Vurugu Tegeta, msafara wa JK waathirika pia (Dar)

Kipindi hiki kulikuwa hakuna taarifa za kiinteligensia kwamba kuna vurugu Hilo namanga ili mkuu asipite?
Au taarifa za kiinteligensia zinapatikana wakati cdm wanapotaka kuandamana tu?
 
Nimepata tetesi kuwa msafara wa Rais umepigwa mawe na watu wenye hasira leo maeneo ya namanga jijini daresalaam. Mwenye habari kamili atujulishe tafadhali. (mlioko dar tupeni habari kamili)
 
Hii habari niliisikia kwa mtu aliekuwa mitaa ile.....wananchi wenye hasira nasikia wameua mtu(baonsa) ambae alitumwa kwenda kuwaondoa wakazi kwenye eneo moja ambalo linadaiwa kununuliwa na muwekezaji OIL COM.....msafara wa jk ukapita inasemekana alikuwa anaelekea bagamoyo....wananchi wakaurushia mawe vile vile na kutupiwa maneno ya kejeli.....nasikia hali ni tete mitaa ya tegeta
 
Itakuwa kitu kizuri sana ila leo alikuwa na kikao na wanausalama tz
 
inabidi ajifikilie mara mbili Dar es Salaam siku zote wamekuwa nyuma yake lakini kama a na wao uzalendo umewashinda basi atamaliza kipindi chake kwa taabu mno

Halafu Usalama wa Taifa hovyo kabisa kama walijua kulikuwa na ugomvi wa wananchi kwa nini wampitishe Raisi njia hiyo hawa ni wapuuzi sana
 
Among the natural rights of the colonists are these: First a right to life, secondly to liberty, and thirdly to property; together with the right to defend them in the best manner they can.

Hayo tu
 
Pia hiyo Big Bon petrol station ni ya kupiga moto maana inadaiwa inapewa nguvu na Riz1 kuwa na share zake.
 
inabidi ajifikilie mara mbili Dar es Salaam siku zote wamekuwa nyuma yake lakini kama a na wao uzalendo umewashinda basi atamaliza kipindi chake kwa taabu mno

Halafu Usalama wa Taifa hovyo kabisa kama walijua kulikuwa na ugomvi wa wananchi kwa nini wampitishe Raisi njia hiyo hawa ni wapuuzi sana
Froida ulitaka asipigwe mkuu kwani yy nani
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom