Walitakiwa wazungumze nae kwanza, hiyo ni slogan yake, walau wampe chochote ili aweze walau kupata milo mitatu kwa sikuAirtel wapuuzi sanaa, wamefanya utoto sanaa.
Naunga mkonoCorrect vyombo vya habari vinavuna hela sasa hivi kwa huyu Mzee pasipo yeye kupata chochote, inasikitisha sana
Naiunga hoja mkono Ahsante.Kupitia mahojiano mbali mbali ya baadhi ya waandishi wa habari na wapangaji wenzie wanaeishi na Dr. Shika tumeweza kujua namna maisha ya dokta huyo yalivyo ya tabu na ikisemekana kuwa dokta huyo hata chakula kwake ni tatizo kubwa sanaa, anaishi maisha ambayo hata mnyama ana afadhali, na hana msaada toka kwa ndugu wala jamaa yake yoyote yule anaishi kwa neema na qudra tu za Mungu.
Sasa geukia upande wa pili, hawa wanao report, kushare na kupost habari za dokta Shika wanapata mamilion mengi tu, mfano Millard Ayo, video zake zote alizopost YouTube zimekuwa namba moja kwenye trending na zimetazamwa na malaki ya watu huku pia wanaomzamini Millard Ayo wakizidi kumwagia pesa za kufa mtu na YouTube wakimlipa mamilion ya fedha.
Sio Millard tu, kuna Mwananchi, Global nk nk. Ambao sasa wanauza sana kuliko wakati wowote kwa kutumia mahojiano yao na mzee huyu, na habari za mzee huyu zina sikika kuliko ata nyimbo na matukio ya wasanii kuliko hata habari za wabunge na Serikali.
Je, kuna namna yoyote mzee anafaidika?
Baada ya muda upepo huu utakwisha na mzee atarudi kuishi maisha yake yale yale ya kushinda njaa na upweke na hapa sijagusia Airtel ambao wametoa offer mpya na wanaiita "u mia tisa itapendeza" hawa nao najua watakua wamefanya uhuni tu, bado wale wa mashati ya 900 itapendeza, bado wale wa stika za magari za 900 itapendeza.
Mungu ana maksudi makubwa na mzee huyu, katujulisha waTanzania, kamtoa chakani, basi tumsaidie huyu mzee, na nyie wakina Millard lipeni fadhila mrudishieni ata asilimia 10 basi ya faida mlizo ingiza kwa kupitia yeye.
Tumsaidie mzee
Hahaaa duh.. Thanks 4 ur time bro.. BTW jifunze kutokuwa personal kwenye argumentsTena, Dr. Shika anaweza akawa na brand kubwa kuliko Joti.
Kwa Tanzania hii, kila mtu mzima (tukadirie watu milioni 15)amchangie Tsh 900 tu itapendeza.Wish basi wangekua wanataja ata namba zake za simu sisi wananchi tumchangie chochote.
Copy and patse, airtel bwana? Mtaacha lini huo uhuni wenu? Jaribuni kudrive idea zenu!Kupitia mahojiano mbali mbali ya baadhi ya waandishi wa habari na wapangaji wenzie wanaeishi na Dr. Shika tumeweza kujua namna maisha ya dokta huyo yalivyo ya tabu na ikisemekana kuwa dokta huyo hata chakula kwake ni tatizo kubwa sanaa, anaishi maisha ambayo hata mnyama ana afadhali, na hana msaada toka kwa ndugu wala jamaa yake yoyote yule anaishi kwa neema na qudra tu za Mungu.
Sasa geukia upande wa pili, hawa wanao report, kushare na kupost habari za dokta Shika wanapata mamilion mengi tu, mfano Millard Ayo, video zake zote alizopost YouTube zimekuwa namba moja kwenye trending na zimetazamwa na malaki ya watu huku pia wanaomzamini Millard Ayo wakizidi kumwagia pesa za kufa mtu na YouTube wakimlipa mamilion ya fedha.
Sio Millard tu, kuna Mwananchi, Global nk nk. Ambao sasa wanauza sana kuliko wakati wowote kwa kutumia mahojiano yao na mzee huyu, na habari za mzee huyu zina sikika kuliko ata nyimbo na matukio ya wasanii kuliko hata habari za wabunge na Serikali.
Je, kuna namna yoyote mzee anafaidika?
