Vyuo vikuu nchini haviwatendei haki wasabato??

Sijasema hayupo, nakusihi tu utumie common sense, Mungu ninaemfahamu hawezi kuchoka, sasa wewe umekabidhi kitabu kikushikie akili yako yote na hutaki kutafakari, unafuata tu kama kondoo, Mungu anachokaje? Kiakili au kimwili? Ndio maana ni kasema huo ni uwendawazimu on the basis of common sense
Sijaandika mimi , basi kama.hauiamini biblia leta kitabu chako unachokiamini, na huyo Mungu wako ni tofauti na huyo aliyepumzika siku ya 7?
 
Katika ile amri ya nne Mungu anatuagiza sisi anasema:
"Ikumbeke siku ya Sabato uitakase. Siku sita fanya kazi na kutenda mambo yako yote, lakini SIKU YA SABA NI SABATO YA BWANA, MUNGU WAKO. Siku hiyo usifanye kazi yoyote, … maana kwa siku siku sita BWANA alifanya mbingu, na nchi, na bahari na vyote vilivyomo, lakini AKAPUMZKA siku ya saba. Kwa hiyo BWANA AKAIBARIKI siku ya Sabato AKAITAKASA" - Kutoka 20:8-11.

Mungu alipowapa watu wake zile Amri kumi, pia alieleza wazi kwamba maagizo yale yaliyotoka kinywani mwake asiwepo mwanadamu yeyote wa kuyafanyia marekebisho yeyote ili kuyafanya yawe bora zaidi au kuondoa maneno yake yeyote anapofanya uhariri wake.

"MSIONGEZE neno lolote katika yale niwaamuruyo, wala MSIPUNGUZE neno lolote, bali zishikeni amri (kumi) za BWANA, Mungu wenu ninazowapa ninyi" - (Kumbukumbu la Torati 4:2).

Mungu mwenyewe anatoa ahadi kwamba hawezi kuzibadili amri zake [kumi]:
"MIMI SITALIVUNJA agano langu, wala SITABADILI NENO LILILOTOKA MIDOMONI (MWANGU) - (Zaburi 89:34).

Biblia inaeleza waziwazi kwamba Mungu hakubadili Sabato kutoka siku ya saba kwenda ile ya kwanza ya juma.

View attachment 928000
Kitu kinaitwa jumaPILI wewe useme ya kwanza? Na Juma MOSI je?
 
Katika ile amri ya nne Mungu anatuagiza sisi anasema:
"Ikumbeke siku ya Sabato uitakase. Siku sita fanya kazi na kutenda mambo yako yote, lakini SIKU YA SABA NI SABATO YA BWANA, MUNGU WAKO. Siku hiyo usifanye kazi yoyote, … maana kwa siku siku sita BWANA alifanya mbingu, na nchi, na bahari na vyote vilivyomo, lakini AKAPUMZKA siku ya saba. Kwa hiyo BWANA AKAIBARIKI siku ya Sabato AKAITAKASA" - Kutoka 20:8-11.
Kuna swali unakwepa kulijibu...ila tutafika tu.

Umenukuu Amri ya Nne mwenyewe hapo.

Je,Kuna mahali popote katika hiyo Amri ya Nne uliyonukuu ambapo Mungu ameagiza KUSALI siku ya sabato?

Hiyo sehemu IPO AU HAIPO? Jibu straight mkuu,usiweke maneno mengi.
 
Sijaandika mimi , basi kama.hauiamini biblia leta kitabu chako unachokiamini, na huyo Mungu wako ni tofauti na huyo aliyepumzika siku ya 7?
Nishakwambia sijashikiwa akili na kitabu chochote, common sense is my book so to speak! Hakuna Mungu anaechoka..
 
Kitu kinaitwa jumaPILI wewe useme ya kwanza? Na Juma MOSI je?
Kweli wewe wazazi wako walipoteza ada kukupeleka shule

Hayo majina yameitwa hivo ili kuwahadaa msiishike Sabato na aliyeyaita hivo ni muarabu cha ajabu

Quran inakiri Jumamos ni sabato

Kalenda ya kiarabu inakir jumamos ni sabato

Ukatoliki uliobadili sabato unakiri sabato ni jumamos

Katekisimo ya kanisa Katoliki la Roma inasomeka hivi:
"Swali: Ipi ndiyo siku ya Sabato?
"Jibu: Jumamosi ndiyo siku ya Sabato.
"Swali: Kwa nini sisi tunaitunza Jumapili badala ya Jumamosi?
"Jibu: Tunaitunza Jumapili badala ya Jumamosi kwa sababu kanisa Katoliki …. Liliihamisha ibada toka Jumamosi kwenda Jumapili".
- Peter Geirmannn, The Convert's Catechism of Catholic Doctrine (toleo la 1957). Uk. 50.

