Wajaluo ndo noma, kukaa kwa toilet ni mbinde.![]()
![]()
![]()
![]()
wasukuma bhn
Mkuuu umenipa tekniki moja nzuri sana hiyo ya kuweka TP nitafanya hivyosivipendi hasa nyakati za baridi. kama wasiwas wako maji cha kufanya uwe unasoge kwa mbele kidogo ili mzigo uwe unafikia kwenye kale ka sakafu kabla mzigo haujafika kwenye maji.
ikishindikana nunua pepa za kutosha kabla hujakata gogo kata hizo TP weka kwenye hayo maji kisha shusha mzigo wako inapunguza kidogo.
swala linaluja kujisafisha huko kwa maji ... inabidi kusubiri wakat wa kuoga qudadeq
Umenikumbusha umama thread weweMimi najua wanaume huwa hamkagi gogo..![]()









Hahhaha mkuu inaonekana kwako choo kinasafishwa na dawa kama nne hivi,anyway huunushauri wako nitaufanyia kazi.Pole sana choo cha kukaa ni usafi tuu na choo cha kukaa ni kuzuri sana. Ina maana mpaka umri huo hujajua kwamba ile kitu ni starehe murua kabisa? ndio maana kwa wenzetu unakuta kuna gazeti pia. unakaa vizuri chukua gazeti anza kufungua page by page kwa raha zako....
Kingine kama unaona choo hakiko sawa maji yanakurukia tanguliza toilet pale ndio uanze shughuli yako.... kwa kukusaidia tuu uwe msafi ndio utaona uzuri wa hicho choo. maana uchafu ndio adui yake mkubwa............. Enjoy English type na sio Asian type ha ha ha ha ha ha nimeenda mie
Mimi nilikua naenda kule udbs vya kule vizuriKipindi nasoma Udsm hostel zilikuwa na vyoo vya kukaa kwa kweli ikinipasa kutumia vyoo vya kanisani na msikitini kwa huu ujinga
Bawasiri na UTI ni lazimaVyoo vya kukaa siyo vizuri kiafya kabisa. Jaribu kugoogle utapata majibu mwenyewe.
Mkuu unaonekana umebobea kwenye mambo ya usafi,wewe kwako wageni watakua wanapata tabu kuendana na level zako za usafi.Kuwa maridadi huwa kuna capet maalumu huzungushwa pale ndio maana nazidi kusema inatakiwa usafi wa hali ya juu.... Nyumba yeyote usafi unaingatiwa kwenye CHOO na jikoni ndio sehemu muhimu kwenye nyumba full stop mengine mbwembwe tuu
Hahahha nitakuja kuanguka bure...mku ilikuaje hebu simuliaaaHahaa pole mkuu
Inamaana haukukagua choo kwanza kabla ya kulipia chumba maana
Nyumba ni choo,hicho ndo kitu cha kwanza kukagua,kama siku nyingine
Ngoja nikupe mbinu,usiende choo cha jirani bhana,ukifika badala ya kukaa panda juu yake then chuchumaa maliza haja zako,kama unaogopa mkono mmoja shikilia ukuta
Haha umenikumbusha siku ya 1,kutumia choo cha kuflash daaah!sitosahau.
Tena huyo ndio mzuri kuchambia...Pori nouma !! Huko kuna vifutu![]()
![]()