Vyama vya Siasa na Matawi ya Ughaibuni

Vyama vya Siasa na Matawi ya Ughaibuni

Mtanzania
Sio kama nakutusi kwa hayo maneno niliweka ili nieleweke vizuri sasa wewe unamoja na unalalamika, ijapokuwa umekubali sasa more deposit unayoweka low monthly repayment itakavyokuwa sasa wewe hutaki kweli kuwa na hiyo investment property na kuepuka na hayo mabox
Si unajua mabox yanaababisha mtindio wa ubongo
wewe hiyo moja tuu unalalamika sasa mwenzio analipa tatu au zaidi na bado anaisaidia CCM na mwaka jana alidhamini Umoja Cup na timu ya mpira ya Reading walishinda hilo kombe

Mkora,

Unakoenda ni nje ya mada. Mimi nilikuwa naelezea tu kwamba kuwa na nyumba tatu haina maana mtu ni tajiri. Kama ana utajiri mwingine sawa, wala mimi
huyo mtu simfahamu kwahiyo suala la tajiri au sio tajiri hapa halikuwa muhimu. Rudia tena ujumbe wangu wa mwanzo.

Kama ni kujadili juu ya investment ipi inafaa, hapo ni topic nyingine na
bahati nzuri ujuzi wangu mwingine ni juu ya mambo kama hayo.

Kuna watu wengi tu wana investments mbalimbali na pia wana suppot projects mbalimbali hasa TZ. Wengi wao ni wabeba mabox kama sisi wengine hapa na bado
bongo zao zinafanya kazi vizuri kabisa. Hakuna haja ya kutangaza hapa mtu
anamiliki nini na anasaidia nini, maana kutoa ni moyo na wala sio utajiri. Pia hakuna haja ya kudharau kazi ya mtu. Ni bora kuwa mbeba box kuliko kuiba pesa za watu maskini. Au kuliko kushiriki kwenye ufisadi ili tu upate pesa za haraka. Hakuna haja kabisa ya kujisikia vibaya kuwa mbeba box, ni kazi halali.

Wala hata mimi sijalalamika kuhusu nyumba ninayokaa na badala yake nimekuambia ukweli kwamba nilipata mkopo asilimia 100. Ningetaka mbwembwe
ningesema nilitoa deposit asilimia 20. Ukweli kwa anayejua maisha ya UK, wengi hata kwa walio na nyumba zaidi ya moja, wanatumia hiyo hiyo kati ya 90% na 100% loans.

UK inaendeshwa na mikopo, huwezi kuamini. Hata watu wanaotanua, ukienda ndani utakuta mikopo imetumika. Tanzania tunakwama kwasababu ili ufanye kitu chochote lazima uwe na pesa, uwe tajiri, wakati huku majuu wala sio lazima kabisa.

Baadhi ya Watanzania vijana ukikutana nao, wanafikiri ni tajiri. lakini mimi huwa sioni aibu kuwaambia ukweli kwamba hapa system ndio tajiri na ndio maana hata raia wao wanatanua. Ukienda kwa mtu mmoja mmoja, ni madeni matupu.
 
....watu wanatafuta dataz zaidi au ndio wamekubali yaaishe?? kilikuwa kiburudisho tosha!! GT, weka picha zaidi....


hutaki data?

Susan alikuwa keshawapanga jamaa wa ubalozi wamweke aribu na JK wakati wa lunch

sasa huyo JK haji na UBALOZI umegoma kuwaambia watu hili
says alot about competency ya balozi MWANAIDI na timu yake nzima

yaani inabidi turely on ES kupata ratiba ya JK

LAKINI kwa kumjua SUSAN sidhani kama ataona tabu kupiga picha na huyo Sheni lakini kama mumjuavyo SHENI ni kama updated version ya MZEE IDRISSA ABDUL WAKIL aka BABU

Hana muda wa kuongea ma deal, hana muda na mambo ya corruption na zaidi ya hayo it wont make much difference..sana sana kwa wanataka kumpata waende kuswali ijumaa pale BAKER St ..mara ya mwisho nilicheki SUSAN bado ni MGALA

sijui itakuwaje

mnataka picha za namna gani?
 
