Vyuo vikuu nchini haviwatendei haki wasabato??

Kuna siku moja chuo lecture wetu, ijumaa ratiba yake inakuwa tight sababu ana vipindi viwili alafu ostazi, akapanga test Jumamosi Wasabato wakalalamika sana. Jamaa kwa kuwa mpole akatunga mitihani miwili, mmoja Jumamosi, mwengine Ijumaa. Sasa huo mtihani wa Ijumaa ulikuwa wa motoo akawambia, ukiona mtihani mgumu njoo Jumamosi, ufanye na wenzio wakanyanyuka mmoja mmoja, Jumamosi tukafanya nao test. Tokea siku hiyo heshima na adabu.
Safi sana
 
Ni dini yako ambayo haifati maandiko,

Maana vitabu vyote vya dini vinasema sabato sio siku ya kazi ,

Ila Shetani kawaletea ibada ya jumapili ili muweze kuipiteza sabato

Ilo kamwe hamtaweza maana SABATO NI YA BWANA

View attachment 927074
Sasa inabidi uheshimu dini za wenzako kama unavyotaka yako iheshimiwe, nina uhuru wa kumwabudu hata ng'ombe nikitaka, so as long as sivunji sheria za nchi. Shove your arrogance up your conky
 
kweli wewe ni muhadiventista naona 😔!
Nionyeshe "andiko liloandikwa jumlajula hivyo.... TUTENDE MEMA SIKU YA SABATO"... Je kuna ulazima wa mema hayo kufanyika siku ya Sabato?.... Kwanini isiwe yale tu ambayo hayawezi kuahirishwa?(mfano : kuokoa maisha, kula n. k)
 
Sasa inabidi uheshimu dini za wenzako kama unavyotaka yako iheshimiwe, nina uhuru wa kumwabudu hata ng'ombe nikitaka, so as long as sivunji sheria za nchi. Shove your arrogance up your conky
Wapi sasa waadventista wamekuzuia usiabudu sanamu, au ng'ombe?

Zaid tutakwambia ufanyacho ni dhambi ila hatutakulazimisha usiabudu masanamu
FB_IMG_1540823426603.jpeg
 
Wapi sasa waadventista wamekuzuia usiabudu sanamu, au ng'ombe?

Zaid tutakwambia ufanyacho ni dhambi ila hatutakulazimisha usiabudu masanamuView attachment 927866
Kuniambia kwamba ni dhambi hiyo ndio dharau yenyewe, says who? Nikikwambia usabato ni uwendawazimu utajisikiaje? Which is what it actually is..
 
Uwendawazimu kwa andiko gani?

Labda kwa mujibu wa katekisimu, lakin kwa mujibu wa biblia huna andiko
 
Nani amekwambia nahitaji kushikiwa akili na kitabu chochote? Ni uwendawazimu kwa basis ya common sense na logic
 
Bas endelea kuamini bila kitabu chochote, maana ndio umeamua hivo, ukikaribia kufa najua utakumbuka kuita Mungu akuokoe
 
Maisha ni kupanga na kupanga ni kuchagua. Huwezi lazimisha ratiba za kiujumla zifuate kile unachokiamini katika mazingira yenye imani tofauti tofauti.
 
Nakuuliza na naomba unijibu BILA CHENGA.

Kusali Jumamosi,ni agizo lililo katika amri ya ngapi?
Katika ile amri ya nne Mungu anatuagiza sisi anasema:
"Ikumbeke siku ya Sabato uitakase. Siku sita fanya kazi na kutenda mambo yako yote, lakini SIKU YA SABA NI SABATO YA BWANA, MUNGU WAKO. Siku hiyo usifanye kazi yoyote, … maana kwa siku siku sita BWANA alifanya mbingu, na nchi, na bahari na vyote vilivyomo, lakini AKAPUMZKA siku ya saba. Kwa hiyo BWANA AKAIBARIKI siku ya Sabato AKAITAKASA" - Kutoka 20:8-11.

Mungu alipowapa watu wake zile Amri kumi, pia alieleza wazi kwamba maagizo yale yaliyotoka kinywani mwake asiwepo mwanadamu yeyote wa kuyafanyia marekebisho yeyote ili kuyafanya yawe bora zaidi au kuondoa maneno yake yeyote anapofanya uhariri wake.

