Vyombo vya Habari vinamdhulumu Dr. Shika

Kwa kweli Mzee anahitaji kukutana na wanasheria wamsaidie.

Hata kibatala aangalie namna ya kumsaidia.

Mr. Petro E. Mselewa , njoooo huku na jopo lako la wanasheria mnahitajika wajameni mmsaidie Mzee huyu Dr. Shika, apate haki yake ya kuhojiwa pasi kulipwa na Kampuni ya simu kutumia slogan yake katika matangazo yao ya biashara.
Naunga mkono hoja. Nawasihi wanufaika wote wa simulizi za Dr. L. Shika wafanye jambo la kumnufaisha haraka iwezekanavyo.
 
Kupitia mahojiano mbali mbali ya baadhi ya waandishi wa habari na wapangaji wenzie wanaeishi na Dr. Shika tumeweza kujua namna maisha ya dokta uyo yalivyo ya tabu na ikisemekana kua dokta huyo ata chakula kwake ni tatizo kubwa sanaa, anaishi maisha ambayo ata mnyama ana afadhali, na hana msaada toka kwa ndugu wala jamaa yake yoyote yule anaishi kwa neema na qudra tu za Mungu.

Sasa geukia upande wa pili, hawa wanao report, kushare na kupost habari za dokta shika wanapata mamilion mengi tu, mfano millard ayo, video zake zote alizopost YouTube zimekua namba moja kwenye trending na zimetazanwa na ma laki ya watu huku pia wanaomzamini Millard Ayo wakizidi kumwagia pesa za kufa mtu na YouTube wakimlipa mamilion ya fedha.

Sio Millard tu, kuna Mwananchi, Global nk nk. Ambao sasa wanauza sanaaa kuliko wakati wowote kwa kutumia mahojiano yao na mzee huyu, na habari za mzee huyu zina sikika kuliko ata nyimbo na matukio ya wasanii kuliko ata habari za wabunge na serikali.

Je kuna namna yoyote mzee anafaidika?

Baada ya muda upepo huu utakwisha na mzee atarudi kuishi maisha yake yale yale ya kushinda njaa na upweke... na hapa sijagusia Airtel ambao wametoa offer mpya na wanaiita "u mia tisa itapendeza" hawa nao najua watakua wamefanya uhuni tu, bado wale wa mashati ya 900 itapendeza, bado wale wa stika za magari za 900 itapendeza.

Mungu ana maksudi makubwa na mzee huyu, katujulisha waTanzania, kamtoa chakani, basi tumsaidie huyu mzee, na nyie wakina Millard lipeni fadhila mrudishieni ata asilimia 10 basi ya faida mlizo ingiza kwa kupitia yeye.

Tumsaidie mzee
Upo vizur sana du kweli aisee
 
Halafu pia techno Mia Tisa wametoa tangazo eti Mia Tisa inapendeza,mbona hawamlipi?
Hahahahaahaha nchi hii kuna watu wapumbavu sanaa hasa haya makampuni ya biashara muda mwingine yanafanya mambo kama watoto kabisa, kwaio tecno nae kaja na 900 itapendeza? Hahahahahaha
 
Mfanyabiashara hutumia fursa pindi tu anapoiona.. Na si kosa kufanya hivyo.. Na mzee hana hatimiliki ya chochote anachozungumza.. Suała la kulipwa na makampuni haliwez kuwa la kiuhalisia. Hamna biashara ya namna hiyo
 
Icon P ,

Utakuwa huna taarifa sahihi namna dunia inavyoenda.
Dr. Shika , anatakiwa apewe angalau 10% (hicho ndiyo kiwango cha chini kabisa) ya kila pato pale anapokuwa ameitwa kwenye interview au sauti ama slogan yake imetumika kibiashara.

Kumbuka, ule mwendo wa JOTI wa Ze Comedy wa kujirusharusha kwenda mbele kisha anarudi nyuma alisema ni style na kila atakayeitumia kibiashara au kisanii ni lazima amlipe na hadi leo ndivyo ilivyo.

Kwa hiyo usichukulie Hilo jambo la Dr Shika kirahisi rahisi kihivyo.
 
Hiyo asilimia 10 anatakiwa alipwe kwa mujibu wa nini au nani? Au ni utashi wako tu ndo unaamini inatakiwa iwe hivyo..

Kumlinganisha Joti na dr Shika seriously?
Joti ni "brand".. Huyo mzee hajafikia level hiyo ya kibiashara.. Watu wana-sympathize kwa sababu life la huyo mzee ni la tabu na si kingine.

Mzee akiamua alipwe anaweza. Shida ni kwa hayo makampuni na hakuna sheria inayowabana.. Akianza kudai malipo watampotezea
 
Icon P,

Naona unaandika kitu usichokielewa.

Unadhani kuwa, huyo Joti " brand" ameshuka kutoka sayari ya Mars!?

Tena, Dr. Shika anaweza akawa na brand kubwa kuliko Joti.

Nilipomtaja Joti, nimekuonesha mfano tu kuwa hii slogan ya Dr. Shika kutumika kibiashara ni wizi wa slogan.

Hivyo, unatakiwa UJIONGEZE ili upate kuona "outside the box" kuwa inawezekana kabisa wakamlipa kwa kutumia slogan yake pasi ruhusa au makubaliano yeyote naye.
 
Back
Top Bottom