Sasa huko nyuma ilivyokuwa rahisi wewe unazo ngapi ?
unakubali mwenzio ana investment wewe una nini au kujua kwingi
Risk ipo ni popote hata ndoa tuu wakati mwingine inajamba sembuse nyumba
Kama huna pesa Sasa hiyo Mortgage deposit utaweka na nini mavuzi au mdomo unaounuka
Myonge mnyongeni lakini haki yake mpeni

.......Mods.....please, huyu mtu anapaswa kuelezwa kuwa asome sheria zetu kuhusu matumizi ya lugha hapa JF.......
 
Mods na Mkulu Invisible,

Heshima mbele wakuu, unajua kuna tunao lala macho kuweka credibility na heshima ya hii JF mbele, sasa mnaporuhusu lugha za chooni kama hizi za huyu Mkora, mnatuambia nini?

Kwanza asimamishwe na maneno haya yafutwe, halafu I have a feeling huyu mtu alishwahi tena kutumia maneno kama haya akitumia jina lingine,

I mean haiwezi ku-get lower than this!
 
Jamani tusidanganyane hapa. Tumeona ya RA na JK na pesa chafu za kampeni. Hivi huyu mwenye CAFE ni tajiri sana kuweza kulipia jengo la ofisi ya CCM UK? Je, analipa kodi yake bila ubadhirifu? Maana hapa tunayo SOCA kama haya mambo ni kweli itabidi tuwaeleze wenyewe wayachunguze isije ikawa pesa ya walipa kodi wa UK ndio inafadhili UFISADI wa CCM kwa kutumia mgongo wa WTZ au vice versa.
Mkuu huoni kama unamhukumu bila hatia ni nani anayekudanganya ? vile vile ukumbuke kutoa ni moyo usambe si utajiri


Kwa maisha ya UK na wengi wa WTZ ambao ni wanafunzi au wabeba mabox watakuwa very lucky kupata £20 kwa saa, Je kama wanapata chini ya hapo hiyo pesa nyingine inatoka wapi? Je, hii sio pesa ya walipa kodi wa Tanzania ambayo inachezewa?

Yebo2 hebu tupe ufafanuzi mkuu.

Kwa maisha ya wengi wangapi una data zozote kwani mshahara ni siri ya mtu nadhani
 
watu wengine humu ndani mmekuwa watu wa ajabusana

hivi nyie mnategemea watu watakuwa na civil discussion all the way?

acheni hizo

in the heat of the moment watu watasema yale ambayo hayapo na kwa sababu hakuna mtoto mdogo watu wataombana misamaha na yataisha

sas ma cheerleaders hamuishiwi kulia lia..watu wakipishana kidogo mnatak Mods waingilie

huyo jamaa na mwenzake walishaombana msamaha na yakaisha sasa sijui wengine mlitaka nini zaidi. Hivi nyie hamjawahi kukaa katika ma barza na kukawa na heated debates lakini mwishowe watu wanakubaliana kuyokubaliana?

kwenye threads zingine mbona hamuombi hao ma mods waje?
 
.......Mods.....please, huyu mtu anapaswa kuelezwa kuwa asome sheria zetu kuhusu matumizi ya lugha hapa JF.......

Wakuu
Jamani msinielewe vibaya kwani niliona ndio njia pekee ya kueleweka maana ubishi mwingine hauhitaji hata darasa la saba
Nimejaribu kutoa data jamaa yaani anapinga kwa sababu anapinga tuu
Je ni nani asiyejua mortgage ? na ukiomba si mpaka upate anajifanya kuelezea risk nadhani mtanikubalia hakuna kitu chochote kisicho na madhara oo now there is credit crunch ijapokuwa kila mtu anajua kuwa Bank of England wametoa £5billion to stabilize economy plus more from EU and USA federal reserve
Yeye anatetea kuwekeza Africa mbona sisi wote tunajua risk ya kuwekeza Africa
Mojawapo ni hii kama hajui (Baba anaoa mke wa pili ambaye ni kigoli wa miaka 18) wakati yeye anapigwa na baridi hapa
sasa jee amepeleka mali au amepeleka kuharibu ndoa ya mamake
sasa kwa hilo atatabilize vipi
Nia ya baraza ni kuelewashana na sio kurushana stimu
Ukiangalia coment zake nyingi zipo out of reality yaani hamna kitu
Naomba ieleweke kwamba hayo ni maneno niliyoona yatakayonifanya nieleweke
Ushahidi ni Angalia coment zake kila sehemu nying hazina maana kabisa na hazijengi lolote zaidi ya kuharibu
 
Mods na Mkulu Invisible,

Heshima mbele wakuu, unajua kuna tunao lala macho kuweka credibility na heshima ya hii JF mbele, sasa mnaporuhusu lugha za chooni kama hizi za huyu Mkora, mnatuambia nini?

