Mr Journalist
Member
- Aug 16, 2025
- 19
- 47
Habari za wakati Wadau wa JF....
Kutokana na namna vyombo vya habari vimekuwa vinafanya kazi nchini kwetu kuna namna nikiwa chuoni niliwahi kujutia kwanini niliamua Kusoma Course hii
Na kabla ya mwenendo wa sasa kuna wakati naona vile kila mtu anavyoweza kutumia mitandao kuhabarisha na nikabaini kuwa...
Kuna watu wanaInfluence na wanafuatiliwa zaidi hata ya vyombo vya habari na kuaminiwa kuliko hata sisi wenye taaluma katika eneo hilo😀
Sasa kina mambo nimekuwa naona jamii ikinyoshea kitole vyombo vya habari huku Gvt nayo imetia ngumu kwa kupiga mikwala Plus kufungia media kitu inayozidi kuwatia hofu wanahabari na jamii inavinyoshea vidole vyombo vya habari
Sasa nimekuwa najiuliza nani wa kunyoshewa vidole kati ya vyombo vya habari au mamlaka ambazo kwa sasa zinaweza kuamua kitu gani kiwe reported na kipi kisiwe reported...
NB: mimi ni new Journalist at Street 😀