Vyama vya Siasa na Matawi ya Ughaibuni

Vyama vya Siasa na Matawi ya Ughaibuni

gse_multipart36334.jpg

Mkuu GT,

Kweli umenishinda maana huko unakoibua hayo mapicha naona pool haiwezi kukauka.

Hiyo ndio PR wanayotaka hao wafungua matawi nje. Wanataka kupata nafasi ya kupigana mabega na wakuu wa nchi kwa faida zao za baadaye.

Hivi ukipoteza haki ya kuwa raia wa Tanzania, bado unaweza kuwa Mwenyekiti wa CCM?

Kuna mwenyekiti wenu mmoja hapa UK sio raia tena wa Tanzania.
 
Wewe Mtanzania naona unataka kuzua jambo jingine kubwa huko kwenu ughaibuni....anyway, ni raia wa wapi sasa? Au duo-citizenship ilishakubalika kwa wana CCM?!
 
Mjadala wa picha sio mbaya sana japo kusafisha macho Wakulu..........

Haya, kanyaga twende mwanangu!!!!
 
Nimeona wabongo huko South, Namibia, Botswana wakibadili uraia ili waweze kukubalika kupata kazi na kuendeleza mikataba ya kazi baada ya kuisha. Lakini bado ni wanachama wa Tanzania Associations. Hata mimi hainijii akilini utupe passport ya Tanzania alafu uwe mwanachama wa vyama vya Tanzania?

Labda tuanzishe harakati za dual citizenship, ili nchi moja uwe raia kwa sababu ya uzalendo na nyingine kwa sababu ya uchumi.

vipi huyo M/Kiti ambaye si Raia wa Tz?
 
Hivi GT na Mtanzania, mbona inaonekana huwa mnahudhuria sana kwenye haya mavikao ya watanzania London, kwa nini hatuonani? Au kwa nini huwa mnajificha? Hata hivyo nimeshagundua namna ya kuwapata, nitakuwa karibu sana na Nora na Suzy maana ni hapo tu pa kuwapata nyie🙂

BTW: Hawa jamaa wa TA hawaoni kama ingekuwa la maana zaidi kama wangefungua matawi ya association yetu kona mbalimbali za UK badala hayo ya CCM? Tena nakumbuka tulikubaliana kwamba TA wangefungua matawi, lakini naona yamepamba moto ya CCM tu, yaani chama chetu cha TA hakiwezi, lakini CCM ya akina Maina inaweza kufungua matawi, Abu vipi brother mbona unatuangusha?

Halafu nafikiri, kuna issue na balozi. Iweje yeye afanye kazi ya chama cha siasa? I think we need to put her to task. Unajua sikujua kama balozi wetu anashiriki kwenye huu upuuzi hadi nilipotumiwa picha na report na moja wa wana CCM anayeshiriki haya mambo na ambaye inaonekana amejeruhiwa na sasa ana kinyongo! Hawezi kukwepa hili maana tuna taarifa na picha kabisa akiwa ameenda ku-officiate matawi mbalimbali ya CCM. Ngoja tutafanya hii issue political na atashangaa hicho kiti kitakavyogeuka cha moto. Nilikuwa namheshimu sana, lakini sasa kwa hili ahaaa!
 
Actually unajua mimi nilikuwa sina mpango na mambo ya CCM lakini nadhani its not a bad idea kujoin kama mambo yenyewe ndio haya

sema kuna taizo dogo...

SUSAN ni mke wa mtu! sasa sheikh huoni kama hapo utakuwa unafanya dhambi kwa kuwa na nia hiyo ilionayo?

Waswahili wanasema mke wa mtu ni mali za watu.
 
Yebo Yebo,

Uhuru wangu hauishii kwenye kupiga kura, ni pamoja na haya tunayopinga sasa. Process ya kupata kiongozi wa taifa ni ndefu mmno, kama unavyojua garbage in garbage out. Ni muhimu kupinga yale ninayoyaona hayafai mapema kabla hata ya kufika huko kwenye uchaguzi. Hayaishii hapa, tutawapinga hata hiyo 2010, ndio maana ni muhimu kukusanya dossiers zao.

Tumeona madhara ya hawa watu ambao wako tayari kutumia kila njia ili kujijengea mazingira ya kutwaa uongozi Tanzania. Nyerere alisema ogopa mtu anayekimbilia Ikulu kwa njia zote, wengine tunasema ogopa watu ambao wako tayari kutumia njia zozote kupata ubunge Tanzania.

