Vyuo vikuu binafsi taabani kifedha

Acheni kiki za kitoto. Kanisa katoliki lililozalisha wasomi wenye mchango duniani sio hili la Tanzania.
 
Ukihama nchi (kama hata huo uwezo unao wa kuhama) kama nchi inapoteza nn zaidi ya kupunguza vibaka wa power window mtaani!
Mitandao ilivyo ya kifala. Unaweza kukuta hapa mtu na mama yake wanajibishana.
 
Hatuna huo ubavu. Wahadhiri wenye PhD wa kufundisha hizo kozi tunawatoa wapi na hata kama wapo tutawalipa nini? Benki zenyewe za kanisa zinachechemea.
Ila karne hii Kanisa kupitia viongozi wake linafanya biashara kama halina akili nzuri.
 
Angalia historia ya wanasayansi wote wakubwa wa kidunia walipikwa na taasisi gani kama sio kanisa katoliki. Hata uvaaji wa yale magauni ya wahitimu wa vyuo vikuu vyote duniani ,yameasisiwa na kanisa katoliki. Poor you! Huna unalolijua
Nitajie wanasayansi WaWili nguli wa kikatoliki. Toka vyuo vikuu vya kikatoliki.
**Kesho nitawataka ndugu zetu nao watutajie watalaamu (sio watengeneza mabomu ya kujitoa muhanga)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…