Vyuo vikuu nchini haviwatendei haki wasabato??

Hujajibu maswali yangu unakurupuka na vimistari vyako vya kukariri. Nimekuuliza maswali hapo juu hakuna hata moja ulilojibu. Nimekuuliza, leta ushahidi wowote katka agano jipya unaotaka wakristo wakutane kuabudu siku ya sabato. Hizo amri za Mungu mnazokomaa nazo mnajua ziko ngapi katika agano jipya ? acheni kutuletea mambo yenu ya ajabu mkiwaaminisha watu kwamba ninyi ni Miungu watu. Jibu hoja zangu hapo juu kwanza.
ETI NA WEWE UNA HOJA

HIZO AMRI ZA AGANO JIPYA AMEZIANZISHA PAPA?

MAANA MUNGU WA MBINGUNI ALIAPA HATABADILI NENO LAKE WALA AMRI KUMU IKIWEPO YA SABATO HAZITANGUKA,

LABDA AMRI ZENU ZA KATEKISIMO

Hakuna hata moja kati ya mafungu hayo linalodokeza ya kwamba wale mitume waliazimu kuacha kuitunza Sabato ya siku ya saba. Mitume wale hawakulitaja badiliko lolote la Sabato kutoka siku ya saba kwenda ile ya
kwanza ya juma. Hakuna ushahidi wowote ulio wazi katika Agano Jipya unaoonyesha badiliko hilo la Sabato kutoka Jumamosi, siku ya saba ya juma, kwenda Jumapili, siku ya kwanza ya juma. Badiliko hilo lilikuja baada ya siku zile za Yesu na mitume wake, kwa hiyo, yatupasa sisi kuigeukia historia ili kuona ni lini na kwa jinsi gani badiliko hilo lilitokea.

KAMA.LIPO LIANDIKE HAPA
 
Sabato ni lini.. Lini ni siku ya 6
Ni siku ya 6 kwa kitabu gani?

Biblia inasema ni siku ya 7

Quran inasema ni siku ya 7

UPAPA ULIOFANYA MABADILIKO UNAKIRI HIVO

Katekisimo ya kanisa Katoliki la Roma inasomeka hivi:
"Swali: Ipi ndiyo siku ya Sabato?
"Jibu: Jumamosi ndiyo siku ya Sabato.
"Swali: Kwa nini sisi tunaitunza Jumapili badala ya Jumamosi?
"Jibu: Tunaitunza Jumapili badala ya Jumamosi kwa sababu kanisa Katoliki …. Liliihamisha ibada toka Jumamosi kwenda Jumapili".
- Peter Geirmannn, The Convert's Catechism of Catholic Doctrine (toleo la 1957). Uk. 50.
FB_IMG_1541728845198.jpeg
 
Sabato ni lini.. Lini ni siku ya 6
Ni siku ya 6 kwa kitabu gani?

Biblia inasema ni siku ya 7

Quran inasema ni siku ya 7

UPAPA ULIOFANYA MABADILIKO UNAKIRI HIVO

Katekisimo ya kanisa Katoliki la Roma inasomeka hivi:
"Swali: Ipi ndiyo siku ya Sabato?
"Jibu: Jumamosi ndiyo siku ya Sabato.
"Swali: Kwa nini sisi tunaitunza Jumapili badala ya Jumamosi?
"Jibu: Tunaitunza Jumapili badala ya Jumamosi kwa sababu kanisa Katoliki …. Liliihamisha ibada toka Jumamosi kwenda Jumapili".
- Peter Geirmannn, The Convert's Catechism of Catholic Doctrine (toleo la 1957). Uk. 50.View attachment 928130
 
Niambie lini mungu alisema jmos ni sabato
 
Yesu alikufa na kufufuka lini tuanzie hapa kwanza , utaelewa taratibu

Maana hata WAYAHUDI kalenda yao haijawahi kubadilika mpaka leo sabato ni Jumamos

Quran inakili sabato ni jumamos

Roma.waliofanya editing amri za Mungu wanakiri sabato ni jumamos

Sasa wewe kwa iman yako

YESU ALIKUFA LINI NA KUFUFUKA LINI
 
ETI NA WEWE UNA HOJA

HIZO AMRI ZA AGANO JIPYA AMEZIANZISHA PAPA?

