGUNI
Luka, tabibu na mwinjilisti katika kanisa lile la kwanza, anatoa taarifa hii.
"Siku ya Sabato tukatoka nje ya mji, tukaenda kando ya mto, ambapo tulidhani kuwa mahali pa kusali. Tuliketi, tukiongea na wanawake waliokusanyika mahali hapo" - (Matendo 16:13).
Kitabu cha Matendo cha Agano Jipya kinataja mara 84 ilipotunzwa. Sabato hiyo na wafuasi wa Kristo, zote hizo zilikuwa zikitunzwa zaidi ya miaka 14 baada ya ufufuo wa Yesu: Sabato 2 pale Antiokia (Matendo 13:14,42,44); 1 pale Filipi (Matendo 16:13), 3 pale Thesalonike (Matendo 17:2,3), Sabato 78 pale Korintho (Matendo 18:4,11).
Yohana, wa mwisho kufa miongoni mwa wale mitume kumi na wawili, aliitunza Sabato. Aliandika hivi:
"Siku ya Bwana nilikuwa katika Roho" - (Ufunuo 1:10).
MKIAMBIWA UKWELI NA UPAGANI WENU MNASEMA MNADHIHAKIWA ,KAMA.NI HIVO BAS MTADHIHAKIWA SANA
UMEAMUA UKAKOPI PUMBA ZOTE ULETE HAPAUnanipotezea muda wa kulala tu. Umeshindwa kuonyesha katika agano jipya ni wapi pameandikwa ikumbuke siku ya sabato na kuitakasa, unaleta porojo. Kwa faida ya wasomaji wengine, pitieni andiko la Mchungaji Kakobe. Huyu yeye sio Mkatoliki ila anaabudu Jumapili. Kwa wale wasabato, mapovu ruksa.
SOMO: SABATO KATIKA AGANO JIPYA
Biblia inasema kwamba, siku hizi za mwisho, kutakuwako nyakati za hatari. Wengine watajitenga na imani, wakisikiliza roho zidanganyazo na mafundisho yaliyo kinyume na kweli [2 TIMOTHEO 3:1; 1 TIMOTHEO 4:1]. Siku hizi tulizo nazo tunazungukwa na “WANAFUNZI WA MUSA” [YOHANA 8:28-29], ambao kwa kutaka kuwawekea watu msisitizo mkubwa wa kuabudu Jumamosi na kushika Sabato; wanafundisha kwamba watu wote wanaoabudu Jumapili wamepotea, na tena wana alama ya mnyama “666”. Wanafundisha kwamba kuiacha Sabato na kuabudu Jumapili kulianzishwa na Costantine pamoja na Kanisa Katoliki. Ni muhimu basi kama wanafunzi wa Yesu, kujifunza yote kuhusu jambo hili, ili tuweze kuishindania imani tuliyokabidhiwa watakatifu MARA MOJA TU [YUDA 1:3]. Tutaligawa somo hili katika vipengele vitano:-
( 1 ). UTANGULIZI KUHUSU SABATO.
( 2 ). KUKOMESHWA KWA SABATO.
( 3 ). SABATO, KIVULI CHA YESU KRISTO
( 4 ). SABABU ZA WAKRISTO KUABUDU JUMAPILI
( 5 ). KUSHIKA SIKU, SIYO NJIA YA KUOKOKA.
1) UTANGULIZI KUHUSU SABATO
1. MAANA YA NENO SABATO.
Neno “Sabato”, linatokana na neno la Kiebrania, “SHABBATH”ambalo maana yake ni PUMZIKO au KUSTAREHE NA KUACHA KAZI. Pumziko hili siyo lazima liwe siku ya saba. Katika mazingira fulani watu waliagizwa kuwa na Sabato siku ya Kwanza na siku ya nane [MAMBO YA WALAWI 23:39], na pia walikuwa na Sabato siku ya saba kila wiki [KUTOKA 20:8-11]. Kulikuwa pia na Sabato ya mwaka mzima wa saba kwa ajili ya nchi. Haikuruhusiwa kulima nchi mwaka huo, ilitakiwa nchi istarehe au ipumzike [MAMBO YA WALAWI 25:2-5].Awaye yote ambaye anadai leo kwamba anazingatia sheria kwa kushika sabato, imempasa kutokulima au kuvuna kila mwaka wa saba , au sivyo amekosa juu ya yote[YAKOBO 2:10]
