Vurugu mitaani Mwanza kati ya wamachinga na polisi

Vurugu mitaani Mwanza kati ya wamachinga na polisi

Hii ndio taswira ya Barabara ya Nyerere na Eneo la Makoroboi majira ya alasiri ya leo....
IMG_20140611_155241.jpg IMG_20140611_155704.jpg

IMG_20140611_155739.jpg IMG_20140611_155718.jpg IMG_20140611_155757.jpg
 
Nimepigiwa simu na mtu wa Mwanza anadai hapatoshi.

Tunaomba uhakika zaidi wakaazi wa Mwanza.
 
Mh!!! hizi habari zingine kwa kweli jukwaa limevamiwa
 
Jaribu Ku clarify post yako hapatishi nn? Hakuna sehem za kujenga nyumba au? Parcking za magari, watu wamebanana au, sorry be clear .
 
Kuna mapigano kati ya WAMACHINGA NA POLISI,MACHINGA WANAGOMA KUHAMISHWA NDIO TAARIFA MKUU HIYO NA PICHA NITATUPA HAPA
 
Vurugu kubwa kati ya machinga na mgambo wa jiji wakiongonzwa na jeshi la polisi amepora Mali na kuchoma vibanda vyao vurugu zimeanza saa mbili asbh na shughuli zote zimesimama mjini kati. Zimeanzia sehemu moja mashuhuri za machinga Makoroboi na kuenea maeneo mbalimbali ya lumbumba market street,liberty,pamba road,Kenyatta road, darajani Dampo kuelekea mitaa ya uhuru . mpaka dak hii jioni ya 12.50 nyerere road imefungwa.
 
Taratibu wamachinga najua tarehe hizi mbaya kwa polisi hawana hela na mikopo kila kona angalieni ugumu wa maisha yao watamalizia kwenu. Mungu awaepushe na vitu vizito.
 
anayekuchosha yupo nyumbani anakusubiri....hapa hulazimishwi kusoma wala kuchangia ....?

Kwenda huko, Fanya follow up kabla hujapost thread hapa, issue iko humu JF tangu asbh wewe unakuja kuuliza saa hizi,kama sio kutuchosha ni nini na kujaza server tu
 
Poleni sana wana Mwanza. William Lukuvi amesema waziri mkuu ameenda kushughulikia suala hilo na kupata ufumbuzi. Hayo ameyasema akiwa anajibu swali la Wenje mbunge wa Nyamagana kutaka serikali kusitisha hilo zoezi.
 
Mapolisi ya Tanzania ni kama maroboti, yakiamrishwa yanaenda tu. Poor Polices.

Ungekuwa ww unge kataa kwa kusemaje? Unajua nin maana ya jeshi ndo maana wanalipwa mishahara midogo ulisha sikia wapi wameandamana?
 
Yani leo ndo nimejua jinsi gani mabomu ya machozi yanavyotoa machozi
 
Shida kubwa hapa ni nguvu ya pesa! lakini pia pamoja na huyo Wenje kutuhumiwa na hao wasio watanzania ambao wanatakiwa kuwa nje ya mji! Je, kwa nini Lowasa alipokuja Mwanza walikusanyana hapo hapo makoroboi!! Au faida yake imekwisha na sasa waondoke!??

Niwe wazi, hilo sijui.
 
mkuu utachoka bure kuelezea,saa ingine ujue hapo unahangaika na mtu wa kidato cha kwanza,kwahiyo anakua hana exposure na mambo yanavyoenda,maadamu yeye amesikia wenje anasema hivi na yeye anakariri hapo hapo,ujue elimu imeshuka sana siku hizi.

Asante kwa msaada wako wa mawazo mkuu
 
Tunakoelekea jamani Mi naona siko kabisaaaaaaa!
Mwenyenzi Mungu akatuonekanie maana bila ya yeye mafisadi sasa twaweza kusema mwisho wao imefika!
 
Back
Top Bottom