MAANA MUNGU WA MBINGUNI ALIAPA HATABADILI NENO LAKE WALA AMRI KUMU IKIWEPO YA SABATO HAZITANGUKA,

LABDA AMRI ZENU ZA KATEKISIMO

Hakuna hata moja kati ya mafungu hayo linalodokeza ya kwamba wale mitume waliazimu kuacha kuitunza Sabato ya siku ya saba. Mitume wale hawakulitaja badiliko lolote la Sabato kutoka siku ya saba kwenda ile ya
kwanza ya juma. Hakuna ushahidi wowote ulio wazi katika Agano Jipya unaoonyesha badiliko hilo la Sabato kutoka Jumamosi, siku ya saba ya juma, kwenda Jumapili, siku ya kwanza ya juma. Badiliko hilo lilikuja baada ya siku zile za Yesu na mitume wake, kwa hiyo, yatupasa sisi kuigeukia historia ili kuona ni lini na kwa jinsi gani badiliko hilo lilitokea.

KAMA.LIPO LIANDIKE HAPA
Mzee inaonekana unayo matatizo ya kuelewa. Twende na swali moja moja maana inaonekana wewe ni kichwa ngumu. Nimekwambia nionyeshe katika agano jipya ni wapi wakristo wameagizwa waitunze sabato ? TUANZIE HAPO KWANZA. Nimekuuliza pia swali dogo kabisa, baada ya kifo cha YESU pale msalabani, amri za Mungu sasa zipo ngapi ambazo zimegawanywa katika zile amri kumi ? msijifanye wajuaji mkawa mnatukana watu ovyo. Jibu kwanza haya maswali ndipo tuendelee.
 
Leta andiko kuwa BAADA YA YESU KUFA AMRI ZILITANGUKA , ILI TUONE NANI ANA MATATIZO ,MAANA MMEZOEA KUSOMEWA MAANDIKO,

BIBLIA YANGU INANIAMBIA HIVI

Mungu alipowapa watu wake zile Amri kumi, pia alieleza wazi kwamba maagizo yale yaliyotoka kinywani mwake asiwepo mwanadamu yeyote wa kuyafanyia marekebisho yeyote ili kuyafanya yawe bora zaidi au kuondoa maneno yake yeyote anapofanya uhariri wake.

"MSIONGEZE neno lolote katika yale niwaamuruyo, wala MSIPUNGUZE neno lolote, bali zishikeni amri (kumi) za BWANA, Mungu wenu ninazowapa ninyi" - (Kumbukumbu la Torati 4:2).

Mungu mwenyewe anatoa ahadi kwamba hawezi kuzibadili amri zake [kumi]:
"MIMI SITALIVUNJA agano langu, wala SITABADILI NENO LILILOTOKA MIDOMONI (MWANGU) - (Zaburi 89:34).

Biblia inaeleza waziwazi kwamba Mungu hakubadili Sabato kutoka siku ya saba kwenda ile ya kwanza ya juma.

Je! Yesu Aliibadili Sabato? AU AMRI YEYOTE KATI YA ZILE KUMI?

Kulingana na maneno ya Yesu, Amri kumi haziwezi kubadilika kamwe:
"Msidhani ya kuwa nimekuja kutangua sheria na mafundisho ya manabii. Sikuja kutangua bali kukamilisha. Kweli nawaambieni, mpaka hapo mbingu na dunia zitakapopita, hakuna hata nukta moja au sehemu ndogo kabisa ya sheria itakayoondoka mpaka yote yametimia" - (Mathayo 5:17-18)

WEWE UNASOMA.BIBLIA YA WAPI?