Kwanza asimamishwe na maneno haya yafutwe, halafu I have a feeling huyu mtu alishwahi tena kutumia maneno kama haya akitumia jina lingine,

I mean haiwezi ku-get lower than this!

Mkuu
Nipo tayari kwa lolote at least message sent
Ili mradi Hajatukanwa mtu (kama mwanademokrasia nipo tayari kwa adhabu yoyote ref: Hon Kabwe Zitto
 
Mods na Mkulu Invisible,

Heshima mbele wakuu, unajua kuna tunao lala macho kuweka credibility na heshima ya hii JF mbele, sasa mnaporuhusu lugha za chooni kama hizi za huyu Mkora, mnatuambia nini?

Kwanza asimamishwe na maneno haya yafutwe, halafu I have a feeling huyu mtu alishwahi tena kutumia maneno kama haya akitumia jina lingine,


I mean haiwezi ku-get lower than this!

stop-snitching.jpg
 
sio lazima watu fulani waone ndio waripoti kuwa lugha inayotumika haifai..........hata wewe ukiona unaweza fanya linalotakiwa i.e. kumuelimisha ndugu anayetumia lugha isiyofaa.........na hiki ndicho nilichokisema and i stand by it.

Mtu kaingia post yake ya tatu tu katoa lugha ya aina ile.............inaelekea ni mgeni na hajui utaratibu wa matumizi ya lugha hapa............hivyo si vibaya akaelimishwa

Well, Ndugu Mkora.......unaweza kuwa na point za msingi sana.....lakini lugha yako ikafanya unachokiandika kisionekane kuwa cha maana.........
 
Mbona mnatutisha tunaotaka kuja UK maana naona kama nikifika nitakuta mparanganyiko mkubwa kumbuka kuanzi kwenye thread ya maina mpaka huku watu mnapakana tu.
 
Sasa mbona na wewe unasema lugha ya chooni
Unaweza kutuambia ipo katika dictionary gani
Wacha zako hizo
Maana haiyumkiniki kwa wewe kutumia lugha hiyo kwa mintarafu hiyo unaonyesha unataka kuleta mambo ya kibeberu humu
Kipi kikusikitishacho ?
 
Sasa mbona na wewe unasema lugha ya chooni
Unaweza kutuambia ipo katika dictionary gani
Wacha zako hizo
Maana haiyumkiniki kwa wewe kutumia lugha hiyo kwa mintarafu hiyo unaonyesha unataka kuleta mambo ya kibeberu humu
Kipi kikusikitishacho ?
 
Wakuu turudi back to the point..kusemakweli Susan hata miye namfahamu..ni binti mwenye kipaji cha organization.na pia anapenda ku iserve public..i think ni kipaji kizuri sema tu amefanya noma kuikumbatia CCM bila ya kujaribu kuhoji accountability hususan kipindi hiki cha ufisadi!Ni wazi Susan anaweza kuja hapa na kutueleza msimamo wake kuhusu ufisadi na ni ushauri gani anatoa kwa viongozi wote hao aliopiga nao picha katika mshike mshike na wimbi hili tunalokabiliana nalo la unaccountabilitism!
 
Sijui kuwa mada hii tayari imeshawekwa hapa au la. Kama ishawekwa mnisamehe.

Napenda kuuliza kuwa, hivi maana ya kuwa na matawi ya vyama vya siasa ughaibuni ni nini? Ni harakati gani za kisiasa zinazoendelea katika nchi za watu ambazo zinahitaji kuwa na chama cha siasa humo? Wakati ule wakati nchi nyingi zilikuwa bado zinagombea uhuru, tulishuhudia kuwepo kwa vyama vya siasa nchini mwetu. Vyama hivyo vilikuwa, kwa mfano, FRELIMO, ANC, MPLA, ZANU,ZAPU, SWAPO, PAC, PLO na kadhalika. Vyama hivyo vilikuwepo Tanzania kwa sababu haikuwezekana kuwa na harakati za kisiasa nchini mwao. Walipewa kibali na serikali ya Tanzania kuwepo kwa vyama humo nchini.