Kuhusu umoja, tatizo la watu wengi ni kuangalia mazingira waliyopo tu. UK kuna matatizo mengi kabla hata ya matawi ya CCM kuanzishwa. Kuanza kwa hayo matawi kunazidisha kubomoka kwa haraka kwa umoja ambao Nyerere alitumia nguvu zote kutuhakikisha tunakuwa nao. Wengine tumeishi nchi nyingi zaidi ya UK, hasa Europe, kwasababu wao mara nyingi wanakuwa wachache kuna umoja mkubwa na mafanikio kuliko hapa UK.

Nani kakuambia sihudhurii mikutano ya Watanzania UK? Nilichosema sitahudhuria ni hiyo mikutano ya CCM nje ya nchi.

Kuhusu matawi ya CCM nje ya nchi, labda wewe na huyo Thiongo ndio leteni
ushahidi. Huko nyuma nimewahi kuwa kiongozi wa vyama vya wanafunzi hapa Europe, hakuna mahali popote hata kwenye historia ya hivyo vyama panapoonyesha wananchi wa nje walikuwa na matawi ya vyama au walikuwa wanaweka UCCM mbele. Chama kilikuwa kinashika hatamu na ili uje nje ilikuwa lazima uwe mwana CCM lakini hapo ndio ulikuwa mwisho wake, ukifika nje wote tulikuwa Watanzania.

Ukiangalia haya mambo ya vyama, washabiki wakubwa ni watu waliokuja nje miaka ya 2000. Ni matokeo ya mgawanyiko wa Watanzania huko nyumbani na wanauleta hata Ulaya. Huko nyuma umoja wa Watanzania nje ya nchi ulikuwa muhimu sana, hakukuwa na mawasiliano ya kuaminika na nyumbani, hakukuwa na JF, hata kuongea na nyumbani ilikuwa shida. Mshikamo ilikuwa ni kitu muhimu mno kwa Watanzania na ndio maana mpaka leo watu waliokuja siku nyingi nje ya nchi wanaheshimu umoja wa Watanzania kuliko waliokuja miaka ya karibuni.

Huko tunakokwenda na kadri Watanzania wanavyozidi kuwa wengi nje ya nchi, hata ukabila utaanza kukua na tutaishia kuwa kama Wakenya tu. Usipozuia jambo moja, mengine huzaliwa.

Sawa kabisa Mtanzania bwana Yebo yebo kaja 2001 anabeba maboksi Reading hajui kitu, naomba umsamehe mtu ukibeba maboksi kwa muda mrefu unapoteza uwezo wa kufikiri.

Anadai ana PHD sijui ya kubaba mabox kama anashindwa kujadili hoja ndogo kama hizi,huyu Yebo yebo wakati wa uzinduzi wa TA tulieleza matatizo mengi humu humu JF yeye akaja juu na kueleza kuwa TA ni chama makini na alikuwa akikesha JF kuitetea TA, hivi sasa amefanya U-TURN na kusema ni cha mfukoni na CCM ndio kwenyewe.

Yebo yebo alikuwa na mdogo wake kwenye TA wakasigana na Mwenyekiti akatimuliwa, sasa Yebo yebo yupo mguu ndani mguu nje TA,tulipokuwa tukimpinga Yebo yebo humu alisema kuwa yeye hakai UK,Yebo yebo una Phd lakini huna kumbu kumbu kwanini?

Inajulikana kuwa CCM una Interest zako kwa sasa, naomba niambie lini CCM iliruhusu matawi ya nje jee ni NEC ya mwaka gani?
ukinipa jibu njoo London Road nitakupa pound mia tano.

Mtanzania.

Acha kubishana na huyu jamaa hana chake hivi sasa TA amewekeza kwenye CCM kama mtaji wake wa kurudia nyumbani, inashangaza mtu ana PHD anataka kutumia mgongo wa ccm kupata ajira bongo.
Mtanzania unaijua UK na Tanzania kwa kina, mwenzako anaijua Reading tu na agency za maboksi, kachanganyikiwa amepigwa bao TA.
 
Mkuu GT,

Kweli umenishinda maana huko unakoibua hayo mapicha naona pool haiwezi kukauka.

Hiyo ndio PR wanayotaka hao wafungua matawi nje. Wanataka kupata nafasi ya kupigana mabega na wakuu wa nchi kwa faida zao za baadaye.

