medson medson
Member
- Feb 23, 2014
- 23
- 6
ni kweli mkuu wanakera sana,utaratibu sharti ufuatwe!
Umeona eeh, yanakimbia hovyo tu, kinachoniudhi hayo mabomu mengine wanayapiga hata sehemu ambayo hakuna kikundi cha watu wala nini, nadhani wanayo mengi inabidi wayatumie hadi yaishe leo
Salama mkuu, tunayasikilia mabomu tu, kama tuko Afghanistan!
Mabomu yashapoa jaman watu tuje town???
Subili huko huko uliko, huku bado ni torabora. Vinginevyo njoo na kidumu cha maji halafu uwe umevaa burretproof.
Wenje ni mnafiki tena mnafiki hasa! Yeye kaongea na wananchi wa Mza mara kwa mara akisisitiza kuwa wamachinga wafanye biashara popote wanapotaka na ndio wamezagaa kila kona ya jiji la mwanza. Leo anaitaka serikali iwatengee maeneo! Maeneo walikotengewa hawaendi na Wenje anawapa support! Please Wenje asicheze na akili za watu kwa umaarufu wake wa kiasiasa, please, please, please.
Na watoa habari jamani wawe na uhakika, Mwanza hakuna soko linaloitwa makoroboi, wala pale maeneo ya makoroboi hakuna soko. Ni hawahawa ambao Wenje kawadanganya na kuanza kujipenyeza baadaye wakaanza kusema soko la makoroboi. Makoroboi palikuwa na soko toka enzi za Mwinyi na likahamishwa kupelekwa sehemu inayoitwa Mlango Mmoja almaarufu Langolango.
Mabomu yashapoa jaman watu tuje town???
Bado yanapigwa, nimetoka town sasa hivi bado yanarindima na difenda zinapishana tu, subirsubiri labda kwenye saa saba hivi, mjini kwenyewe labda uje bank au hospital mamii manake hakuna duka lililowazi
Bado yanapigwa, nimetoka town sasa hivi bado yanarindima na difenda zinapishana tu, subirsubiri labda kwenye saa saba hivi, mjini kwenyewe labda uje bank au hospital mamii manake hakuna duka lililowazi
Kuna anaekulipa kudanganya watu?
Hali imeshakuwa hivyo.......
Sasa ni hatari
Kuna kitu natamani sana kitokee lakini basi tu!
Hali imeshakuwa hivyo.......
Sasa ni hatari
Kuna kitu natamani sana kitokee lakini basi tu!
Hapo kwenye bold, nini hicho mkuu
Kitu gani tena......?
Acha tu mkuu
Ngoja nikiweke moyoni,kikitokea nitakunong'oneza!