LETA MAANDIKO HAPA KUWA KIFO CHA YESU KILIBADILI AMRI KUMI

MIMI NITAKUPA USHIHIDI MWINGINE WA KIMAANDIKO KUWA YESU ALIIZUNGUMZIA SABATO YA MBELE MIAKA 40 BAADA YA KUWA AMEPAA

FB_IMG_1541730059304.jpeg
 
Yesu alikufa na kufufuka lini tuanzie hapa kwanza , utaelewa taratibu

Maana hata WAYAHUDI kalenda yao haijawahi kubadilika mpaka leo sabato ni Jumamos

Quran inakili sabato ni jumamos

Roma.waliofanya editing amri za Mungu wanakiri sabato ni jumamos

Sasa wewe kwa iman yako

YESU ALIKUFA LINI NA KUFUFUKA LINI
Nilikwambia mapema sana. Unajifanya mjuaji , ila huna unachokijua katika ulimwengu wa Roho zaidi ya kumkufuru Mungu kwa kujihesabia UTAKATIFU. Wakristo wa kweli tupo chini ya sheria za Yesu na SIO TORATI YA MUSA ambayo ni kuvuli cha mambo yajayo. Wakristo hatupo chini ya sheria/torati (agano la Kale), bali tupo chini ya sheria ya Kristo (Wagalatia 6:2). Torati yote na Manabii inakamilishwa katika amri za gano jipya (Mathayo 22: 37-40).
 
Nao watamwambudu MUNGU katika roho na katika roho na kweli,,,,,, wasabato mnaabudu SIKU na sio MUNGU.. nina marafiki zangu ni wasabato nawafahamu vilivyo... niwashika siku sana lkn ni watenda uzinzi wa kutupwa... sasa unashika sabato halafu UNAZINI then unasema dunia imelaaniwa kwa kutoishika sabato,, serious

YESU alisema Amri kuu kupita zote ni upendo, mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote na kwa akili zako zote.. pia mpende na jirani yako kama unavyojipenda wewe mwenyewe..

Tutaenda Mbinguni kwa matendo mema na sio kwa kuishika siku huku jpl ikifika unazini, bado una choyo na chuki dhidi ya jirani zako,

Tuacheni kuishi historia wasabato mmebaki kufundisha historia ya kanisa katoliki.

Acheni unafiki hata Yesu mwenye alishasema watu waache unafiki..." ukitaka kusali nawe jifungie chumbani mwako usali, nae baba yako aliye sirini atakujaza."

Neno la Mungu linasema siku zote kwa Mungu ni sawa , sasa ww unangangana na sabato ambalo lilikua ni agano kati ya Mungu na wana wa israel..Mungu wetu sio yule wa kwenda kumwambudu mlimani..Mungu wetu ni roho..

WASABATO MSIJIONE KWAMBA MPO SAHIHI KULIKO WENGINE,,
 
AMRI KUMI SIO SHERIA ZA MUSA

ACHA UONGO, UNAONA UNAVYOPOTEZWA,

HALAFU NIMEKWAMBIA HIZO AYA ZIANDIKE HAPA

HALAFU WEWE SIO MKRISTO WEWE NI MPAGANI

MAANA UYAFANYAYO HAKUNA MTUME WALA NABII AU YESU MWENYEWE ALIYAFANYA

HAKUNA MTUME WALA NABII ALIFANYA IBADA JUMAPILI

HAKUNA IBADA ZA WAFU

WALA KUABUDU MASANAMU

WEWE NI MPAGANI

BIBLIA YANGU INANIAMBIA

AMRI ZA MUNGU NI ZA MILELE

WEWE UNANIAMBIA NI ZA MUSA

HUYO YESU UNAYEMSINGIZIA UNAMFATA

ANASEMA

hakuja kubadili wala kutangua AMRI ZA BABA YAKE

WEWE UNAKUJA HAPA UNAOKOTEZA MAANDIKO YA PAULO AMBAYO MNAYAPOTOA ,

NIMEKWAMBIA ANDIKA ANDIKO FULL HAPA NITAKUJULISHA

FB_IMG_1541730207584.jpeg
 
Hao wanaotunza sabato halafu wanazini hawana tofaut na wewe ,ambaye unavunja Sabato halafu hauzini

