Vyombo vya Habari vinamdhulumu Dr. Shika


666 chata

666 chata

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Messages
1,148
Likes
1,218
Points
280
666 chata

666 chata

JF-Expert Member
Joined Mar 14, 2013
1,148 1,218 280
Kupitia mahojiano mbali mbali ya baadhi ya waandishi wa habari na wapangaji wenzie wanaeishi na Dr. Shika tumeweza kujua namna maisha ya dokta huyo yalivyo ya tabu na ikisemekana kuwa dokta huyo hata chakula kwake ni tatizo kubwa sanaa, anaishi maisha ambayo hata mnyama ana afadhali, na hana msaada toka kwa ndugu wala jamaa yake yoyote yule anaishi kwa neema na qudra tu za Mungu.

Sasa geukia upande wa pili, hawa wanao report, kushare na kupost habari za dokta Shika wanapata mamilion mengi tu, mfano Millard Ayo, video zake zote alizopost YouTube zimekuwa namba moja kwenye trending na zimetazamwa na malaki ya watu huku pia wanaomzamini Millard Ayo wakizidi kumwagia pesa za kufa mtu na YouTube wakimlipa mamilion ya fedha.

Sio Millard tu, kuna Mwananchi, Global nk nk. Ambao sasa wanauza sana kuliko wakati wowote kwa kutumia mahojiano yao na mzee huyu, na habari za mzee huyu zina sikika kuliko ata nyimbo na matukio ya wasanii kuliko hata habari za wabunge na Serikali.

Je, kuna namna yoyote mzee anafaidika?

Baada ya muda upepo huu utakwisha na mzee atarudi kuishi maisha yake yale yale ya kushinda njaa na upweke na hapa sijagusia Airtel ambao wametoa offer mpya na wanaiita "u mia tisa itapendeza" hawa nao najua watakua wamefanya uhuni tu, bado wale wa mashati ya 900 itapendeza, bado wale wa stika za magari za 900 itapendeza.

Mungu ana maksudi makubwa na mzee huyu, katujulisha waTanzania, kamtoa chakani, basi tumsaidie huyu mzee, na nyie wakina Millard lipeni fadhila mrudishieni ata asilimia 10 basi ya faida mlizo ingiza kwa kupitia yeye.

Tumsaidie mzee
 
666 chata

666 chata

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Messages
1,148
Likes
1,218
Points
280
666 chata

666 chata

JF-Expert Member
Joined Mar 14, 2013
1,148 1,218 280
Correct vyombo vya habari vinavuna hela sasa hivi kwa huyu Mzee pasipo yeye kupata chochote, inasikitisha sana
Tumtete huyu mzee, na dawa hapa ni tuvilipue tu hivi vyombo vya habari... ila Airtel wamenikera sanaa, wapuuzi sanaa, nao wamesafiria nyota.
 
dansmith

dansmith

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2013
Messages
1,960
Likes
1,180
Points
280
dansmith

dansmith

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2013
1,960 1,180 280
Kweli kabisa kama hilo la airtel nimeliona mapema yaaani wamlipe huyu mzee hatakiwi tenakuishi maisha haya.huyu Mzee. Angepata mtu amsaidie wamlipe pesa zake
 
PrincessAnne

PrincessAnne

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2017
Messages
1,934
Likes
2,168
Points
280
PrincessAnne

PrincessAnne

JF-Expert Member
Joined Aug 3, 2017
1,934 2,168 280
Ukweli mtupu na asipopata wa kumsimamia atatumiwa kama pedi au tissue
 
666 chata

666 chata

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Messages
1,148
Likes
1,218
Points
280
666 chata

666 chata

JF-Expert Member
Joined Mar 14, 2013
1,148 1,218 280
Kweli kabisa kama hilo la airtel nimeliona mapema yaaani wamlipe huyu mzee hatakiwi tenakuishi maisha haya.huyu Mzee. Angepata mtu amsaidie wamlipe pesa zake
Airtel wapuuzi sanaa, wamefanya utoto sanaa.
 
Chriss Jericho

Chriss Jericho

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2017
Messages
260
Likes
369
Points
80
Chriss Jericho

Chriss Jericho

JF-Expert Member
Joined Jul 26, 2017
260 369 80
Kweli Airtel na vyombo vyote wanapaswa wamsaidie huyu mzee, wasijinufaishe wenyewe tu ili halikubaliki kabisa
 
Mgibeon

Mgibeon

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2011
Messages
8,517
Likes
11,557
Points
280
Mgibeon

Mgibeon

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2011
8,517 11,557 280
"Yaani Babu yeye chakula chake ni maji tu, pale bombani anaenda na kikombe chake, basi"

Hii kauli iliniuma sana! Maskini Mzee wa watu, ningekua lawyer ningeforce king mpaka wote wanamtumia kama ngazi wangemlipa!
 
jumayu

jumayu

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2016
Messages
658
Likes
365
Points
80
Age
41
jumayu

jumayu

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2016
658 365 80
mheshimiwa mkuu wa mkoa wa dar, ebu msaidie huyu mzee watu wanajiingizia kipato lkn mzee wetu hapati hata chochote, ebu lisimamie hili ndani ya mkoa wako, iwe mfano wa kuigwa
 
666 chata

666 chata

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Messages
1,148
Likes
1,218
Points
280
666 chata

666 chata

JF-Expert Member
Joined Mar 14, 2013
1,148 1,218 280
"Yaani Babu yeye chakula chake ni maji tu, pale bombani anaenda na kikombe chake, basi"

Hii kauli iliniuma sana! Maskini Mzee wa watu, ningekua lawyer ningeforce king mpaka wote wanamtumia kama ngazi wangemlipa!
Hapa nilisikitika sanaa, mzee hua amejifungia tu ndani ata mwezi mzima. Chakula chake ni maji tu.
 

Forum statistics

Threads 1,235,066
Members 474,351
Posts 29,211,286