Bubu Msemaovyo
JF-Expert Member
- May 9, 2007
- 4,189
- 3,548
Kizuri chajiuza na kibaya chajitembeza.
Darwin, hiyo ni kweli kabisa. Huko ni kuhangaika kutafuta umaarufu, lakini kama kote huko ukienda huku ukiwa ni mchafu wewe ni mchafu tu.
Kizuri chajiuza na kibaya chajitembeza.
Hapa watapata wanachama wengi tu.
Si unajua mitoto yote ya Mafisadi ipo hapa?
Shule haiendi kazi yao kubwa ni kuangusha Birth Day, BBQ, Ulabu na kujifanya Buzy kwenye kila Misiba hata kama aliyekufa ni rafiki wa rafiki yake kutoka Ghana au Nigeria.
Hili nalo unataka Serikali ije ikusaidieni..!!!
Hawa watu wa UK na Asia wanaofungua haya mashina ya CCM wanaboa kweli. I'll put em on blast this coming sunday. I just can't stand them grrrrrrrrrr.
Nzoka ni muhimu kuyaheshimu maamuzi ya wananchi hata kama hatuyapendi.
Wananchi waliandamana kumuunga mkono Mh Rais mara baada ya hotuba yake...Sasa kutaka sisi tupingane na wananchi na viongozi wao wanao wapenda ni sawa na uhaini ama kutaka kuleta machafuko.
Hawa watu hawana shida...Acha wafungue matawi kwasababu sirkali ni ccm na ccm ni sirkali....Sasa hata kama wakifunguwa matawi a sirkali...ccm si ndio hio hiyo sirkali?
Upinzani nafasi kubwa waliyoipata msimu huu ni tume ya madini aliyowekwa Zitto.
Sana sana ni hadi urudi ccm kama Kaburu,Marandu na Masumbuko....Nje ya hapo ni HASARA!
Huyu Hasara naye ni member mzuri tu ila alishafungiwa hapa....
jmushi, I could care less about that stuff. Namtania tu GQ, the fact now they are knocking into the USA.......I thought u guys were wiser/smarter than us wabeba ze maboksiz.
hakuna ubaya wowote wa kufungua matawi nje ya nchi ya chama chochote kama hakuna uvunjaji wa sheria!
Je haya ni matawi ya CCM ama ni mbinu za kifisadi kuibia fedha za umma kwa mgongo wa CCM.
....... Mkuu hivi vyama na matawi vinaanzishwa na mamluki wananchi wenzetu wenye tamaa ya ukubwa na kujikomba kwa viongozi wa juu wanapokwenda kutembelea majuu, ............!
Kinepinepi, ukweli ni kuwa 'mentality' ya Watanzania imeshaaribiwa na kasumba ya kuona Siasa ndio njia rahisi ya kupata mafanikio, karibu kila Mtanzania sasa hivi anatamani kuwa mwanasiasa; tujiulize kwa nini?...Mkuu hivi vyama na matawi vinaanzishwa na mamluki wananchi wenzetu wenye tamaa ya ukubwa na kujikomba kwa viongozi wa juu wanapokwenda kutembelea majuu, mimi enzi zangu za ubaharia sikuona baharia akianzisha tawi la CCM, mind you mabaharia wengi walikuwa na elimu ya kawaida, sasa iweje wasomi tena wa kubobea kujiingiza kwenye haya mambo ya kufungua matawi ya CCM?