Vyoo vya kukaa vimenishinda

Vyoo vya kukaa vimenishinda

Personally napenda choo cha kukaa kwa matumiz binafsi, ila kwa public hapana.
Nakupa ushauri tu wa haraka haraka.
Kuhusu maji kuruka, make sure kabla hujafanya mambo yako kunja toilet paper kiasi then weka ndani ya choo, itayazuia maji kuruka.
 
Hahahha nitakuja kuanguka bure...mku ilikuaje hebu simuliaaa
Mwenzangu nilikaa kama lisaa hivi natafuta maji si unajua uswahilini kwetu shimo huna haja ya maji

Katika kufikiriaaa aaa nikaona wasinitanie ikabidi nichote maji na jagi nililikuta toi mwagia wapi!! Daah

Nikitoka na choo ni cha ndani lazima watajua ni mm,ikabidi niweke mkono juu nifikilie kwa makini nifanyaje

Lahaula kumbe nilipoweka mkono paka bonyea sehemu nikaona maji hayo aaaa wacha ninogewe nikaendelea na zoezi la kubonyeza hahaha.
 
Nani asiyependa kustarehe wakati wa kujisaidia?? Sio siri choo cha kukaa kina raha yake!!yaani unaweza shusha mzigo huku unasoma gazeti.....ninachokiona humu ni wachangiaji wengi hawa afford choo cha kukaa ndyo maana wanapeana moyo kuwa choo cha kuchuchumaaa ndyo kizuri!!
 
Personally napenda choo cha kukaa kwa matumiz binafsi, ila kwa public hapana.
Nakupa ushauri tu wa haraka haraka.
Kuhusu maji kuruka, make sure kabla hujafanya mambo yako kunja toilet paper kiasi then weka ndani ya choo, itayazuia maji kuruka.
Mi choo cha kukaa ndyo mwake!! Nikisafiri kwenye kuchagua lodge sifa mojawapo lazima iwe na choo cha kukaa!
 
Umenikumbusha umama thread wewe


Mwanaume kukata gogo akiwa amekaa/amechutama, huo ni umama, mwanaume wa kweli anakata gogo akiwa amesimama au anatembea
Hahhahahah ukiwa unatembea nao ni umama.
Mwanaume hakati gogo maana hali chakula.
 
Habari wakuu,natumai mko vyedi kabisaa katika harakati za kusaka noti.Niende kwenye point,hivi karibuni nilikuja hapa jf nikaandika uzi wa kutafuta chumba so baada ya muda nikapata,sasa kimbembe hii room ina choo cha kukaa (KINU).

kiukweli toka nizaliwe sijawahi kuishi nyumba yenye choo cha aina hii,hivyo matumizi yake ni mtihani kwangu.

Kukaa napata shida mara ndonga iingie kwenye maji,mara mzigo ukishuka kwa uzito wa hali ya juu unasababisha mlipuko wa maji yananirukia makalioni dah,yani napata tabu sana kifupi mpaka nimekua nikienda kutumia choo cha kuchutama kwa rafiki yangu wa karibu.

Kazi njema wote.
Mkuu umefika lini kutoka Kolomije?¡
 
Back
Top Bottom