Vyoo vya kukaa vimenishinda

Vyoo vya kukaa vimenishinda

sivipendi hasa nyakati za baridi. kama wasiwas wako maji cha kufanya uwe unasoge kwa mbele kidogo ili mzigo uwe unafikia kwenye kale ka sakafu kabla mzigo haujafika kwenye maji.

ikishindikana nunua pepa za kutosha kabla hujakata gogo kata hizo TP weka kwenye hayo maji kisha shusha mzigo wako inapunguza kidogo.

swala linaluja kujisafisha huko kwa maji ... inabidi kusubiri wakat wa kuoga qudadeq
Mara nyingi P-type WC zinakuwa na vibomba vya kujisafisha mkuu... Ila kuna maeneo nilienda havina aisee ilikuwa tabu.
 
Habari wakuu,natumai mko vyedi kabisaa katika harakati za kusaka noti.Niende kwenye point,hivi karibuni nilikuja hapa jf nikaandika uzi wa kutafuta chumba so baada ya muda nikapata,sasa kimbembe hii room ina choo cha kukaa (KINU).

kiukweli toka nizaliwe sijawahi kuishi nyumba yenye choo cha aina hii,hivyo matumizi yake ni mtihani kwangu.

Kukaa napata shida mara ndonga iingie kwenye maji,mara mzigo ukishuka kwa uzito wa hali ya juu unasababisha mlipuko wa maji yananirukia makalioni dah,yani napata tabu sana kifupi mpaka nimekua nikienda kutumia choo cha kuchutama kwa rafiki yangu wa karibu.

Kazi njema wote.
mkuu,unatokea namtumbo sehem gani???
 
Pole sana mkuu! Binafsi ningetafuta chumba kingine, sitaki hivyo vyoo hata kiwe cha chumbani kwangu tu sikitaki. Mqmbo ya kurukiwa na maji ya kwenye sink am sorry bora nikachuchumae sio kutafutiana maradhi
 
Panda juu yake tu unakata gogo vizur tu
Mm nlikuwag gest moja mkoan huko nkakuta choo ya kukaa sink lile la njanoo nkaona huu ushenzi nkapanda juu yake nkaachia Mzigo wa maana kuflash sasa kumbe pipe zimezibaa
Harufu chumban sio mchezo nkaona isiwe tabu nkahama gest nkaenda kupanga room nyingine
 
1. Tufundishwe kufanya kazi
2. Tufundishwe mtoto ananyonya miezi 6 hadi miaka miwili
3. Tufundishwe mlo bora
4. Tufundishwe namna bora ya kujisaidia

Alafu tuwe watu wa kipato cha kati
 
Duh sikuhizi vipo vya kukuosha kabisa unabonyeza kitufe tu maji yanakupiga dah hatari sana sana!
Vina wafaa waliyopo kwenye list ya Dudu baya
 
Kuna wakati nilienda nyumbani wa mtu fulani tulikuwa na kazi maalum hapo, nilipoenda toileti nikakuta ni choo cha kukaa, nikakojoa nikasepa. Nilikaa siku tatu bila kwenda haja kubwa ila nikashindwa kuendelea kutokwenda maana ilikiwa tukae wiki 2. Hivyo ili kupunguza madhara nikawa nachuchumaa juu ya sinki ili nisiguse sinki na nisirukiwe na maji, zoezi lilikuwa endelevu hadi naondoka. Vyoo vya kukaa ni vya hovyo sana.
 
mbona ishu ipo easy tu mkuu.chakufanya chukua tishu tano au hata sita.then zitumbukize kwenye sink.then kaa na uanze kushusha mzigo wako.kiukwel autorukiwa na maji hata kidogo.
 
Duh tuko kinyume aisee, mm choo cha shimo sikipendi kabisa. Cha kukaa unastarehe sana taratibu bila haraka. Hata dakika 15
 
Back
Top Bottom