murusagamba
Member
- Sep 18, 2013
- 26
- 13
Huyu wenje aache kutuhadaa wananchi kwa kuomba muongozo kwa spika kuhusiana na hili sakata la machinga FFu.alikua anafaham kinachoendelea kuhusiana na hii operesheni ya kuondoa machinga vikao vilifanyika na alisaini manake haliwezifanyika jambo lolote kwenye jimbo bila mbunge kufahamishwa kwahiyo anafaham kila kitu hiyo ya kuomba muongozo kwa spika ni danganya toto ili tuone anatetea watu wa jimbo lakeNilikuwa hapo barclays yaani ni hekaheka, kwa mara ya pili leo na nawa uso sababu ya mambomu ya machozi, yaani ni balaa. Mji mweupe hakuna kinzhoendelea zaidi ya polisi kupiga mabomu ya machozi