Vurugu Tegeta, msafara wa JK waathirika pia (Dar)

Vurugu Tegeta, msafara wa JK waathirika pia (Dar)

ni vizuri Rais kapita huko kujionea mwenyewe malalamiko na shida za wananchi.
 
Hii habari niliisikia kwa mtu aliekuwa mitaa ile.....wananchi wenye hasira nasikia wameua mtu(baonsa) ambae alitumwa kwenda kuwaondoa wakazi kwenye eneo moja ambalo linadaiwa kununuliwa na muwekezaji OIL COM.....msafara wa jk ukapita inasemekana alikuwa anaelekea bagamoyo....wananchi wakaurushia mawe vile vile na kutupiwa maneno ya kejeli.....nasikia hali ni tete mitaa ya tegeta

Aah lakini kazoea kurushiwa mawe huyu, hukumbuki kule Mbozi? Anakwepaga kama George Bushi anavyokwepa viatu vya kiarabu.
 
tunasikia alikuwa na demu hizo habari ni kweli?/tumekwama hapa tangi bovu tunaelekea huko
 
Hii habari niliisikia kwa mtu aliekuwa mitaa ile.....wananchi wenye hasira nasikia wameua mtu(baonsa) ambae alitumwa kwenda kuwaondoa wakazi kwenye eneo moja ambalo linadaiwa kununuliwa na muwekezaji OIL COM.....msafara wa jk ukapita inasemekana alikuwa anaelekea bagamoyo....wananchi wakaurushia mawe vile vile na kutupiwa maneno ya kejeli.....nasikia hali ni tete mitaa ya tegeta

anaenda kutoa kafaaaara nini maana sio siri mambo magumu kwake, asipochangamka jeshi la wananchi litaasi sasa hivi maana uvumilivu umekaribia kuisha kwa haya yanayoendelea nchini.
 
nilikuwepo mitaa ile mida hiyo kabla ya rais kupita na pale kuna hospital ya MICO na next to it kuna petrol station na nyuma ya majengo hayo kulikuwa na vurumai kwa sababu kuna watu walikuwa wanavunjiwa nyumba zao na wananchi hawakuwa happy na hiyo ishu wakawa wanavurumisha mawe kwa wavunjaji. nilipofika tegeta tukasimamishwa kupisha msafara wa 'dhaifu' upite so sina hakika kama alipofika pale msafara wake ulipigwa mawe au la...
 
Watu wamesha sema sababu ya kukwama kwa msafara,lakini kuna baadhi ya kondoo humu JF bado hawaelewi.kweli kuna kazi.
 
hapa tunapata versions mbali mbali za tukio moja...tunaomba mtu mwenye habari sahihi atufahamishe maana kila mtu anaongea lake hapa....
 
anaenda kutoa kafaaaara nini maana sio siri mambo magumu kwake, asipochangamka jeshi la wananchi litaasi sasa hivi maana uvumilivu umekaribia kuisha kwa haya yanayoendelea nchini.
Hivi wewe unajua wakubwa wa jeshi wanaishi maisha gani? Na wakistaafu unafikiri wanatupwa? Watu wanataza maslahi,hata ikibidi kuwapigeni risasi basi mtapigwa.
 
Nimepata tetesi kuwa msafara wa Rais umepigwa mawe na watu wenye hasira leo maeneo ya namanga jijini daresalaam. Mwenye habari kamili atujulishe tafadhali. (mlioko dar tupeni habari kamili)

Hakuna kitu kama hiki Dar kimemtokea Rais wa JMT. Au ww wasemea Dar ipi ? kwani Dar zipo nyingi na marais wapo wengi pia

Watu wasiojukikana walikuwa na nia gani wamezuia msafara wa Rais uliolukuwa unapita maeneo ya Namanga.

Watu hao walizuia kwa muda wa sakika kadha hivi kabla ya FFU kutinga maeneo hayo na kuwatimua na ndipo msafara ukapita mpaka sasa FFU wapo kwenye purukushani ya sombasomba maeneo hayo ya namanga.

Chanzo Nimepita hapo muda sio mrefu.

UHALISIA:
Hiyo Bigborn ndio ya Ridhwani au Ridhwani ni Lake oil.....ndio mshaanza kuuzwa hivyo na wengine wananyang'anywa watoto mahakamani yaani mpaka mtie akili mlivyoambiwa mnachagua maafa hamkuelewa halafu kesho niwakute mmevaa t shirt na khanga za kijanai manake hua kama mmerogwa
 
Ilishasemwa na Halima Mdee karudia juzi kusema, Migogoro ya ardhi ni bomu na linatengenezwa na watawala wa sasa, inawezekanaje tatizo hili halifiki mwisho? Bila shaka sheria onevu, serikali legelege isiyojali wanyonge ndio msingi wa yote haya. Poleni wanakijiji, najua mtashindwa kwa kuwa sirkali hii, hapendwi mtu inapendwa pesa
 
Hivi wameshindwaje kumpopoa rais dhaifu hao wanakijiji?
 
Pole mr dhaifu watu wamekuchoka na ahadi zako hewa
 
angry mob.jpg

ningekuwepo angeona rangi zote
 
Back
Top Bottom