2. MWANZO WA AGIZO LA KUSHIKA SABATO NA MAKUSUDI YAKE.
Agizo la kwanza kwa watu kuishika Sabato, lilitolewa na Mungu kwa Wanaisraeli,kwa mkono wa Musa,katika AGANO LA KALE.Agizo hili halikutolewa kwa Adam, Nuhu, Ibrahim,Isaka,Yakobo na Wengine kabla ya Musa [KUMBUKUMBU 5:1-3,12-14].Agizo hili pia, lilikuwa kwa TAIFA la Wanaisraeli tu! Siyo mataifa mengine ambayo hayakupewa sheria [WARUMI 2:14;KUMBUKUMBU 4:7-10].WANAISRAELI waliagizwa kushika sabato kwa makusudi yafuatayo:-
( a ). Ili wapate kukumbuka jinsi walivyokuwa watumwa katika nchi ya Misri na ya kuwa BWANA Mungu aliwatoa utumwani na kuwapa PUMZIKO kutoka katika kazi hizo za utumwa[KUMBUKUMBU 5:15].
( b ). Ili ipate kuwa ISHARA ya Agano lao na Mungu, Agano la kale [KUTOKA31:12-13,16-17;EZEKIELI20:20].Agano hili linatajwa kuwa ni la “MILELE” siyo kwa maana kwamba lisilo na mwisho.Siyo kila mahali katika Biblia “MILELE” ilipotumika, ina maana isiyo na mwisho. AGANO LA MILELE hapa lina maana Agano la muda mrefu sana ujao.[mifano:Nyumba ys kukaa itakayothibitishwa “milele”[WALAWI 25:29-30];Mtu, kuwa mtumishi wa mtu “milele”[KUMBUKUMBU 15:12-17];Ukoma wa “milele”[2WAFALME5:25-27].
3. HUDUMA YA MAUTI ILIYOAMATANANA KUTOKUISHIKA SABATO.
Agizo la kushika sabato,lilikuwa ni KONGWA zito. Mtu ambaye hakuishika sabato, alipewa huduma ya mauti,ALIUAWA{KUTOKA31:14-15,35:2-3}.Hata mama aliyejaribu kukusanya kuni ili kuwapikia chakula wanawe siku ya sabato ,alipigwa kwa mawe hata akafa [HESABU 15:32-36].Mtu hakuruhusiwa kutembea kwa mwendo wa maili moja siku ya sabato. “Mwendo wa sabato” ulioruhusiwa ili mtu asihesabike amefanya kazi, ilikuwa chini kidogo ya maili MOJA kama mwendo wa kutoka Yerusaremu kwenda Mlima Mizeituni [MATENDO1:12].Hata kujitwika godoro ilikuwa ni kuvunja sheria ya kushika Sabato [YOHANA 5:8-10].Hata kuponya siku ya sabato ilikuwa ni kuivunja sheria ya kushika Sabato[LUKA 13:14].Ilikuwa ni huduma ya adhabu, huduma ya mauti![2WAKORINTHO 3:7-9].Wanafunzi wa Musa leo, wanaojidai kwamba wanashika sabato ,haiwapasi kwenda hospitali siku ya sabato, wala kutafuta kuponywa kwa njia yoyote siku ya sabato, tena miongoni mwao, asiyeishika sabato ,wanatakiwa wamwue!Mbona hawayafanyi haya?
( 2 ). KUKOMESHWA KWA SABATO.