Hivi ukipoteza haki ya kuwa raia wa Tanzania, bado unaweza kuwa Mwenyekiti wa CCM?

Kuna mwenyekiti wenu mmoja hapa UK sio raia tena wa Tanzania.
Huyu Suzan tunaye Reading lakini kaenda kuomba ukatibu wa CCM London huko kuna airports na wakubwa wanafikia huko.

Akiwa Katibu hapa Reading atakuwa ana deal na sisi wabeba maboksi (MAKABWELA)na ma Carers(WALALAHOI) kama yeye,haijui siasa na si mwanasiasa ila anatafuta umaarufu tu, na MBA yake haina ajira bongo na si accredited inabidi apige mbizi kwenye siasa.
 
Sijakutuhumu uhudhurii mikutano ya Watanzania UK. Nilichoandika kiko wazi kinaeleweka, nimezungumzia mikutano ya CCM UK.

Mimi naunga mkono haya matawi kuwepo, yawe ya CCM, Chadema, Cuf n.k

Ni wewe Mtanzania uliyesema na bado unaendelea kusema kuwa Matawi ya CCM yaliyoanzishwa February/March 2007 yamevunja umoja wa Watanzania uliokuwepo kabla ya hapo; hii statement yako ndio naomba ulete ushahidi. Mimi naamini hizi ni hisia zako ambazo hazina misingi yoyote ya facts.

Kweli Mtanzania, unathubutu kusema kule nyumbani leo Watanzania tumegawanyika kwa sababu za kisiasa??!!!

Hawa waliokuja miaka ya 2000 ndio kundi kubwa la kupeleka chachu ya mabadiliko Tanzania, mtu kama umekaa ulaya zaidi ya miaka 15 mfululizo sitegemei kama utakuwa karibu sana siasa za Tanzania unless ufanye juhudi za ziada (au uwe karibu na safu ya viongozi).

Pia kumbuka ni kati ya 2003 na 2006 ndipo CCM walibadili katiba ili kuruhusu rasmi matawi ya chama chao nje ya nchi. Baada ya muda ndipo tutaweza kujua ukweli halisi (kwa ushahidi) kama haya matawi ni faida kwetu Watanzania wa ngambo. Lakini kupinga kitu kwa hisia peke yake haitoshi.

Sasa kama kuna hilo kundi kubwa linaloheshimu umoja wa Watanzania kwa nguvu hiyo unayotaka tuamini hapa forum; kwa nini basi Tanzania Association UK inalegalega?

Nimesema huko nyuma kuwa kulegalega kwa Tanzania Association UK kumechangia kwa kiwango kikubwa kushamiri kwa CCM London. Hoja yangu hii hujasema kama unapingana nayo au unaiunga mkono.

Watanzania waliopo Tanzania wapo zaidi ya mil 36, mfumo wa vyama vingi Tanzania vimeanzishwa 1992 (miaka 16 iliyopita). Nikuulize swali Mtanzania. Je, unaweza leo kusema kwa hoja zenye mashiko kuwa vyama vya siasa vimeleta Ukabila uliopo Kenya nchini Tanzania?

Natumai hoja zangu unazielewa vema; mimi naheshimu mawazo yako, ila ninaona yanaendeshwa na hisia badala ya facts.

DR. Yebo yebo.

haya ulikuwa unaandika wewe leo unaikana TA.
http://www.jamboforums.com/showthread.php?t=2343&page=3
 
Hivi GT na Mtanzania, mbona inaonekana huwa mnahudhuria sana kwenye haya mavikao ya watanzania London, kwa nini hatuonani? Au kwa nini huwa mnajificha? Hata hivyo nimeshagundua namna ya kuwapata, nitakuwa karibu sana na Nora na Suzy maana ni hapo tu pa kuwapata nyie🙂

BTW: Hawa jamaa wa TA hawaoni kama ingekuwa la maana zaidi kama wangefungua matawi ya association yetu kona mbalimbali za UK badala hayo ya CCM? Tena nakumbuka tulikubaliana kwamba TA wangefungua matawi, lakini naona yamepamba moto ya CCM tu, yaani chama chetu cha TA hakiwezi, lakini CCM ya akina Maina inaweza kufungua matawi, Abu vipi brother mbona unatuangusha?

