Vyoo vya kukaa vimenishinda

Vyoo vya kukaa vimenishinda

Duh tuko kinyume aisee, mm choo cha shimo sikipendi kabisa. Cha kukaa unastarehe sana taratibu bila haraka. Hata dakika 15
Unapiga na simu kabisa huku unashusha might!
Tunavitumia Ila havifai !!!
Ni vizuri kwa wazee!
 
Kuna wakati nilienda nyumbani wa mtu fulani tulikuwa na kazi maalum hapo, nilipoenda toileti nikakuta ni choo cha kukaa, nikakojoa nikasepa. Nilikaa siku tatu bila kwenda haja kubwa ila nikashindwa kuendelea kutokwenda maana ilikiwa tukae wiki 2. Hivyo ili kupunguza madhara nikawa nachuchumaa juu ya sinki ili nisiguse sinki na nisirukiwe na maji, zoezi lilikuwa endelevu hadi naondoka. Vyoo vya kukaa ni vya hovyo sana.
Pole sana mkuu... Mdau alitoa idea ya kujaza TPs apo😂😂😂
 
Ka ni cha jamiii..public
1. Chukua toilet paper kiasi dondosha ndani...halafu juu unapokalia zungushia toilet paper
2. Wakati tuko chuo tulikuwa tunasubiri wakimaliza usafi unachukua gazeti unaliweka juu una TOBOA tundu unalengaaa
3. Kuubeba mzigo hadi vyooo vya jirani vya kuchuchumaaaa
4. Kupanda juu ya chooo...ila ni hatariii waweza telezaa ukakanyagaaa (ivi why unaogopa gogo ulilokata mwenyewe?)
5. Kawaida KINU kina mifuniko miwili...(angalia picha mwambato) ..WENGI HATUJUI matumizi ya mfuniko huo wenye tundu?


USHAURI kwa mtoa mada....chukua maji ya motoo weka deto suuza KINUUU..uwe unamwaga deto na viua tilifu mara kwa mara....
Vinu vingine maumbo yake shidaaa...vipo ukikata gogo ladondoka majini..vingine halidondoki majini usipokuwa makini gogo laweza fika karibu na JICHO
 

Attachments

  • chooo.jpg
    chooo.jpg
    25.2 KB · Views: 26
Kwa choo public ukifika kwanza flash kabla hujaanza shughuli yako, then wengi huwa wanakaa kwenye plastic, mm huwa naiondoa ile nakalia ceramic yenyewe, kama kuna tishu unaeza weka ila kama hazipo kaa hivohivo hakuna shida. Hivi vyoo ni vibaya kwa wanawake tu, ila wanaume haina shida
 
Me huwa namwaga povu la sabuni ya unga kabla ya kuchutama,, huwa linazuia maji kunirukia na pia kuua bakteria, kwa ufupi vyoo vya kukaa ni havifai labda kwa wale ambao umri umeenda au wagonjwa
 
Habari wakuu,natumai mko vyedi kabisaa katika harakati za kusaka noti.Niende kwenye point,hivi karibuni nilikuja hapa jf nikaandika uzi wa kutafuta chumba so baada ya muda nikapata,sasa kimbembe hii room ina choo cha kukaa (KINU).

kiukweli toka nizaliwe sijawahi kuishi nyumba yenye choo cha aina hii,hivyo matumizi yake ni mtihani kwangu.

Kukaa napata shida mara ndonga iingie kwenye maji,mara mzigo ukishuka kwa uzito wa hali ya juu unasababisha mlipuko wa maji yananirukia makalioni dah,yani napata tabu sana kifupi mpaka nimekua nikienda kutumia choo cha kuchutama kwa rafiki yangu wa karibu.

Kazi njema wote.
Nimecheka sana,umenifurahisha kweli,.ni kweli siyo vzr kiafya
 
Back
Top Bottom