Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,919
hata mie nakijua, ngoja tunyamaze kwanza!
Hahahahaaaaaa ......
Ngoja tukiache tu mkuu ...lol!!
hata mie nakijua, ngoja tunyamaze kwanza!
Tanzania yetu ndio imeshakuwa hivi
Hii ni hatari sana!
Kweli umezeeka na unazeeka vibaya sana, hapo chadema wanahusikaje kuharibu nchi, au unatumia elimu ya kukariri kama mlivyofundishwa zile enzi za zama zile. Tumia busara zako za uzee kuchambua mambo.Chadema wanatuhatibia Nchi.
Sheria zipo ili zifuatwe.
Chadema wanatuhatibia Nchi.
Sheria zipo ili zifuatwe.
Kwahiyo unataka Wamachinga waipangie Serikali na si Serikali ipange sheria¿¿¿
Augustine,
Vitu vingine mshikaji unaongeza chunvi kutokana na unavyojisikia...
Huwezi kabisa kulinganisha Kenya na Tanzania kwa kila hali. Wao infrastructure imesimama zaidi yetu, viwanda na hata system yao ya ukusanyaji kodi imetumika miaka nenda rudi ukichanganya na kodi ya kichwa wakati sisi bado wajamaa. Huwezi kusema Kenya elimu yao ipo juu mara nne yetu au Uganda na kuunganisha swali hilo na ukusanyaji fedha za kodi. Matapeli wakubwa wa kodi Kenya na Afrika yote ni wasomi haohao, bnado vitu hivi havina uzito. Elimu muhimu sana lakini kurudi miaka 40 nyuma kutafuta sababu hiyo tena umetoka nje. wanafunzi wa Nyerere ndio kweli wanaoiongoza TZ leo hii wao sii wazalishaji tena.. tunasubiri kustaafu. Mtoto aliyesoma darasa la kwanza 1985 wakati wa Mwinyi ndiye anatakiwa kuwa mzalishaji leo hii...Yule aliyeanza 88 hadi 90 anatakiwa kukuta hali nzuri ya secondary wakati wa Mkapa na hivyo hivyo... Sasa ikiwa Mkapa kweli ameweza kufanya la maana mbona hiyo mara nne ipo toka tupate uhuru? tena nachojua hapa unahesabu wingi wa wanafunzi, jukumu la Mkapa kuhakikisha wimbi linalokuja anaweza kukabiliana nalo....Na kwa nini Mkapa asitusogeza mbele kidogo ionekane hata wanafunzi wa Kenya na Uganda wanapenda kuja soma TZ.
Kuhusu Ukame, nimekwisha sema hizo takwimu zako ni makosa kwa sababu Kenya wamekusanya kwa miezi sita 6 hali JK ni miezi mitatu 3. Inflation hawaweki chakula na mafuta ktk kupima inflation yao! Yaleyale tunayokwambia kila siku... takwimu siku zote zina vipengele vyake na sio lazima vifanane. leo hii China wanaibomoa Marekani kwa kila hali lakini utasikia Bush akidai nchi yake pato linazidi kuongezeka!Kuna maendeleo leo hii kuliko wakakti wowote ule na kadhalika yote haya ni lugha za siasa ktk biashara! -Marekani wanafahamu kwamba China imewakalia kooni na hasa kuungana sana kibiashara na waafrika na waarabu. Sudan wameondoa mkataba wa mafuta na Marekani wamewapa China..Darfur imeibuka tena upyaaa hali watu bado walikuwa wakifa ktk kipindi cha miezi sita iliyopita!
Pole sana huna maji?
Vurugu zinaelekea kutulia sasa.
Sababu ya vurugu hizo ni kuvunjwa kwa vibanda vya wamachinga usiku wa kuamkia leo.
I wish iwe ni habari ya kweli!
hawa POLISI mbona siwaelewi hapa MWANZA wanaleta vugurugu watu tuna shindwa kufanya shughuli zetu, wamebomoa vibaNDA VYA MACHINGA WAMETULIA SASA nashangaa polisi wamekazana kufukuza watu mjini
Mhhh!! Mbona hawatuiti na sisi JWTZ hapa kambi Nyanshana!?
Hii ni nchi na ina utaratibu wake bwana..alaaa! Blalifuli!!!
Ifike hatua watu waache shabiki za kisiasa
Mwanza inaendelea Opereshen ambayo ilaanzia Mbali na Matangazi yalitolewa myezi mitatu kabla kwanza ilianza na Vibanda vyote ktk maeneo ya Mjini kutolewa kisha wakafuata watu wa matoroli kutolewa mjini haya yote uameganyika kwa kuwaelekeza wahusika nn wafanye au wapi wahamie
Mfano soko la Kirumba wauza Ndizi Matunda walitakiwa wahame na wakatengewa maeneo Soko la Kiloleli
Pia hata hawa Wamachinga nao wanatakiwa wahame Maeneo ya Makoroboi na waende Sehem walopangiwa
Ila kwa sababu za kisiasa hawa watu washakuwa na Vichwa vigum na ndo maana haya yote yametokea
Ukiingea na wafanya Biashara wa Makoroboi wanalalamika kwani Mtu mwenye Duka Mbele ya Duka lake kuna Machinga nae Auza bidhaa ile ile aiuzayo mwenye Duka hebu jiulize kuna Usawa hapo Ilhali huyu Alipia Pango na Kodi tra ulhali huyu alipa Ushuru tu
Hii imepelekea leo Mwanza Wenye Maduka wamekuwa Wamachinga Machinga Ana Stoo kubwa Na Afata Mzigo Dubai
Sasa huu Si wizi
Taarifa
Baada ya hapa kuna Operesheni Nyingine ya Boda boda nao hawatakiwi kupaki Maeneo ya Mjini yani wakileta Abiria Warudi walikotoka
Kiukweli watu wakitii Miongozo hii Hata nyie Mtafurahia kuja Kulitembelea Jiji letu la Mwanza
Big up zoezi Safisha Jiji