kulangwa22
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 739
- 548
Kwanza ukikaa mzigo autoki wote labda kam unahara lakn kwa ssi wanaume wa mkoan lazm tujikunje
Wanaweza kukusia choo hicho kwa staili hiyoDuh nitapanda juuu tu kama walivyoshauri wakuu hapa
Kuna kitu kinaitwa shattaf .....kibomba kidogo kinatoa maji kwa kasi sana ukiingia kwenye hicho choo utakiona kipo pembeniVipi kuhusu maswala ya kujisafisha mkuu tupe darasa hapo
Inategemea na mwili wako. Kama una uzito huwezi kutumia choo cha kuchuchumaa. Mama mjamzito hawez kuchuchumaa! Usafi wako tu!
No mkuu... Kitu cha waholanzi[emoji1783]Hahahahahahaha.....hicho choo huenda kilikuwa made in germany.
Hahaaa AiseeSasa hapo unaogopa nn. Inamaa hujawai kunya ndani ya mto au hata ziwani??
Unachosema ni tofauti na nilichomaanisha. Hebu google. Mi nazungumzia kuna matatizo ya kiafya na si kiuzito au mwili wa mtuInategemea na mwili wako. Kama una uzito huwezi kutumia choo cha kuchuchumaa. Mama mjamzito hawez kuchuchumaa! Usafi wako tu!
Tanguliza toilet paper kabla hujaanza kushusha mzigo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu Yan huelewi ufanyaje ili utoke ukiwa msafiwakati wa kutawaza huwa sijui nikipande kwa juu huku nimechutama ,au nichuchumae chini
Acha ujinga mkuu Yan ukikata gogo kwenye vyoo vya kukaa kujisafisha n mpaka ukienda kuoga duhsivipendi hasa nyakati za baridi. kama wasiwas wako maji cha kufanya uwe unasoge kwa mbele kidogo ili mzigo uwe unafikia kwenye kale ka sakafu kabla mzigo haujafika kwenye maji.
ikishindikana nunua pepa za kutosha kabla hujakata gogo kata hizo TP weka kwenye hayo maji kisha shusha mzigo wako inapunguza kidogo.
swala linaluja kujisafisha huko kwa maji ... inabidi kusubiri wakat wa kuoga qudadeq
Watu wanafundishana namna ya kukata gogo [emoji38]ha ha ha ha ha
JF burudani sana kwakweli
ila aisee mimi pia huwa siwezi kutumia vyoo vya aina hiyo
wewe usiyemjinga unajisafishaje? Kumbuka si vyote vinakile kimpira kinachorusha maji..Acha ujinga mkuu Yan ukikata gogo kwenye vyoo vya kukaa kujisafisha n mpaka ukienda kuoga duh
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa wale wanaojua maumivu ya gout... Gout ikikukamata kwenye magoti, choo cha kukaa utakiona kama mkombozi wa wazima na wafu.Inategemea na mwili wako. Kama una uzito huwezi kutumia choo cha kuchuchumaa. Mama mjamzito hawez kuchuchumaa! Usafi wako tu!