Halafu nafikiri, kuna issue na balozi. Iweje yeye afanye kazi ya chama cha siasa? I think we need to put her to task. Unajua sikujua kama balozi wetu anashiriki kwenye huu upuuzi hadi nilipotumiwa picha na report na moja wa wana CCM anayeshiriki haya mambo na ambaye inaonekana amejeruhiwa na sasa ana kinyongo! Hawezi kukwepa hili maana tuna taarifa na picha kabisa akiwa ameenda ku-officiate matawi mbalimbali ya CCM. Ngoja tutafanya hii issue political na atashangaa hicho kiti kitakavyogeuka cha moto. Nilikuwa namheshimu sana, lakini sasa kwa hili ahaaa!

Mkuu Kitila,

Wengine nguvu zetu ziko kwenye keyboard, ukinikuta London hutajua wala huwezi kudhani huyu ni Mtanzania.

Kukiwa na totoz, hapo panakuwa patamu zaidi.

Ila mimi namjua GT maana huwa haachi kumkodolea macho Nora.

Hata mimi nilitegemea matawi ya TA yafunguliwe lakini ndio hivyo tena. Unaongelea kufungua matawi ya TA wakati uongozi unashindwa hata kutuma mails
pamoja wanachama karibu wote kuacha email zao. Wanaogopa mtawaumbua mambo yao.

Balozi huwa anaenda baadhi ya mikutano ya CCM. Mwanzoni alikuwa anaogopa lakini baadaye akapata nguvu na wapambe wakamwambia hakuna shida.

Yaani Tanzania ina matatizo, sijui hata tuanzie wapi kupambana nayo. Labda tuombee CCM wadondoke 2010. Matawi yote unayosikia yanafunguliwa, yatakufa baada ya mwaka mmoja tu.
 
Wewe Mtanzania naona unataka kuzua jambo jingine kubwa huko kwenu ughaibuni....anyway, ni raia wa wapi sasa? Au duo-citizenship ilishakubalika kwa wana CCM?!

SteveD,

Wanaficha wanafikiri hatuwajui, inaelekea dual-citizenship inakubalika CCM maana hata yule mwizi wa pesa za radar ni mwanachama wa CCM huku ana uraia wa UK na nchi zingine.

Huyu mwenyekiti wa CCM, akijifanya kimbelembele tutamwumbua tu. Wakati anatupa gamba la TZ, hakujua kwamba kuna CCM?
 
Huyu Suzan tunaye Reading lakini kaenda kuomba ukatibu wa CCM London huko kuna airports na wakubwa wanafikia huko.

Akiwa Katibu hapa Reading atakuwa ana deal na sisi wabeba maboksi (MAKABWELA)na ma Carers(WALALAHOI) kama yeye,haijui siasa na si mwanasiasa ila anatafuta umaarufu tu, na MBA yake haina ajira bongo na si accredited inabidi apige mbizi kwenye siasa.
Umaarufu..eer..i don't know..i dont think so though!The sister used to know all sorts of people before she even thought about politics!However she's currently married and you should respect that!Na haya mambo ya kuandika Susan Shayo Lyimo yametokea wapi?Ukabila tena ama!?Ikawa vipi mtu akawa na majina mawili ya ukoo at the same time kama siyo steriotype hiyo?As far as i know..her Dad is a noble man and a well respected faculty professor!Acha umatumbi kifimbo ndii!
 
Kuwa na nyumba tatu UK wala haina maana mtu ana pesa. Mortgage miaka ya nyuma ilikuwa rahisi sana kama unataka kununua nyumba kwa ajili ya kupangisha (buy to let).

Kuna watu nawajua labda wanapata mshahara kidogo sana lakini wana nyumba zaidi ya moja. Hiyo ni investment. Inaweza kufanikiwa lakini pia inaweza ku burst kama ambavyo watu wengi sasa wanakumbwa na hii credit crunch.

Simfahamu jamaa, hivyo anaweza kuwa na pesa lakini wengi ninaowajua hasa Wahindi, nyumba hizo ni investment kwa kutumia mortgage na wala sio kwamba wana mapesa mengi.

Sasa huko nyuma ilivyokuwa rahisi wewe unazo ngapi ?
unakubali mwenzio ana investment wewe una nini au kujua kwingi
Risk ipo ni popote hata ndoa tuu wakati mwingine inajamba sembuse nyumba
Kama huna pesa Sasa hiyo Mortgage deposit utaweka na nini mavuzi au mdomo unaounuka
Myonge mnyongeni lakini haki yake mpeni
 
Secretary wa ABUU FARAJI kapata mimba hivyo tumshukuru mwenyekiti wa TA.

swali je,

1)je mimba ni ya nani?(sisemi kama mwenyekiti kamtia mimba yule sista lakini tusisahau kuwa ABUBAKAR FARAJI ni rijali na yule binti naye si haba)

2)ikifika wakati wa kuchukua maternity leave je,mwenyekiti atampa full maternity leave au?