"MSIONGEZE neno lolote katika yale niwaamuruyo, wala MSIPUNGUZE neno lolote, bali zishikeni amri (kumi) za BWANA, Mungu wenu ninazowapa ninyi" - (Kumbukumbu la Torati 4:2).

Mungu mwenyewe anatoa ahadi kwamba hawezi kuzibadili amri zake [kumi]:
"MIMI SITALIVUNJA agano langu, wala SITABADILI NENO LILILOTOKA MIDOMONI (MWANGU) - (Zaburi 89:34).

Biblia inaeleza waziwazi kwamba Mungu hakubadili Sabato kutoka siku ya saba kwenda ile ya kwanza ya juma.

FB_IMG_1541586014368.jpeg
 
Maisha ni kupanga na kupanga ni kuchagua. Huwezi lazimisha ratiba za kiujumla zifuate kile unachokiamini katika mazingira yenye imani tofauti tofauti.
Imetupasa kumtii Mungu kuliko wanadamu

Tabia ya kudharau amri za Mungu ndio imewafikisha hadi kwenye tabia za ushoga
 
Katika ile amri ya nne Mungu anatuagiza sisi anasema:
"Ikumbeke siku ya Sabato uitakase. Siku sita fanya kazi na kutenda mambo yako yote, lakini SIKU YA SABA NI SABATO YA BWANA, MUNGU WAKO. Siku hiyo usifanye kazi yoyote, … maana kwa siku siku sita BWANA alifanya mbingu, na nchi, na bahari na vyote vilivyomo, lakini AKAPUMZKA siku ya saba. Kwa hiyo BWANA AKAIBARIKI siku ya Sabato AKAITAKASA" - Kutoka 20:8-11.

Mungu alipowapa watu wake zile Amri kumi, pia alieleza wazi kwamba maagizo yale yaliyotoka kinywani mwake asiwepo mwanadamu yeyote wa kuyafanyia marekebisho yeyote ili kuyafanya yawe bora zaidi au kuondoa maneno yake yeyote anapofanya uhariri wake.

"MSIONGEZE neno lolote katika yale niwaamuruyo, wala MSIPUNGUZE neno lolote, bali zishikeni amri (kumi) za BWANA, Mungu wenu ninazowapa ninyi" - (Kumbukumbu la Torati 4:2).

Mungu mwenyewe anatoa ahadi kwamba hawezi kuzibadili amri zake [kumi]:
"MIMI SITALIVUNJA agano langu, wala SITABADILI NENO LILILOTOKA MIDOMONI (MWANGU) - (Zaburi 89:34).

Biblia inaeleza waziwazi kwamba Mungu hakubadili Sabato kutoka siku ya saba kwenda ile ya kwanza ya juma.

View attachment 928000
Hizi stories zako HAZIJAJIBU SWALI nililokuuliza.

Nakuuliza tena:

Kusali siku ya Sabato Ni Amri ya ngapi katika zile Amri 10 za Mungu?
 
Mungu anapumzika kwani alichoka? Mungu anachokaga? Just use common sense dude
 
Hizi stories zako HAZIJAJIBU SWALI nililokuuliza.

Nakuuliza tena:

Kusali siku ya Sabato Ni Amri ya ngapi katika zile Amri 10 za Mungu?
Katika ile amri ya nne Mungu anatuagiza sisi anasema:
"Ikumbeke siku ya Sabato uitakase. Siku sita fanya kazi na kutenda mambo yako yote, lakini SIKU YA SABA NI SABATO YA BWANA, MUNGU WAKO. Siku hiyo usifanye kazi yoyote, … maana kwa siku siku sita BWANA alifanya mbingu, na nchi, na bahari na vyote vilivyomo, lakini AKAPUMZKA siku ya saba. Kwa hiyo BWANA AKAIBARIKI siku ya Sabato AKAITAKASA" - Kutoka 20:8-11.
 
Muulize Mungu mwenyewe , au bishana na biblia kama.huiamini ,

Endelea kuamini Mungu hayupo ila ipo siku ULIMI UTAKIRI NA MAGOTI UTAPIGA
Sijasema hayupo, nakusihi tu utumie common sense, Mungu ninaemfahamu hawezi kuchoka, sasa wewe umekabidhi kitabu kikushikie akili yako yote na hutaki kutafakari, unafuata tu kama kondoo, Mungu anachokaje? Kiakili au kimwili? Ndio maana ni kasema huo ni uwendawazimu on the basis of common sense
 
Back
Top Bottom