Vurugu kubwa kariakoo

Vurugu kubwa kariakoo

Tena nimepunguza ukali wa maneno, kwani mmoja wa hao vijana ameniambia wameambiwa wapeleke mgambo "wakiwa hai ama wamekufa."
 
Mgambo wa jiji ni waonevu sana, wacha wachapwe, sasa leo sikukuu yote hii wametoka wapi au ndo katika mipango yao kupora vitu vya machinga.
 
kama habari hii ni kweli....mgambo wamepata kinachowastahili...wamezidi kupora mali zao
 
Mgambo wa jiji wamepewa kipigo cha mbwa mwizi. Msako wa wengine unaendelea kwa kasi. Na raia. More to follow

Aisee we mkaleeee, unatufitinisha na Serikali yetu tukufu? Hivi mkuu gani wa kituo anaweza kuwapa amri raia kukamata mgambo ili wawafikishe kituoni? Hivi hujui "People Militia" ni gheshi kama ilivyo magheshi mengine? Wewe kijana utafungwa! Leo sio siku ya wajinga ni Maulid (kuzaliwa kwa Mtume S.A.W)..

--- Ebu. Weee mhudumu lete Castle Lite Baridiii na mwambie Rama kule Jikoni atuletee Kitu Mnyama kilo 2 fasta!! (
 
Taarifa zikamfikia mkuu wa kituo. Akawapa mamlaka wamachinga woote wa kariakoo kuwasaka mgambo wa city popote walipo na wampelekee kituoni, bila kujali wako katika hali gani.

Hapo Idara zimeingiliana.
 
Mgambo wa jiji wamepewa kipigo cha mbwa mwizi. Msako wa wengine unaendelea kwa kasi. Na raia. More to follow

...mkuu, Upo kwenye tukio live ama na Wewe Unahadithiwa tu Kama Unavyotuhadithia Sisi?????
 
Aisee we mkaleeee, unatufitinisha na Serikali yetu tukufu? Hivi mkuu gani wa kituo anaweza kuwapa amri raia kukamata mgambo ili wawafikishe kituoni? Hivi hujui "People Militia" ni gheshi kama ilivyo magheshi mengine? Wewe kijana utafungwa! Leo sio siku ya wajinga ni Maulid (kuzaliwa kwa Mtume S.A.W)..

--- Ebu. Weee mhudumu lete Castle Lite Baridiii na mwambie Rama kule Jikoni atuletee Kitu Mnyama kilo 2 fasta!! (

Utu tubia tunashukaga,......dah, natutamani..ngoja nirudi duniani kwanza.
 
Hivi kuna haja ya nchi kuwa na mgambo?
Naona ni upotevu mkubwa wa pesa wakati kazi zao zinaweza kufanywa na polisi wa kawaida
 
sasa tunaelekea kuwa kama somalia,nchi isiyokuwa na serikali kamili,kila ukoona serikali yake
 
Aisee we mkaleeee, unatufitinisha na Serikali yetu tukufu? Hivi mkuu gani wa kituo anaweza kuwapa amri raia kukamata mgambo ili wawafikishe kituoni? Hivi hujui "People Militia" ni gheshi kama ilivyo magheshi mengine? Wewe kijana utafungwa! Leo sio siku ya wajinga ni Maulid (kuzaliwa kwa Mtume S.A.W)..

--- Ebu. Weee mhudumu lete Castle Lite Baridiii na mwambie Rama kule Jikoni atuletee Kitu Mnyama kilo 2 fasta!! (

...kamanda wapi hiyo jomba..
 
...mkuu, Upo kwenye tukio live ama na Wewe Unahadithiwa tu Kama Unavyotuhadithia Sisi?????
Mkuu nilikuwapo eneo la tukio. Nimeshuhudia mgambo wakikamatwa na kupelekwa msimbazi, kisha makundi ya vijana kuondoka kwa mchaka mchaka kuelekea karume kuwasaka wengine. Kwenye tukio mojawapo nimeshuhudia vijana wakitawanywa na polisi baada ya kulazimisha wawapige mgambo. Ilikuwa maeneo ya stendi ya mbagala pale round about.
 
Ha ha haa duh hiyo itakua ya kufungulia mwaka.chinga leo wamepewa rungu dah.natamani ningekua chinga japo leo tu
 
............Mungu alinusuru taifa hili lililozoea amani .. kumbe amani inaweza kutoweka kama mshumaa unavyoyeyuka.... huwezi kuamini miji iliyokuwa inasemekana na watu watulivu kama Mtwaral leo wanaandamana na malalamiko kedekede.... vurugu Ngara, Dumila, Mwanza, Mbaye, Iringa, Kigoma, Arusha... yaani mambo vululu vululu.....Je tutafika...
 
Nilitoka kwenda kukaa SUWATA kupisha vurugu. Muda mfupi tu likaja kundi la vijana wakiwasaka mpambo (wanadai ni mojawapo ya vijiwe vyao). Wakatutaka wateja tusiwe na wasi wasi wanawajua mgambo. Kisha wakatoka kuelekea karume.
 
Mkuu nilikuwapo eneo la tukio. Nimeshuhudia mgambo wakikamatwa na kupelekwa msimbazi, kisha makundi ya vijana kuondoka kwa mchaka mchaka kuelekea karume kuwasaka wengine. Kwenye tukio mojawapo nimeshuhudia vijana wakitawanywa na polisi baada ya kulazimisha wawapige mgambo. Ilikuwa maeneo ya stendi ya mbagala pale round about.

...Ok. Simu yako haina camera Mkuu??:smiling:
 
ningekuwepo pande hzo nami ningewapa nakoz 1 per kichwa.
Juzi nimewashahudia wakimwaga vitu vya watu..
 
...Ok. Simu yako haina camera Mkuu??:smiling:

Mkuu camera mbovu. Nimejaribu kupiga ngoja nifike home nione kama zitaonekana vizuri. Ila kama wadau wanavyoshangaa hili tukio ndivyo na mimi nimebaki kinywa wazi.
 
Vita huanza kidogo lakini ikisambaa hakuna atakayeizima. Mgambo wamekuwa wakiwaonea wamachinga wakubwa wanajua lakini hawajali. Nawasihi mgambo wa city wafuate sheria waache uonevu. Nguvu ya umma si ya kuchezea wanyonge wakishindwa kuvumilia.
 
Back
Top Bottom