Vurugu Tegeta, msafara wa JK waathirika pia (Dar)

Kabla ya kuhutubia katika Baraza la Idd, JK alikwenda BGM kwa yule bibi. Baada ya bibi kumaliza shughuli zake, jamaa alioneka kuwa na ujasiri. Siku chache zilizofuata, akahutubia ktk ule mkutano wa Idd na kuwapasha Waislamu waanzishe na kuigharamia Mahakama ya Kadhi wao wenyewe.

Taarifa za nini kilitokea huko Bagamoyo na hata njiani wakati wa kurudi toka Bagamoyo ajitulea JB (Jason Bourne).

Katika hali tete iliyopo sasa nchini, kenda huko kwa nani na ili aongee na nani?
 
Kaenda kuchungulia TV yetu ile!! Ili mambo ayaone mwisho wake, yaani mnadhani yeye mjinga...

Shauri zenu...
 
amealikwa na mapdre wa shirika la Roho Mtakatifu kufungua mkutano wao wa world chapter unaofanyika mara ya kwanza afrika tangu shirika hilo liundwe miaka zaidi ya mia tatu iliyopita
 
Naona kaenda kufanya kitu ili wale wote waliomuita 'dhaifu' kesho wajikute wana vibusha.
 
Jamani, hata tunapojibu maswali ya Multiple choices, options huwa zinakuwa zinaelekeana. Lakini hizi mlizonipa, zinanipigisha danadana kweli, ili kupata jibu sahihi.

OK, ikiwa kisharudi, yule jamaa yake wa Kigoma na yule wa kule Lushoto/Bumbuli nao wamekuja Dar?
 
Watu wasiojukikana walikuwa na nia gani wamezuia msafara wa Rais uliolukuwa unapita maeneo ya Namanga.

Inamaana Rais, kama MSAFIRI, alipita eneo ambalo songombingo lilikuwa linatokea, sio kwamba walijipanga kumshambulia kama walivyofanya wa wa Chunya kipindi kile! Je, alikuwa anaelekea Bagamoyo?
 
Back
Top Bottom