Wote motoni

NIKO HAPA KUZITETEA NA KUZIFUNDISHA AMRI ZOTE

NAKAZANIA SABATO AMRI YA 4 MAANA HAMUITAKI NA MNAIVUNJA DHAHIRI NA.HADHARANI

HALAFU UNAPOSEMA TUANAABUDU SIKU, BASI MUABUDU SIKU WA KWANZA NI MUNGU NA YESU MWENYEWE(LUKA4:16)

NINYI NDIO MNAITIA UNAJISI DUNIA, AMRI YA SABATO NI MUHURI WA MUNGU

Tena dunia imetiwa unajisi kwa watu wanaoikaa, kwa maana wameziasi sheria, wameibadili amri, wamelivunja agano la milele". ISAYA 24:3-5.

WEWE NI MPAGANI, MKRISTO WA KWELI ANAFATA NYAYO ZA YESU SIO NYAO ZA PAPA
FB_IMG_1541729957301.jpeg
 
Nyinyi hamna utofauti na wale wanafiki wa enzi za Yesu......Mungu ni roho na mwambunduyo watamwabudu katika roho na kweli.... sasa nyinyi endeleeni kuiabudu sabato,
Hao wanaotunza sabato halafu wanazini hawana tofaut na wewe ,ambaye unavunja Sabato halafu hauzini

Wote motoni

NIKO HAPA KUZITETEA NA KUZIFUNDISHA AMRI ZOTE

NAKAZANIA SABATO AMRI YA 4 MAANA HAMUITAKI NA MNAIVUNJA DHAHIRI NA.HADHARANI

HALAFU UNAPOSEMA TUANAABUDU SIKU, BASI MUABUDU SIKU WA KWANZA NI MUNGU NA YESU MWENYEWE(LUKA4:16)

NINYI NDIO MNAITIA UNAJISI DUNIA, AMRI YA SABATO NI MUHURI WA MUNGU

Tena dunia imetiwa unajisi kwa watu wanaoikaa, kwa maana wameziasi sheria, wameibadili amri, wamelivunja agano la milele". ISAYA 24:3-5.

WEWE NI MPAGANI, MKRISTO WA KWELI ANAFATA NYAYO ZA YESU SIO NYAO ZA PAPAView attachment 928176
 
Leta andiko kuwa BAADA YA YESU KUFA AMRI ZILITANGUKA , ILI TUONE NANI ANA MATATIZO ,MAANA MMEZOEA KUSOMEWA MAANDIKO,

BIBLIA YANGU INANIAMBIA HIVI

Mungu alipowapa watu wake zile Amri kumi, pia alieleza wazi kwamba maagizo yale yaliyotoka kinywani mwake asiwepo mwanadamu yeyote wa kuyafanyia marekebisho yeyote ili kuyafanya yawe bora zaidi au kuondoa maneno yake yeyote anapofanya uhariri wake.

"MSIONGEZE neno lolote katika yale niwaamuruyo, wala MSIPUNGUZE neno lolote, bali zishikeni amri (kumi) za BWANA, Mungu wenu ninazowapa ninyi" - (Kumbukumbu la Torati 4:2).

Mungu mwenyewe anatoa ahadi kwamba hawezi kuzibadili amri zake [kumi]:
"MIMI SITALIVUNJA agano langu, wala SITABADILI NENO LILILOTOKA MIDOMONI (MWANGU) - (Zaburi 89:34).

Biblia inaeleza waziwazi kwamba Mungu hakubadili Sabato kutoka siku ya saba kwenda ile ya kwanza ya juma.

Je! Yesu Aliibadili Sabato? AU AMRI YEYOTE KATI YA ZILE KUMI?

Kulingana na maneno ya Yesu, Amri kumi haziwezi kubadilika kamwe:
"Msidhani ya kuwa nimekuja kutangua sheria na mafundisho ya manabii. Sikuja kutangua bali kukamilisha. Kweli nawaambieni, mpaka hapo mbingu na dunia zitakapopita, hakuna hata nukta moja au sehemu ndogo kabisa ya sheria itakayoondoka mpaka yote yametimia" - (Mathayo 5:17-18)

WEWE UNASOMA.BIBLIA YA WAPI?