Kwa majivuno kanisa Katoliki linatangaza kwamba viongozi wa kanisa ambao ni wanadamu tu ndio waliofanya badiliko hilo.

"Siku ile takatifu, yaani, Sabato, ilibadilishwa kutoka Jumamosi kwenda Jumapili... si kutokana na maagizo yo yote yaliyoonekana katika Maandiko bali kutokana na hisia ya kanisa kwamba linao uwezo wake lenyewe… watu wale wanaofikiri kwamba Maandiko ndiyo yangekuwa mamlaka peke yake, kwa mantiki hiyo, ingewapasa kuwa Waadventista Wasabato , nao wangeitakasa Jumamosi." - Cardinal Maida, Askofu Mkuu wa Detroit, Saint Catherine Catholic Church Sentine, Algonac, Michigan, Mei 21, 1995.

FB_IMG_1541730059304.jpeg
 
Ungeleta andiko ingekuwa vema ,maana mm na ushahidi wa kimaandiko

Manabii wote

Had yesu na mitume walisali siku ya SABATO

hii jumapili ni ibada ya papa

Sasa sijui unasmsema Yesu gan huyoView attachment 926096
Nyie wasabato ni watu wa ajabu sana.
Kwanini mara zote mmekuwa ni watu wa kukashifu imani za watu wengine na nyie kujihesabia haki ? ndivyo mnavyofundishana ?
Aliyewaambia Ibada za Jumapili zilianzishwa na Papa ni nani ? Nani kawadanganya ?
Kama ibada ya Jumapili ilianzishwa na Papa, ina maana madhehebu lukuki duniani yanayoabudu siku ya Jumapili yote yanaripoti kwa Papa, kwamba wao hawana uwezo wa kufikiri na kusoma maandiko Matakatifu?
Wote tunajua kuwa Serikali haina dini, lakini hairuhusiwi kwa mtu yeyote kuleta uchochezi wa masuala ya imani, ni kosa kisheria. Mnalitambua hilo ?
Kwa nini hasa mhangaika sana kushambulia Kanisa Katoliki na kuacha kuhubiri msingi wa imani yenu ? ukitaka kujua nyie watu mna matatizo na mnachuki kubwa dhidi ya Kanisa Katoliki, angalia hoja ya mtoa mada, halafu linganisha na approach zenu wakati wakutetea hoja zenu.
Mnakera sana.

Kabla ya kutukana na kudhihaki watu mitandaoni, mlishawahi kujiuliza ni kwanini wakristo wengi (ukiacha Wakatoliki) wanaabubu siku ya Jumapili ?
Ndio kusema nyie mnasoma sana maandiko Matakatifu kuliko watu wa imani nyingine?

Natamani sana ningepata hata nafasi munikaribishe huko kwenu nije niwape semina ya Neno la Mungu, maana kwa mnayoyafanya hadharani, ni wazi nyie ni wapinga Kristo, ni wachanga sana kiimani na mnaifedhehesha sana imani yenu.

Watanzania tumefundishwa kuheshimiana na kuheshimu iimani za watu wengine, nyie wenzetu mliojihesabia Utakatifu na kutumia nguvu kubwa kukashifu imani za watu wengine sijui mmetokea wapi. Wakati Mwingine ni vigumu kuwavumilia.

Ngoja niwafahamishe kwa ufupi kabisa ni kwa nini Wakristo wengi wanaabudu siku ya Jumapili na sio Jumamosi. Hii ni maada ndefu sana wanaoweza kuielewa ni wale waliosoma vizuri maandiko Matakatifu, na si wale wanaounganisha dots na kupitia sehemu zinazowafaa wao.

KWA NINI WAKRISTO WANAABU SIKU YA JUMAPILI ?