Baada ya muda upepo huu utakwisha na mzee atarudi kuishi maisha yake yale yale ya kushinda njaa na upweke na hapa sijagusia Airtel ambao wametoa offer mpya na wanaiita "u mia tisa itapendeza" hawa nao najua watakua wamefanya uhuni tu, bado wale wa mashati ya 900 itapendeza, bado wale wa stika za magari za 900 itapendeza.
Mungu ana maksudi makubwa na mzee huyu, katujulisha waTanzania, kamtoa chakani, basi tumsaidie huyu mzee, na nyie wakina Millard lipeni fadhila mrudishieni ata asilimia 10 basi ya faida mlizo ingiza kwa kupitia yeye.
Tumsaidie mzee
Fanya hivyo uje na mrejesho mkuuHakuna maslah yoyote anayopata katika kihojiwa wala kutembelewa na hizo media...Wao wanaenda kama wana habari kuchukua habari na kuzisambaza kwa manufaa yao wakimwacha mzee wa watu kama walivyomkuta...Leo nitaenda kumtembelea dk shika anapoishi kwa niaba ya vijana wenzangu kadhaa kwenda kuongea nae na kujua tunamsaidia vipi....HAtuna uwezo mkubwa lakini tunaweza kumudu kumtatulia shida ya chakula na mavazi kwanza huku tukijiridhisha sehemu anapolala ni rafiki?
Sawa mkuu nitaleta mrejesho kuhusu hali ilivyo kwa sasaFanya hivyo uje na mrejesho mkuu
Ubarikiwe sana, usisahau kutupa mrejesho basi.Hakuna maslah yoyote anayopata katika kihojiwa wala kutembelewa na hizo media...Wao wanaenda kama wana habari kuchukua habari na kuzisambaza kwa manufaa yao wakimwacha mzee wa watu kama walivyomkuta...Leo nitaenda kumtembelea dk shika anapoishi kwa niaba ya vijana wenzangu kadhaa kwenda kuongea nae na kujua tunamsaidia vipi....HAtuna uwezo mkubwa lakini tunaweza kumudu kumtatulia shida ya chakula na mavazi kwanza huku tukijiridhisha sehemu anapolala ni rafiki?
Sawa wakuu nitawajuzaUbarikiwe sana, usisahau kutupa mrejesho basi.
Hawa wanaofanya promotion kwa kutumia maneno ya huyu mzee wamsaidie. Angekuwa na uwezo ingefaa asajili na kupata rights za huo usemi.
Makosa mawili haya halalishi kosa ilo liwe sawa. Hii ni Tanzania mpya, vizazi vyote vimeamka sanaa na ndio maana utaona ata Tigo watawapa wakina Mwana FA bilion 2, pili sisi hatujazungumza mambo ya copyrights and neighbouring rights, sisi tunataka hawa waone aibu, warudishe fadhila kwa yale wanayo yapata toka kwa mzee huyu, na ni ubinadamu wakawaida tu.Hakunaga rights za hivyo !!!
Maneno mawili ya kiswahili haki aitoe wapi!? huruma zetu zisitufanye kuwa vipofu,
Nchii hii watu wengi wamesagika marehemu Muhidin Gurumo kaimba kabla hatujapata uhuru na amekufa masikini kabisa,
Mifano iko mingi sana ya ufukara nchi hii,
Ni kweli tunamuonea huruma huyu mzee lakini ni wangapi wana hali mbaya sana sana zaidi yake kwa hivyo tuwe serious kwenye mawazo yetu juu yake isiwe na sisi ni walewale tunataka kiki kupitia yeye.
Daaaah I like that ndugu coz ukija kuangaliaaa mzee mwenyewe anaishi difficult miserable life...... It's better they should bargain with him ili hata na yeye apate benefit to his historyKupitia mahojiano mbali mbali ya baadhi ya waandishi wa habari na wapangaji wenzie wanaeishi na Dr. Shika tumeweza kujua namna maisha ya dokta huyo yalivyo ya tabu na ikisemekana kuwa dokta huyo hata chakula kwake ni tatizo kubwa sanaa, anaishi maisha ambayo hata mnyama ana afadhali, na hana msaada toka kwa ndugu wala jamaa yake yoyote yule anaishi kwa neema na qudra tu za Mungu.