Mwanadamu hakuumbwa kwa ajili ya sabato, bali kwa ajili ya Mungu aliye BWANA wa Sabato au mwanzilishi wa Sabato.Mungu ambaye ndiye aliyeleta agizo la kuishika Sabato, ana haki pia ya kuikomesha au kuiondoa agizo hilo na hakuna mwenye haki ya kumlaumu [MARKO 2:27-28].Mapema katika unabii, kabla ya kuja Yesu Kristo, ilitabiriwa kwamba Mungu ataikomesha Sabato [HOSEA 2:11].Yesu Kristo , alikuja kuitimiliza torati kwa kuikomesha Sabato. Kiongozi wetu mkuu wa wokovu Yesu kristo ,kwa wazi kabisa, alishindana na kila wazo la Wayahudi la kushika sabato. Alikuja kuikomesha Sabato kwa kuivunja. Ikiwa Yesu ni Bwana wetu ,sisi nasi tutakuwa mstari wa mbele kwa kumfuata yeye kama kielelezo na kuivunja Sabato [MARKO 2:23-28;LUKA 6:6-11;13:10-16;14:1-6;YOHANA 5:8,18; 9:13-16].Yesu Kristo ,aliigongomelea msalabani hati yakutushtaki kwa kutokuishika sabato, akaiondoa ,isiwepo tena![WAKOLOSAI 2:13-14].Kushika siku na miezi na nyakati na miaka, ni kuyarejea MAFUNDISHO YALIYO MANYONGE YENYE UPUNGUFU[WAGALATIA 4:9-11].Hatupaswi tena kuhukumiwa na mtu YEYOTE kwa sababu ya SABATO![WAKOLOSAI 2:13-16]. Ili kupata tafsiri nzuri ya neno “Sabato” katika andiko hilo, soma Biblia ya Kiingereza, ya tafsiri ya King James Version inataja neon “SIKU ZA SABATO” au “SABBATH DAYS”. Nanukuu ( COLOSIANS 2:16 ) “Let no man therefore judge you in meat, or in drink, or in respect of an holyday, or of the new moon, or of the Sabbath days”. Kwa hiyo, mtu awayeyote asituhukumu sisi kwa habari ya sabato za siku au siku ya sabato. Amri ya nne ya sabato katika zile Amri kumi, haipo katika Agano Jipya, Yesu wala mitume hawakutuagiza kushika sabato[MATHAYO19:16-19;MATENDO 15:1-29].Kama wakati uliokuwapo kabla ya Musa, sisi nasi kama uzao wa Ibrahimu kwa imani, hatukuagizwa kushika sabato kama jinsi ambavyo hakuagizwa Ibrahimu!Agizo Jipya, limekuwa badala ya Agano la Kale lenye upungufu ,lililokuwa na huduma ya adhabu au ya mauti.Huduma hiyo IMEBATILIWA [2WAKORINTHO 3:6-11;WAEBRANIA8:6-9,13].
(3) SABATO , KIVULI CHA YESU KRISTO.
Sabato, ilikuwa ni kivuli cha mambo yajayo [WAKOLOSAI 2:16-17]. Sabato, ilikuwa ni kivuli tu cha PUMZIKO ambalo wanadamu was umbukao na kulemewa na mizigo wangelilipata kwa kumwendea, Yesu kristo [MATHAYO 11:28]. Baada ya kuja mwenyewe aliye PUMZIKO, Yesu kristo; hatuna haja tena ya kushika kivuli. Tukimshika Yesu kristo , YEYE Pia, atatupa SABATO ya milele huko mbinguni [WAEBRANIA 4:8-11].Sabato hii siyo ya Jumamosi maana ni wale watakaofanya bidii kuingia raha hiyo na kuwa mbali na kumwasi Yesu watakaoingia[WAEBRANIA 4:1-11;UFUNUO 14:13]

Hakuna andiko lolote katika agano jipya linalotupa kumbukumbu ya kusanyiko la Wakristo siku ya Sabato kwa ajili ya kumuabudu Mungu.Neno “Sabato” linaonekana mara 60 katika Agano Jipya.Mara 50 katika hizo ,linatumika KABLA ya Agano Jipya lenyewe kufanywa kwa damu ya Yesu.Katika mara kumi zilizosalia, mara sita(6) linazungumzia Paulo akiwawahubiri WAYAHUDI kwenye makusanyiko YASIYO YA KIKRISTO kwenye sabato zao za kiyahudi [MATENDO 13:14,42,44;17:1,2;18:4].Mara mbili, neno hilo linaelezea juu ya sheria ya Musa isomwapo na Wayahudi katika masinagogi[MATENDO 13:27;15:21];Mara moja inaeleza jinsi tusivyopaswa kuhukumiwa katika Sabato [WAKOLOSAI 2:16];Mara moja iliyosalia inataja juu ya mwendo wa sabato [MATENDO 1:12].Siku ya JUMAPILI , ambayo ndiyo siku ya kwanza ya juma ,SIKU YA BWANA aliyoshinda mauti na kufufuka [UFUNUO 1:10],Tunaitenga maalum kumwabudu Bwana kwa sababu:-
( a ). Ni sikukuu ya malimbuko ya mavuno ambayo ilifanywa katika Agano la Kale,SIKU YA PILI baada ya Sabato;Ikiwa ni utabiri wa Kristo ambao ni LIMBUKO lao waliolala [WALAWI23:9-14;1WAKORINTHO15:20].