LETA MAANDIKO HAPA KUWA KIFO CHA YESU KILIBADILI AMRI KUMI

MIMI NITAKUPA USHIHIDI MWINGINE WA KIMAANDIKO KUWA YESU ALIIZUNGUMZIA SABATO YA MBELE MIAKA 40 BAADA YA KUWA AMEPAA

View attachment 928151
Hakika wewe ni kilaza. Ingekuwa ni mtihani ungepata 0%. Nionyeshe katika agano jipya hiyo amri ya 4 inayosema tuitii sabato ya kiyahudi na kuachana na sabato ya kweli ya Wakristo. Ukweli ni kwamba huna ushahidi wa andiko zaidi ya porojo za mistari ya kukariri tu. Umeniambia nikuletee andiko wapi pameandikwa torati ya Musa ilibatilishwa baada ya kifo cha Yesu Msalabani. Haya kwa kuanzia nenda kasome (Wakolosai 2: 14-20)
 
AMRI KUMI SIO SHERIA ZA MUSA

ACHA UONGO, UNAONA UNAVYOPOTEZWA,

HALAFU NIMEKWAMBIA HIZO AYA ZIANDIKE HAPA

HALAFU WEWE SIO MKRISTO WEWE NI MPAGANI

MAANA UYAFANYAYO HAKUNA MTUME WALA NABII AU YESU MWENYEWE ALIYAFANYA

HAKUNA MTUME WALA NABII ALIFANYA IBADA JUMAPILI

HAKUNA IBADA ZA WAFU

WALA KUABUDU MASANAMU

WEWE NI MPAGANI

BIBLIA YANGU INANIAMBIA

AMRI ZA MUNGU NI ZA MILELE

WEWE UNANIAMBIA NI ZA MUSA

HUYO YESU UNAYEMSINGIZIA UNAMFATA

ANASEMA

hakuja kubadili wala kutangua AMRI ZA BABA YAKE

WEWE UNAKUJA HAPA UNAOKOTEZA MAANDIKO YA PAULO AMBAYO MNAYAPOTOA ,

NIMEKWAMBIA ANDIKA ANDIKO FULL HAPA NITAKUJULISHA

View attachment 928171
Pumbavu wewe. Haya nipe sheria za Musa alizozitoa yeye kwa wana wa Israeli. Usifikiri unaweza kumdaganya kila mtu. Unachoniudhu mimi ni kutukana watu wa imani nyingine.
 
Hakika wewe ni kilaza. Ingekuwa ni mtihani ungepata 0%. Nionyeshe katika agano jipya hiyo amri ya 4 inayosema tuitii sabato ya kiyahudi na kuachana na sabato ya kweli ya Wakristo. Ukweli ni kwamba huna ushahidi wa andiko zaidi ya porojo za mistari ya kukariri tu. Umeniambia nikuletee andiko wapi pameandikwa torati ya Musa ilibatilishwa baada ya kifo cha Yesu Msalabani. Haya kwa kuanzia nenda kasome (Wakolosai 2: 14-20)
Hahaha wewe ndio kilaza

Biblia haina SABATO YA KIYAHUDI NA SABATO YA KIKRISTO

LETA ANDIKO HAPA NIONESHE SABATO YA KIKRISTO NA YA KIYAHUDI

YAANI UMEDANGANYWA NA WEWE UNATAKA KUDANGANYA?

ETI SABATO YA KIYAHUDI

BIBLIA YANGU INANIAMBIA SABTO NI YA BWANA

NA SABATO NI KWA AJIRI YA MWANADAMU

SIO KWA AJIRI YA MYAHUDI,

AU WEWE NGURUWE?

