Hahahha, ndonga inatumbukia shimoni. Usipojua kulenga utasikia tubwiii, ujue ushaloana makalio.Habari wakuu,natumai mko vyedi kabisaa katika harakati za kusaka noti.Niende kwenye point,hivi karibuni nilikuja hapa jf nikaandika uzi wa kutafuta chumba so baada ya muda nikapata,sasa kimbembe hii room ina choo cha kukaa (KINU).
kiukweli toka nizaliwe sijawahi kuishi nyumba yenye choo cha aina hii,hivyo matumizi yake ni mtihani kwangu.
Kukaa napata shida mara ndonga iingie kwenye maji,mara mzigo ukishuka kwa uzito wa hali ya juu unasababisha mlipuko wa maji yananirukia makalioni dah,yani napata tabu sana kifupi mpaka nimekua nikienda kutumia choo cha kuchutama kwa rafiki yangu wa karibu.
Kazi njema wote.
Huku City Centre tufanyeje sasa....Bora porini tuu...
Hapo umenena mkuu leo ngoja nitumie hayo maalifaundefinedkama unaogopa kurukiwa maji,na kwakweli kiafya haifai kama mko watumiaji zaidi ya mmoja,angalia namna ya ukaaji ili ukitumbukiza choo kisiende majini,kaa hadi mwisho ili kinyesi kitue kwanza kwenye kuta kisha flush
Ndonga ni nini? Samahani lakiniNdoga ndo nini?? Samahani lakini
Kukata gogo kwa kuchutama ndo natural style hiyo, we are animals like others.Haiwezekani kukata gogo nikae
huu ni uzembe gogo sharti uchutame
Habari wakuu,natumai mko vyedi kabisaa katika harakati za kusaka noti.Niende kwenye point,hivi karibuni nilikuja hapa jf nikaandika uzi wa kutafuta chumba so baada ya muda nikapata,sasa kimbembe hii room ina choo cha kukaa (KINU).
kiukweli toka nizaliwe sijawahi kuishi nyumba yenye choo cha aina hii,hivyo matumizi yake ni mtihani kwangu.
Kukaa napata shida mara ndonga iingie kwenye maji,mara mzigo ukishuka kwa uzito wa hali ya juu unasababisha mlipuko wa maji yananirukia makalioni dah,yani napata tabu sana kifupi mpaka nimekua nikienda kutumia choo cha kuchutama kwa rafiki yangu wa karibu.
Kazi njema wote.
wasukuma bhnUnawezaje mkuu kutumia vyoo vya msikitini na kanisani kwa wakati mmojaKipindi nasoma Udsm hostel zilikuwa na vyoo vya kukaa kwa kweli ikinipasa kutumia vyoo vya kanisani na msikitini kwa huu ujinga
sivipendi hasa nyakati za baridi. kama wasiwas wako maji cha kufanya uwe unasoge kwa mbele kidogo ili mzigo uwe unafikia kwenye kale ka sakafu kabla mzigo haujafika kwenye maji.
ikishindikana nunua pepa za kutosha kabla hujakata gogo kata hizo TP weka kwenye hayo maji kisha shusha mzigo wako inapunguza kidogo.
swala linaluja kujisafisha huko kwa maji ... inabidi kusubiri wakat wa kuoga qudadeq