Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,676
- 126,848
Matatizo yote hayo yameletwa na CCM na siyo Dr ShikaPamoja na Hayo Mkuu, Wabongo tumezidi Sana,kaishu kadogo tu, yaani tunajadili Karne nzima, kila kukicha ni hicho hicho, Wakati kuna watu ktk jamii yetu wana matatizo lukuki, km vile Ukosefu wa maji, Umeme, Barabara, Huduma za Afya, Masoko kwa mazao ya kilimo, n. K. Sasa kwanini tupoteze muda kujadili ishu zisizo na faida?. Tubadilike.