anakwenda kula bata zake bagamoyooo kwa mke mdogo! Chezeiya kikwete weye??popoa mawe kabisa alikuwa anaenda wapi si tunahangaika
udaku street hiyo kuzuia msafara wa Rais ni jambo linalowezekana pengine walikuwa na shida ya kumweleza Rais lakini JF tunachukulia kuwa wamezuia kumpopoa mawe...... stupid thinking
Habari zinazosambaa ni kuwa kumetokea mapambano makali kati ya vyombo vya usalama na raia huko Tegeta jijini Dar, ambayo inaelezwa polisi wetu kama ilivyo kawaida yao kwa siku hizi badala ya kutimiza wajibu wao mkuu wa kulinda raia na mali zao, wao wametumia nguvu za kupitiliza walipotaka kuvunja nyumba za wananchi maeneo hayo, hali iliyosababisha wananchi wagomee uonevu huo, jambo lillopelekea polisi wetu kutumia silaha za moto, jambo lililosababisha hadi napost hii thread, inasemekana raia wawili weshapoteza maisha! Mwenye habari zaidi atujuze
Kuna mwenzio aliposti kuwa msafara wa JK wazuiwa na wewe waleta topic hiyo kwa kutuaminisha kuwa kuwa kulikuwa na mapambano baina ya askari na raia acha uzushi. Mabaunza walikuwa wanaleta vurugu nyumba isibomolewe ndipo yakapigwa mabomu ya machozi acheni uzushi jamani. Kila kitu kibaya ni kwa Polisi tu au mmeanza kulishwa sumu za Mauaji ya Kimbari
Watu wasiojukikana walikuwa na nia gani wamezuia msafara wa Rais uliolukuwa unapita maeneo ya Namanga.
Watu hao walizuia kwa muda wa sakika kadha hivi kabla ya FFU kutinga maeneo hayo na kuwatimua na ndipo msafara ukapita mpaka sasa FFU wapo kwenye purukushani ya sombasomba maeneo hayo ya namanga.
Chanzo Nimepita hapo muda sio mrefu.
UKWELI:
This is Funny.............wamuelezi nini?? labda wamrudishe pale Muhimbili akaongee na Madaktari, sio anakimbilia Bagamoyo kuagua!!udaku street hiyo kuzuia msafara wa Rais ni jambo linalowezekana pengine walikuwa na shida ya kumweleza Rais lakini JF tunachukulia kuwa wamezuia kumpopoa mawe...... stupid thinking
Wenzake wanazuiwa ili wananchi wasukume gari lao, yeye anazuiwa ili apigwe mawe!
Yangu macho.