Siku ya JUMAPILI, ambayo ndiyo siku ya kwanza ya juma, SIKU YA BWANA aliyoshinda mauti na kufufuka [UFUNUO1:10]. Tunaitenga maalum kumwabudu Bwana kwa sababu:-

a) Ni sikukuu ya malimbuko ya mavuno ambayo ilifanywa katika Agano la Kale, SIKU YA PILI baada ya Sabato; Ikiwa ni utabiri wa Kristo ambao ni LIMBUKO lao waliolala (Walawi 23: 9-14;1 Wakorinto 15:20).

b) Ni siku ya ushindi ya Bwana wetu Yesu aliyofufuka, na kujidhihirisha kwa wanafunzi wake baada ya kufufuka kwa Yesu (YOHANA 20:1,19,26 WARUMI 10:9).

c) Siku ya kuja Roho Mtakatifu, Mwangalizi mkuu wa kazi yote ya Mungu katika kanisa, ilikuwa siku ya Pentekoste ambayo ni Jumapili, siku ya pili baada ya sabato (MATENDO 2:1)

d) Siku ya Pentekoste, Jumapili ndiyo siku ya kwanza ambayo kanisa la kwanza lilianza mahubiri na watu 3,000 wakaokoka na kuanza kusanyiko la kwanza la Ibada kanisani (MATENDO 2).

e) Wakristo wa kanisa la kwanza walikusanyika Jumapili (MATENDO 20:6-12;1WAKORINTHO 16:1-2)
Sababu hizi, zinadhihirisha pia wazi wazi kwamba kuabudu Jumapili hakukuanzishwa na mtu yeyote wala kanisa Katoliki.

Biblia inatupa uhuru wote katika kuchagua siku ya kumwadhimisha Bwana [WARUMI14:5-6]. Vilevile ni muhimu kufahamu kuwa siku zote ni siku za kujifunza Neno (MATENDO 17:11;2:46).

KUSHIKA SIKU, SIYO NJIA YA KUOKOKA
Kushika siku yoyote hata iwe Jumapili, sio njia ya kuokoka.Tunaokolewa kwa kumuamini Yesu kuwa ni BWANA na MWOKOZI na sio kwa kushika siku yoyote (WARUMI 10:9-10,13).Wokovu wetu siku hizi uko ndani ya Kristo, siyo kwa kushika Torati ya Musa. Haina maana kwamba agano la kale halihitajiki tena, la hasha, ila kifo cha Yesu Pale Msalabani kilifungua ukurasa mpya ambapo Mungu alitengeneza agano jipya kati yake na Wanadamu (Kwa kupigwa kwake sisi tumepona (Isaya 53: 5-6). Kwa nyongeza tu, hakuna mahali popote katika agano jipya panapohimiza wakristo kukutana na kuabudu siku ya Sabato.

Agano Jipya linatuonyesha mambo manne muhimu:
1) Popote Kristo alionekena baada ya kufufuka kwake na siku zimetajwa, kila wakati ni siku ya kwanza ya Juma (Mathayo 28:1,9, 10; Mariko 16:9; Luka 24:1,13,15; Yohana 20:19, 26).
2) Wakati pekee sabato imetajwa kutoka kwa kitabu cha Matendo ya Mitume hadi ufunuo ni kwa sababu ya lengo la uinjilisti kwa Wayahudi kwenye Masinagogi (Matendo Ya Mitume 13-18). Paulo aliandika, “Nilikuwa kama Myahudi kwa Wayahudi, ili niwapate Wayahudi” (1 Wakorintho 9:20). Paulo hakuenda katika Masinagogi kuwa na ushirika na kuwajenga waumini, bali alienda ili awathibitishie injili na kuwaokoa waliokuwa wamepotea.
3) Mara moja Paulo anasema, “tangu sasa nitakwenda kwa watu wa Mataifa” (Matendo Ya Mitume 18:6), sabato tena haitajwi kamwe.
4) Badala ya kupendekeza kuwa waitunze siku ya sabato, sehemu nyingine ya Agano Jipya iliyobaki yasema kinyume ( ikijumulisha sehemu ya tatu ilioachwa nche hapo juu, inapatika katika Wakolosai 2:16).

Kwa kuingalia hoja ya nne kwa makini, tutafumbua kwamba, hakuna jukumu lolote la kuitunza sabato kwa waumini wa Agano Jipya. Vile imejadiliwa hapo juu, hakuna wakati sabato imetajwa baada ya Paulo kuanza kuangazia Mataifa, “Basi mtu asiwahukumu ninyi katika vyakula au vinywaji, au kwa sababu ya sikukuu au mwandamo wa mwezi, au sabato; mambo hayo ni kivuli cha mambo yajayo; bali mwili ni wa Kristo” (Wakolosai 2:16-17). Sabato ya Kiyahudi ilifutiliwa msalabani mahali ambapo Kristo “Akiisha kuifuta ile hati iliyoandikwa ya kutushitaki” (Wakolosai 2:14).