( b ). Ni siku ya ushindi ya Bwana wetu Yesu aliyofufuka, na kujidhihirisha kwa wanafunzi wake baada ya kufufuka kwa Yesu[YOHANA 20:1,19,26 WARUMI 10:9].
( c ). Siku ya kuja Roho mtakatifu ,Mwangalizi mkuu wa kazi yote ya Mungu katika kanisa , ilikuwa siku ya pentekoste ambayo ni Jumapili, siku ya pili baada ya sabato [MATENDO 2:1]
( d ) Siku ya pentekoste ,Jumapili ndiyo siku ya kwanza ambayo kanisa la kwanza lilianza mahubiri na watu 3,000 wakaokoka na kuanza kusanyiko la kwanza la Ibada kanisani [MATENDO 2].
( e ). Wakristo wa kanisa la kwanza walikusanyika Jumapili [MATENDO 20:6-12;1WAKORINTHO 16:1-2].
Sababu hizi ,zinadhihirisha pia wazi wazi kwamba kuabudu Jumapili hakukuanzishwa na mfalme CONSTANTINE wala kanisa Katoliki.Hakuna andiko lolote linalosema mtu yeyote anayeabudu Jumapili ana alama ya 666 ya mnyama.Huo ni uzushi.Biblia inatupa uhuru wote katika kuchagua siku ya kumwadhimisha Bwana[WARUMI14:5-6].Vilevile ni muhimu kufahamu kuwa siku zote ni siku za kujifunza Neno [MATENDO 17:11;2:46].
( 5 ).KUSHIKA SIKU, SIYO NJIA YA KUOKOKA :
Kushika siku yoyote hata iwe Jumapili, sio njia ya kuokoka.Tunaokolewa kwa kumuamini Yesu kuwa ni BWANA na MWOKOZI na sio kwa kushika siku yoyote[WARUMI 10:9-10,13].
Hakuna hata moja kati ya mafungu hayo linalodokeza ya kwamba wale mitume waliazimu kuacha kuitunza Sabato ya siku ya saba. Mitume wale hawakulitaja badiliko lolote la Sabato kutoka siku ya saba kwenda ile yaUnanipotezea muda wa kulala tu. Umeshindwa kuonyesha katika agano jipya ni wapi pameandikwa ikumbuke siku ya sabato na kuitakasa, unaleta porojo. Kwa faida ya wasomaji wengine, pitieni andiko la Mchungaji Kakobe. Huyu yeye sio Mkatoliki ila anaabudu Jumapili. Kwa wale wasabato, mapovu ruksa.

Usiseme ni pumba, someni hata mpate ufahamu. Kakobe sio Mkatoliki ambao unawatukana kila siku, naye kasema yake kuhusu SABATO. Kukopi sio dhambi, muhimu ni kujifunza.UMEAMUA UKAKOPI PUMBA ZOTE ULETE HAPA
Badala ya kusoma kwa tafakuri, unakopi na kuniletea propaganda zile zile. (Halafu unafanya makosa makubwa kwa mujibu wa sheria yenu ya kisabato kutukana wakati sabato kwa mujibu wa mama yenu) imekwishaanza. Nakushauri kalale ujiandae na sabato maana imekaribia mkajifunze matusi mengine.Hakuna hata moja kati ya mafungu hayo linalodokeza ya kwamba wale mitume waliazimu kuacha kuitunza Sabato ya siku ya saba. Mitume wale hawakulitaja badiliko lolote la Sabato kutoka siku ya saba kwenda ile ya
kwanza ya juma. Hakuna ushahidi wowote ulio wazi katika Agano Jipya unaoonyesha badiliko hilo la Sabato kutoka Jumamosi, siku ya saba ya juma, kwenda Jumapili, siku ya kwanza ya juma. Badiliko hilo lilikuja baada ya siku zile za Yesu na mitume wake, kwa hiyo, yatupasa sisi kuigeukia historia ili kuona ni lini na kwa jinsi gani badiliko hilo lilitokea.