Je haya matawi yanayofunguliwa ughaibuni yana malengo gani? Ni jinsi gani wanachama wake wanaweza kushiriki katika siasa nyumbani? Watanzania tuishio ughaibuni kwa kiasi kikubwa hatuwezi kushiriki katika mambo ya kisiasa yanayoendelea nyumbani, hii ni pamoja na kupiga kura. Hivyo binafsi, sioni maana ya kuwa na matawi haya. Kama kungekuwa na uwezekano wa waishio ughaibuni kupiga kura, maana ya matawi anagalau ingekuwepo.

Watanzania wengi, tukiwa nje ya mipaka yetu, kitu kinachotujumuisha wote ni Utanzania wetu. Kitendo hiki cha umoja na undugu wa Watanzania unawashangaza wengi, hasa Waafrika wa nchi zingine ambao hawana umoja kama sisi. Mara nyingi tunaulizwa, 'je yule ni ndugu yako, mlikuwa mnafahamiana zamani'? Wakijua ndio kwanza mmekutana huwa wanashangaa, na jibu wanalopata ni, 'Sisi ni Watanzania.' Hapo ndipo wakati ambapo najivunia kuwa Mtanzania.

Kwa maoni yangu naona kwamba kuanza kuwepo kwa matawi ya vyama vya kisiasa ughaibuni kutaanza kuleta mgawanyiko kwa Watanzania waishio huku. Hata siku moja sijawahi kusikia au kuona kama kuna matawi ya Republicams, Democrats, Labour, Conservatives, CDU au Forza Italia katika nchi zingine! Au huu ni mtindo mpya wa siasa za kimataifa ambao unahamishia siasa za ndani ya nchi, kwenda nchi zingine? Ikumbukwe kuwa, nauliza tu.

Naam chuki na uhasama zitazidi. Sasa hivi Watanzania katika nchi mbali mbali huwa wanahudhuria sherehe katika balozi zetu bila matatizo. Sasa kukiwa na haya matawi ya CCM, CUF, CHADEMA n.k. basi wanaCUF na wanaCHADEMA wanaweza kabisa kuamua kukata mguu kwenda katika sherehe zozote za ubalozi na watakwenda ubalozini wakiwa na shida ambayo ni lazima waende huko ili kuitatua, vinginevyo watakata mguu. Ndiyo sera za CCM hizo siku zote huweka mbele maslahi ya chama chao badala ya nchi. Hivi umeshasikia kama Wamarekani wanaweka matawi ya Demecrats na Republicans Dar? Wakiwa Tanzania wote ni wamarekani tu bila kujali itikadi zao, sosi tunataka kuanza kubaguana hata kwenye nchi za watu! Kigumu chama cha mafisadi! kigumu!
 
Naam chuki na uhasama zitazidi. Sasa hivi Watanzania katika nchi mbali mbali huwa wanahudhuria sherehe katika balozi zetu bila matatizo. Sasa kukiwa na haya matawi ya CCM, CUF, CHADEMA n.k. basi wanaCUF na wanaCHADEMA wanaweza kabisa kuamua kukata mguu kwenda katika sherehe zozote za ubalozi na watakwenda ubalozini wakiwa na shida ambayo ni lazima waende huko ili kuitatua, vinginevyo watakata mguu. Ndiyo sera za CCM hizo siku zote huweka mbele maslahi ya chama chao badala ya nchi. Hivi umeshasikia kama Wamarekani wanaweka matawi ya Demecrats na Republicans Dar? Wakiwa Tanzania wote ni wamarekani tu bila kujali itikadi zao, sosi tunataka kuanza kubaguana hata kwenye nchi za watu! Kigumu chama cha mafisadi! kigumu!
Ni kweli na ndio maana tunawapinga wa kina Susan..kwani hatujali kwamba wao ni wana CCM..bali wamefanya nini ili kuweza kuutokomeza ufisadi?Je nia yao ya kufungua matawi ya CCM nje ya nchi ni kwa manufaa ya wanyonge wanaokandamizwa na kuibiwa ama ni kwa ajili ya kuendeleza dhulumati hizo?Kwanini waone kuwa wakati huu wa kashfa za ufisadi ndio wakakti mzuri wa kufungua hayo matawi?Nia!...je ni nzuri kwa taifa,ama ni kuendelea kutenganisha,kutawala na kunnyoya?Elimu yao waliyoipata huko uk wataitumia kwaendeleza wananchi ama kujiendeleza wao na vyama vyao vya kisiasa na maswahiba zao?Susan uje hapa utueleze!Ama yebo yebo anaweza kukuwakilisha!
 