Kwa andiko hili fupi kabisa, niwaase ndugu zangu wasabato, suala la imani ni suala mtambuka na kila mmoja analitafsiri kwa jinsi anavyoelewa. Hivyo, si busara kabisa kukashifu imani za watu wengine. Mungu wetu ndiye mwenye hukumu ya haki. Kwa hiyo, msijitwalie mamlaka ya kiungu mkaanza kuwadhihaki na kuwahukumu wengine na nyinyi kujihesabia haki.

Karibuni kwa matusi kama ilivyo kawaida yenu

Mkiambiwa ukweli mnadai mmetukanwa

BASI MTU WA KWANZA KUWATUKANA NI MUNGU MWENYEWE

HALAFU HAKUNA HATA AYA MOJA HAPO INAYOTOA KIBALI CHA IBADA YA JUMAPILI

UMEENDA UMEKOPI UMEPEST HATA KUPITIA UMESHINDWA
Uchunguzi wa ushahidi wa maandiko unaoonyesha wazi kwamba wale mitume hawakufanya jaribio lolote la kuibadili siku ya Mungu ya mapumziko kutoka siku ya saba kwenda ile siku ya kwanza ya juma. Agano jipya, linaitaja siku hiyo ya kwanza ya juma mara nane tu. Katika mifano hiyo yote hakuna ambapo siku ya kwanza ya juma inatajwa kuwa ni takatifu, wala hata kudokezwa kuwa tunapaswa kuitenga kama siku ya ibada. Uchunguzi uliofanywa kwa makini sana wa hayo mafungu manane yanayoitaja siku ya kwanza ya juma huonyesha matukio haya yaliyotokea Jumapili:

(1) Wanawake walikwenda kaburini siku ile ya kwanza ya juma (Mathayo 28:1).
(2) "Hata Sabato ilipokwisha" wanawake wakaanza tena kufanya shughuli zao za kidunia katika siku ile ya kwanza ya juma (Marko 16:1,2).
(3) Yesu alimtokea kwanza Mariamu Magdalena mapema siku ile kwanza ya juma (Marko 16:9).
(4) Wafuasi wa Yesu walianza tena kufanya shughuli zao katika ile siku ya kwanza juma (Luka 24:1).
(5) Mariamu alikwenda kwenye kaburi lile la Yesu na kulikuta kaburi liko tupu katika ile siku ya kwanza (Yohana 20:1).
(6) Wanafunzi wale walikusanyika mahali pamoja "kwa hofu ya Wayahudi" (si kwa ajili ya kuendesha ibada ) Katika ile siku ya kwanza ya juma (Yohana 20:19).
(7) Paulo aliwaomba washiriki wa kanisa kufanya mahesabu ya fedha zao walizopata katika ile siku ya kwanza ya juma, na "kuweka kando kiasi fulani cha fedha" kwa ajili ya maskini kule Yerusalemu (I Wakorintho 16:1,2). Kifungu hicho hakitaji mkutano wowote wa dini ambao ulifanyika.
(8) Katika Matendo 20:7 Luka anaongea habari za hotuba (mahubiri) ya Paulo aliyoitoa katika ile siku ya kwanza ya juma wakati wa mkutano ule wa kuagana ambao haukutazamiwa kufanyika. Kusema kweli, Paulo alihubiri kila siku, na mitume wale walimega mkate kila siku (Matendo 2:46).

Hakuna hata moja kati ya mafungu hayo linalodokeza ya kwamba wale mitume waliazimu kuacha kuitunza Sabato ya siku ya saba. Mitume wale hawakulitaja badiliko lolote la Sabato kutoka siku ya saba kwenda ile ya
kwanza ya juma. Hakuna ushahidi wowote ulio wazi katika Agano Jipya unaoonyesha badiliko hilo la Sabato kutoka Jumamosi, siku ya saba ya juma, kwenda Jumapili, siku ya kwanza ya juma. Badiliko hilo lilikuja baada ya siku zile za Yesu na mitume wake, kwa hiyo, yatupasa sisi kuigeukia historia ili kuona ni lini na kwa jinsi gani badiliko hilo lilitokea.

