Pundamilia07
JF-Expert Member
- Oct 29, 2007
- 1,439
- 56
Nina sikia kuwa wanaofungua matawi hayo wengi wao ni wale wasio kwenda shule, siamini kama uko unahenya na PHD yako au Masters yako unao muda huo wa kufanya hivyo.
Mantiki ya kufungua matawi ya vyama vya siasa nje ya nchi ni ipi?,nadhani hili tuliachie opportunists.
Nchini uingereza nasikia pia kuwa majority ya wanachama wa vyama vya kisiasa huko ni watu waliojiunguza(waliokana utanzania/wakimbizi wa kiuchumi).Sasa watu wajinsi hiyo ni wakuamini kweli?.
Tusubiri tuone mwisho wake.Ushauri wangu kwa wale wanaopiga kitabu kipigeni sana siku moja kitalipa(siku zina fanana lakini hazilingani).
Unasikia tu, huna uhakika na hata unachokiandika hapa. Hebu basi kama unaelewa maana ya usomi fanya utafiti, then uje na facts. vinginevyo mchango wako bado unaonekana kuwa hauna hoja yeyote.