Ni kweli na ndio maana tunawapinga wa kina Susan..kwani hatujali kwamba wao ni wana CCM..bali wamefanya nini ili kuweza kuutokomeza ufisadi?Je nia yao ya kufungua matawi ya CCM nje ya nchi ni kwa manufaa ya wanyonge wanaokandamizwa na kuibiwa ama ni kwa ajili ya kuendeleza dhulumati hizo?Kwanini waone kuwa wakati huu wa kashfa za ufisadi ndio wakakti mzuri wa kufungua hayo matawi?Nia!...je ni nzuri kwa taifa,ama ni kuendelea kutenganisha,kutawala na kunnyoya?Elimu yao waliyoipata huko uk wataitumia kwaendeleza wananchi ama kujiendeleza wao na vyama vyao vya kisiasa na maswahiba zao?Susan uje hapa utueleze!Ama yebo yebo anaweza kukuwakilisha!
Hii mbona haichangiwi tena?ama wachangiaji wametokea kufahamiana?Ukimya umekuwa mkuu kiasi cha kutisha!
 
Nyinyi mnahangaika na hizi ofisi za Chama kama hamuelewi basi kaeni chonjo kwani saa mbaya, saa mbaya kwa CCM ,nia na madhumini ya ofisi hizo ni kuhakikisha watz wanaobahatika kuvuka mipaka na kujitosa maulaya hawapatiwi ukaazi,hawapatiwi ukimbizi, hawapatiwi kujilipuwa kwa kiswahili sanifu ,nawaombeni WaTanzania wenzangu ofisi hizo muziogope kama marazi ya ukoma ,ofisi hizo zina kila harufu ya umafya mafya ,kama kushughulikiwa Mtz basi ofisi hizo ndizo zitatumika kupata mienendo yako yote ,hizo ni harakati za mwanzo kwa CCM kujitanua kwa kutumia mtindo wa Mafia style na wakizitumia ofisi za Ubalozi jambo ambalo ni kosa kwa ubalozi kujihusisha na shughuli za Chama cha siasa, kuwa kila sehemu wapo ,nawaeleza na kuwaambia kuwa muziepuke na muepuke kila ambae anajifanya yeye ndie mwanachama wa CCM nambari one ,mtakuja kulia kilio cha mbwa mdomo juu pia mummulike yule ambae huwepo hapo na kuwa mstari wa mbele eti akihamasisha kama umeanza kusogelea basi wandugu pakimbieni wala wasiwaone tena,natumai ujumbe umefika,msipite juu ya mbigili wakati hamkuvaa viatu. Nilikuwa nikiwatazama tu nijue kama mtang'amua hii janja ya mafia style ,CCM ni very dangerous company take care with them where ever they are.jamani si mnajua visa na mikasa yao watu hawa. Nia na madhumuni yake ni kusababisha fitina na ufisadi miongoni mwenu kwa kisingizio ccm na baada yake mgombanehalafu murudishwe makwenu kama walivyokwenda ubalozini na kusema musipewe visa si mnasikia kasheshe ya kuomba visa za Uingereza basi mjue jamaa wameanza kaziJE MLILIONA HILI KATIKA MJADALA HUU ,nasema tena kaeni chonjo na hizo ofisi
 
nakumbuka nilikuwa Uingereza kwa matembezi wakati fununu za kuanzisha tawi la ccm zilipoanza.
walioenda kugombea vyeo mbali mbali nilipozungumza nao walikuwa wakisema wao damuni kwao ni wapinzani lakini ile ni sehemu ya kutafutia ulaji tu. ..njia moja wapo ya kuhakikishiwa kazi nzuri watakaporudi tz, pamoja na kujipatia pesa za kuendesha chama
 
Back
Top Bottom