HAYA LETA ANDIKO MOJA TU LINALOONYESHA HATA MTUME WA YESU ALIFANYA IBADA SIKU YA KWANZA YA JUMA
FB_IMG_1541730133107.jpeg
 
Kwani Wasabato wanaabudu siku au Mungu?
 
Kweli wewe wazazi wako walipoteza ada kukupeleka shule

Hayo majina yameitwa hivo ili kuwahadaa msiishike Sabato na aliyeyaita hivo ni muarabu cha ajabu

Quran inakiri Jumamos ni sabato

Kalenda ya kiarabu inakir jumamos ni sabato

Ukatoliki uliobadili sabato unakiri sabato ni jumamos

Katekisimo ya kanisa Katoliki la Roma inasomeka hivi:
"Swali: Ipi ndiyo siku ya Sabato?
"Jibu: Jumamosi ndiyo siku ya Sabato.
"Swali: Kwa nini sisi tunaitunza Jumapili badala ya Jumamosi?
"Jibu: Tunaitunza Jumapili badala ya Jumamosi kwa sababu kanisa Katoliki …. Liliihamisha ibada toka Jumamosi kwenda Jumapili".
- Peter Geirmannn, The Convert's Catechism of Catholic Doctrine (toleo la 1957). Uk. 50.

Kwa majivuno kanisa Katoliki linatangaza kwamba viongozi wa kanisa ambao ni wanadamu tu ndio waliofanya badiliko hilo.

"Siku ile takatifu, yaani, Sabato, ilibadilishwa kutoka Jumamosi kwenda Jumapili... si kutokana na maagizo yo yote yaliyoonekana katika Maandiko bali kutokana na hisia ya kanisa kwamba linao uwezo wake lenyewe… watu wale wanaofikiri kwamba Maandiko ndiyo yangekuwa mamlaka peke yake, kwa mantiki hiyo, ingewapasa kuwa Waadventista Wasabato , nao wangeitakasa Jumamosi." - Cardinal Maida, Askofu Mkuu wa Detroit, Saint Catherine Catholic Church Sentine, Algonac, Michigan, Mei 21, 1995.

View attachment 928063
Ndio maana nikasema umeikabidhi akili yako ishikwe na kitabu, wewe hujishughulishi kabisa kutafakari
 
Hapa kuna fumbo, au unanihamisha kwenye huu.uzi?

Hebu tulia hapa hapa nikufunze, mimi natoa maandiko wewe leta stori
Hilo fumbo ni msingi wa unachokijadili hapa, kwani lengo la haya maisha yako ya ibada ni nini? Unatafuta nini katika ibada?
 
Mathayo 19

27 Ndipo Petro akajibu, akamwambia, Tazama, sisi tumeacha vyote tukakufuata; tutapata nini basi?
28 Yesu akawaambia, Amin, nawaambia ya kwamba ninyi mlionifuata mimi, katika ulimwengu mpya, atakapoketi Mwana wa Adamu katika kiti cha utukufu wake, ninyi nanyi mtaketi katika viti kumi na viwili, mkiwahukumu kabila kumi na mbili za Israeli.
29 Na kila mtu aliyeacha nyumba, au ndugu wa kiume au wa kike, au baba, au mama, au watoto, au mashamba, kwa ajili ya jina langu, atapokea mara mia, na kuurithi uzima wa milele.
 
Mkiambiwa ukweli mnadai mmetukanwa

BASI MTU WA KWANZA KUWATUKANA NI MUNGU MWENYEWE

HALAFU HAKUNA HATA AYA MOJA HAPO INAYOTOA KIBALI CHA IBADA YA JUMAPILI

UMEENDA UMEKOPI UMEPEST HATA KUPITIA UMESHINDWA
Uchunguzi wa ushahidi wa maandiko unaoonyesha wazi kwamba wale mitume hawakufanya jaribio lolote la kuibadili siku ya Mungu ya mapumziko kutoka siku ya saba kwenda ile siku ya kwanza ya juma. Agano jipya, linaitaja siku hiyo ya kwanza ya juma mara nane tu. Katika mifano hiyo yote hakuna ambapo siku ya kwanza ya juma inatajwa kuwa ni takatifu, wala hata kudokezwa kuwa tunapaswa kuitenga kama siku ya ibada. Uchunguzi uliofanywa kwa makini sana wa hayo mafungu manane yanayoitaja siku ya kwanza ya juma huonyesha matukio haya yaliyotokea Jumapili:

