Vyoo vya kukaa vimenishinda

Vyoo vya kukaa vimenishinda

sivipendi hasa nyakati za baridi. kama wasiwas wako maji cha kufanya uwe unasoge kwa mbele kidogo ili mzigo uwe unafikia kwenye kale ka sakafu kabla mzigo haujafika kwenye maji.

ikishindikana nunua pepa za kutosha kabla hujakata gogo kata hizo TP weka kwenye hayo maji kisha shusha mzigo wako inapunguza kidogo.

swala linaluja kujisafisha huko... inabidi kusubiri wakat wa kuoga qudadeq
Kwani kwenda huko vipi si kuna ratiba maalum kwa mtu ambaye mfumo wake wa kula uko sawa? Asubuhi ukiamka, na ndio unamaliza shida zako zooote kuswaki, kuoga ama ni ile fyekefyeke kama mtoto ambaye afya yake ni mgogoro?
we gogo wakt mwingine halina ratiba maalumu
 
sivipendi hasa nyakati za baridi. kama wasiwas wako maji cha kufanya uwe unasoge kwa mbele kidogo ili mzigo uwe unafikia kwenye kale ka sakafu kabla mzigo haujafika kwenye maji.

ikishindikana nunua pepa za kutosha kabla hujakata gogo kata hizo TP weka kwenye hayo maji kisha shusha mzigo wako inapunguza kidogo.

swala linaluja kujisafisha huko kwa maji ... inabidi kusubiri wakat wa kuoga qudadeq

Kuwa maridadi huwa kuna capet maalumu huzungushwa pale ndio maana nazidi kusema inatakiwa usafi wa hali ya juu.... Nyumba yeyote usafi unaingatiwa kwenye CHOO na jikoni ndio sehemu muhimu kwenye nyumba full stop mengine mbwembwe tuu
 
Vyoo vya kukaa nafikiri viwe kwa ajili ya walemavu na sio vya kuweka kwenye public, mi nikikuta jengo lina choo cha kukaa haja huisha hapohapo sivipendi kabisa.
 
Habari wakuu,natumai mko vyedi kabisaa katika harakati za kusaka noti.Niende kwenye point,hivi karibuni nilikuja hapa jf nikaandika uzi wa kutafuta chumba so baada ya muda nikapata,sasa kimbembe hii room ina choo cha kukaa (KINU).

kiukweli toka nizaliwe sijawahi kuishi nyumba yenye choo cha aina hii,hivyo matumizi yake ni mtihani kwangu.

Kukaa napata shida mara ndonga iingie kwenye maji,mara mzigo ukishuka kwa uzito wa hali ya juu unasababisha mlipuko wa maji yananirukia makalioni dah,yani napata tabu sana kifupi mpaka nimekua nikienda kutumia choo cha kuchutama kwa rafiki yangu wa karibu.

Kazi njema wote.
Endelea kutumia mda si mrefu uwaungishe dawa za kutibu fangusi, UTI na mengine mengi
 
Habari wakuu,natumai mko vyedi kabisaa katika harakati za kusaka noti.Niende kwenye point,hivi karibuni nilikuja hapa jf nikaandika uzi wa kutafuta chumba so baada ya muda nikapata,sasa kimbembe hii room ina choo cha kukaa (KINU).

kiukweli toka nizaliwe sijawahi kuishi nyumba yenye choo cha aina hii,hivyo matumizi yake ni mtihani kwangu.

Kukaa napata shida mara ndonga iingie kwenye maji,mara mzigo ukishuka kwa uzito wa hali ya juu unasababisha mlipuko wa maji yananirukia makalioni dah,yani napata tabu sana kifupi mpaka nimekua nikienda kutumia choo cha kuchutama kwa rafiki yangu wa karibu.

Kazi njema wote.
Hahaa pole mkuu
Inamaana haukukagua choo kwanza kabla ya kulipia chumba maana

Nyumba ni choo,hicho ndo kitu cha kwanza kukagua,kama siku nyingine

Ngoja nikupe mbinu,usiende choo cha jirani bhana,ukifika badala ya kukaa panda juu yake then chuchumaa maliza haja zako,kama unaogopa mkono mmoja shikilia ukuta

Haha umenikumbusha siku ya 1,kutumia choo cha kuflash daaah!sitosahau.
 
Back
Top Bottom