SABATO NI MOJA YA AMRI KUMI ,

NA AMRI KUMI KAMWE HAZITABADILIKA

HATA MITUME KINA LUKA, YAKOBO, PAULO BAADA YA YESU KUPAA WALITUNZA SABATO

NAKUPA MAANDIKO SIO MIPASHO

JE! WENGI WANAWEZA KUKOSEA?

Je! Wale Mitume Waliibadili Sabato?

Yakobo, kiongozi wa kwanza wa kanisa lile la mwanzo, aliandika maneno haya kuhusu zile Amri kumi:
"Anayevunja amri mojawapo ya sheria, atakuwa na hatia ya kuivunja sheria yote. Maana yule yule aliyesema: "USIZINI, "alisema pia" "USIUE." Kwa hiyo, hata ikiwa hukuzini, lakini umeua, wewe umeivunja sheria" - (Yakobo 2:10, 11).

Luka, tabibu na mwinjilisti katika kanisa lile la kwanza, anatoa taarifa hii.

"Siku ya Sabato tukatoka nje ya mji, tukaenda kando ya mto, ambapo tulidhani kuwa mahali pa kusali. Tuliketi, tukiongea na wanawake waliokusanyika mahali hapo" - (Matendo 16:13).

Kitabu cha Matendo cha Agano Jipya kinataja mara 84 ilipotunzwa. Sabato hiyo na wafuasi wa Kristo, zote hizo zilikuwa zikitunzwa zaidi ya miaka 14 baada ya ufufuo wa Yesu: Sabato 2 pale Antiokia (Matendo 13:14,42,44); 1 pale Filipi (Matendo 16:13), 3 pale Thesalonike (Matendo 17:2,3), Sabato 78 pale Korintho (Matendo 18:4,11).

Yohana, wa mwisho kufa miongoni mwa wale mitume kumi na wawili, aliitunza Sabato. Aliandika hivi:
"Siku ya Bwana nilikuwa katika Roho" - (Ufunuo 1:10).

Kulingana na maneno ya Yesu, siku ya Bwana ni Sabato:
"Mwana wa Adamu ndiye Bwana wa Sabato" - (Mathayo 12:8)

HAYA NA WEWE LETA USHAHIDI HAPA
FB_IMG_1541687429948.jpeg
 
Pumbavu wewe. Haya nipe sheria za Musa alizozitoa yeye kwa wana wa Israeli. Usifikiri unaweza kumdaganya kila mtu. Unachoniudhu mimi ni kutukana watu wa imani nyingine.
Acha kupaniki

Hapa ni maandiko tu

Mimi.ukinitukana ndio nafurahi,

Maandiko ya Mungu kwako yanakuchoma hadi unapaniki

AMRI ZA MUNGU NI KAMILIFU KASEMA MUNGU MWENYEWE,

FB_IMG_1541730051118.jpeg
 
Habari wana jamii!

Zikiwa zimebaki siku chache tu kabla ya kufanyika kwa mahafari ya kuhitimu chuo kikuu, nina sikitika kuona kwamba rafiki zangu wengi wasabato hawachangamki kabisa.

Jana tumetoka kulipia majoho lakini nikashangaa kuona rafiki zangu wasabato hawalipii (siowote) na sababu kubwa ya kutolipia ni kwamba sherehe hiyo ya kuhitimu chuo inafanyika siku ya jumamosi ambayo ni siku yao ya kuabudu.

Idadi kubwa ya vyuo vikuu nchini hapa hufanya sherehe hizi siku ya jumamosi hivyo kuwanyima nafasi ya kushiriki ndg zetu hawa wasabato.

Na ninyi wasabato mje hapa mtuambie ubaya wa kushiriki siku ya jumamosi maana kwa mtizamo wangu siku hiyo hufanyi kazi ni sawa na kupumzika kabisa huku ukifrahia kujumuika na wenzako.

Karibuni tueleweshane.

Marafili zako wamechanganikiwa tu....Usabato si dini bali ni "A CULT" ambayo imeundwa na mwana mama aliyechanganikiwa baada ya kifo cha mumewe, "Ellen G. White."
 
Back
Top Bottom