3)replacement yake yule binti ni yupi?

shukran zangu za dhati.
 
mmmmmmh sasa naona pumu imepata mkohozi...hii kitu ime-spin out of control sasa naona imekuwa majungu kwa mwendo wa mbele!!! angalieni tu, msije kuvunja ndao za watu...kwani dhambi yake kuuuubwa!!

(yebo)2, naona chali, hoi ibn taabani!!! mambo mengine inataka uwe na pumzi kwikwikwikwikwi, utaota kibyongo bure kujibebesha mizigo usoiweza.

Ndio siasa hiyo...you cant have it both ways...eti uwe kwenye siasa halafu private life yako iwe immune

ni kweli huyo binti aliyetajwa hapo juu anayo mimba lakini sijui ni ya nani..unajua tena winter inaisha isha tena sasa hivi

gse_multipart12797-1.jpg

Mke wa mtu uko 0 degrees na mwenyekiti

gse_multipart31581.jpg

yaani hata mzee Malecela hakupewa nafasi ya kupumzika

gse_multipart36334.jpg

JK naye was not immune

gse_multipart36317.jpg

lakini mwenye mali hana khiyana

gse_multipart12819.jpg

MWANAE KIKWETE (RIDHWANI) NAYE NDANI

gse_multipart12827.jpg

OF COURSE MUME NAYE INAELEKEA HANA KHIYANA...AS LON AS LENGO LINAFIKIWA

SNC14854.jpg

MAINA OWINO na timu yake ...

Yebo Yebo hakutegemea haya..na naona dossier alialoekewa na mzee kifimbo loimemwangusha kabisa
 
Sasa huko nyuma ilivyokuwa rahisi wewe unazo ngapi ?
unakubali mwenzio ana investment wewe una nini au kujua kwingi
Risk ipo ni popote hata ndoa tuu wakati mwingine inajamba sembuse nyumba
Kama huna pesa Sasa hiyo Mortgage deposit utaweka na nini mavuzi au mdomo unaounuka
Myonge mnyongeni lakini haki yake mpeni

Mkuu Mkora,

Siko hapa kuelezea investments zangu, niko kuongelea siasa. Mimi nilikuwa nakufahamisha tu kwamba kwa UK kuwa na nyumba tatu wala haina maana mtu ni tajiri. Unaweza kupata nyumba tatu kwa kukopa bila matatizo. Ni tofauti na TZ ambako kwa kiasi kikubwa hizo nyumba lazima utakuwa na utajiri wa kiasi fulani.

Hapa UK wala ulikuwa huhitaji deposit, kuna mortgage za asilimia 100. Ni wiki jana tu mortgage za asilimia 100 zimeondolewa kwasababu ya cridit crunch ambayo inayakumba mabank sasa. Mimi nilinunua nyumba yangu miezi mitatu tu baada ya kuingia UK na mortgage ya asilimia 100. Je nilikuwa na pesa? Hapana, hata ningeambiwa niweke deposit pounds 2000 ningehangaika. Je kwa kuwa na nyumba mimi ni tajiri, hapana, maana bado nalipa mortgage kubwa ambayo ni sawa tu na kupanga nyumba.

Hayo ya mimi nina nini sio ishu hapa, hata nikiwa na kitu wala siwezi kuja kutamba hapa JF.

Mimi ni mbeba box tu na sina kitu chochote, I hope ukweli huo utakufurahisha.

Hayo matusi mengine mkuu ni too low kwa wengine kuyaongelea.
 
Mtanzania
Sio kama nakutusi kwa hayo maneno niliweka ili nieleweke vizuri sasa wewe unamoja na unalalamika, ijapokuwa umekubali sasa more deposit unayoweka low monthly repayment itakavyokuwa sasa wewe hutaki kweli kuwa na hiyo investment property na kuepuka na hayo mabox
Si unajua mabox yanaababisha mtindio wa ubongo
wewe hiyo moja tuu unalalamika sasa mwenzio analipa tatu au zaidi na bado anaisaidia CCM na mwaka jana alidhamini Umoja Cup na timu ya mpira ya Reading walishinda hilo kombe
 
Back
Top Bottom