(1) Wanawake walikwenda kaburini siku ile ya kwanza ya juma (Mathayo 28:1).
(2) "Hata Sabato ilipokwisha" wanawake wakaanza tena kufanya shughuli zao za kidunia katika siku ile ya kwanza ya juma (Marko 16:1,2).
(3) Yesu alimtokea kwanza Mariamu Magdalena mapema siku ile kwanza ya juma (Marko 16:9).
(4) Wafuasi wa Yesu walianza tena kufanya shughuli zao katika ile siku ya kwanza juma (Luka 24:1).
(5) Mariamu alikwenda kwenye kaburi lile la Yesu na kulikuta kaburi liko tupu katika ile siku ya kwanza (Yohana 20:1).
(6) Wanafunzi wale walikusanyika mahali pamoja "kwa hofu ya Wayahudi" (si kwa ajili ya kuendesha ibada ) Katika ile siku ya kwanza ya juma (Yohana 20:19).
(7) Paulo aliwaomba washiriki wa kanisa kufanya mahesabu ya fedha zao walizopata katika ile siku ya kwanza ya juma, na "kuweka kando kiasi fulani cha fedha" kwa ajili ya maskini kule Yerusalemu (I Wakorintho 16:1,2). Kifungu hicho hakitaji mkutano wowote wa dini ambao ulifanyika.
(8) Katika Matendo 20:7 Luka anaongea habari za hotuba (mahubiri) ya Paulo aliyoitoa katika ile siku ya kwanza ya juma wakati wa mkutano ule wa kuagana ambao haukutazamiwa kufanyika. Kusema kweli, Paulo alihubiri kila siku, na mitume wale walimega mkate kila siku (Matendo 2:46).

Hakuna hata moja kati ya mafungu hayo linalodokeza ya kwamba wale mitume waliazimu kuacha kuitunza Sabato ya siku ya saba. Mitume wale hawakulitaja badiliko lolote la Sabato kutoka siku ya saba kwenda ile ya
kwanza ya juma. Hakuna ushahidi wowote ulio wazi katika Agano Jipya unaoonyesha badiliko hilo la Sabato kutoka Jumamosi, siku ya saba ya juma, kwenda Jumapili, siku ya kwanza ya juma. Badiliko hilo lilikuja baada ya siku zile za Yesu na mitume wake, kwa hiyo, yatupasa sisi kuigeukia historia ili kuona ni lini na kwa jinsi gani badiliko hilo lilitokea.

HAYA LETA ANDIKO MOJA TU LINALOONYESHA HATA MTUME WA YESU ALIFANYA IBADA SIKU YA KWANZA YA JUMAView attachment 928067
Hujajibu maswali yangu unakurupuka na vimistari vyako vya kukariri. Nimekuuliza maswali hapo juu hakuna hata moja ulilojibu. Nimekuuliza, leta ushahidi wowote katka agano jipya unaotaka wakristo wakutane kuabudu siku ya sabato. Hizo amri za Mungu mnazokomaa nazo mnajua ziko ngapi katika agano jipya ? acheni kutuletea mambo yenu ya ajabu mkiwaaminisha watu kwamba ninyi ni Miungu watu. Jibu hoja zangu hapo juu kwanza.
 
Mimi ni biblia na biblia pekee

Wewe leta blaa blaa tu

Ndio maana nakuuliza vitu huna hata rejea yoyote
Nimeshakuleleza, common sense and logic ndio vitabu vyangu, wewe endelea kumpepea na karatasi mungu aliechoka kufanya kazi kwa sita tu
 
Mathayo 19

27 Ndipo Petro akajibu, akamwambia, Tazama, sisi tumeacha vyote tukakufuata; tutapata nini basi?
28 Yesu akawaambia, Amin, nawaambia ya kwamba ninyi mlionifuata mimi, katika ulimwengu mpya, atakapoketi Mwana wa Adamu katika kiti cha utukufu wake, ninyi nanyi mtaketi katika viti kumi na viwili, mkiwahukumu kabila kumi na mbili za Israeli.
29 Na kila mtu aliyeacha nyumba, au ndugu wa kiume au wa kike, au baba, au mama, au watoto, au mashamba, kwa ajili ya jina langu, atapokea mara mia, na kuurithi uzima wa milele.
Kumbe unaabudu ili uje upewe mara 100 zaidi (mali na pesa) ili uzitumie kuendelea kuishi, sasa kwanini unataka kuishi?
 
Back
Top Bottom