Vyombo vya Habari vinamdhulumu Dr. Shika

Binafsi nipo nje ya mkoa kidogo, lakini swala lipo kwa mzee mwenyewe je ana nia? Anaweza kukubali? Uenda akawa nae anaogopa au asione faida ya jambo lenyewe, kwakua mzee bado hayupo sawa kidogo na uenda ata akaja kukukana mahakamani ukaonekana wewe ndio ulitaka kumtumia upige hela... hapa swala ni tumsaidie tu kwa kuwapigia kelele hawa watu wamlipe hela.
Sawaa,,nadhan angekua na mtu wa karibu angekua anakataa kufanya interview mpaka wampe pesa
 
Matola, unasema huu ni ujinga?, haya bhana!!, hivi kuna jambo jema Duniani linalozidi kupigania Utu na Heshima kwa Wanadamu wenzetu??. Kuwa mtu wa Huruma na MUNGU atakuhurumia pia.
Achana nae huyo pia chizi aliyetoroka Russia
 
God will do something for him!
The guy is too humble! Ningekuwa mim ningebana ishu siwapi adi tupeane mkataba wa malipo
 
Kuna watu wengi wanapofushwa na ulokole wa jamaa ila anajitengenezea pesa kwa habari ambazo sometimes zinaondoa utu wa watu wengi (waulize wasanii)
Yeye alililia kama mtoto Anadai kazulumiwa na ccm et watanzania tumuonee huruma mzee mnafiki sanaa.
 
Kiukweli hata mimi baada ya kusikia kwamba Dk. anashinda njaa niliumia sana, mwenye namba za Dk naomba aweke hapa nimtumie pesa kidogo japo aweze kula bila kujali mabilioni aliyonayo..

Mimi ni miongoni mwa watu walioguswa na habari ya uyu daktari bila kujali stori iliyojificha nyuma yake..

Mungu ambariki na amlinde Dk. Shika
Binafsi nimeliulizia sanaa hili
 
Kweli kabisa kama hilo la airtel nimeliona mapema yaaani wamlipe huyu mzee hatakiwi tenakuishi maisha haya.huyu Mzee. Angepata mtu amsaidie wamlipe pesa zake
Hicho kifurushi kinapatikana kwa menu ipi??
 
Kwa kweli Mzee anahitaji kukutana na wanasheria wamsaidie.

Hata kibatala aangalie namna ya kumsaidia.

Mr. Petro E. Mselewa , njoooo huku na jopo lako la wanasheria mnahitajika wajameni mmsaidie Mzee huyu Dr. Shika, apate haki yake ya kuhojiwa pasi kulipwa na Kampuni ya simu kutumia slogan yake katika matangazo yao ya biashara.
 
Back
Top Bottom