Vurugu kubwa kariakoo

Vurugu kubwa kariakoo

piga hao na bado miafande uchwara nadhani sasa hv migambo watakimbia jiji uwiii wakome kwa kukurupuka..
 
Aisee we mkaleeee, unatufitinisha na Serikali yetu tukufu? Hivi mkuu gani wa kituo anaweza kuwapa amri raia kukamata mgambo ili wawafikishe kituoni? Hivi hujui "People Militia" ni gheshi kama ilivyo magheshi mengine? Wewe kijana utafungwa! Leo sio siku ya wajinga ni Maulid (kuzaliwa kwa Mtume S.A.W)..

--- Ebu. Weee mhudumu lete Castle Lite Baridiii na mwambie Rama kule Jikoni atuletee Kitu Mnyama kilo 2 fasta!! (

habari ni ya kweli, pia hao FFU walikuwa kwenye pikipiki na magari wakizunguka k'koo huku wakishangiliwa na wamachinga..nimeshuhudia japo sijajua chanzo hasa ninini
 
Yaani hapo umeona umeitetea Serikali ya magamba kweli kumbe umeivua nguo....Mgambo na polisi..Kikwete ana kazi jana ilikuwa polisi na wananchi, kesho ni ikulu na wanajeshi..hivi kikwete kasharudi?

Akili za kichadema bana kila sehemu siasa.
 
sasa hivi ulinzi na usalama uko chini ya raia, coz askari wote wameshindwa kazi na wao wanapewa kisago kama kawa.
hii inanikumbusha wakati niko shule serikali poa unakuta viongozi wanapigwa na raia afu serikali ya wanafunzi inashinwa cha kufanya coz inawaogopa wababe.
ndo serikali ya JK imeshindwa kudhibiti mpaka raia wanajichukulia sheria mkononi, kwa sasa ni kawaida waziri na hata Rais mwenyewe kupopolewa mawe na kuzomea. haya yamemtokea JK mwenyewe na mawaziri kadhaa. hii nchi tunakoelekea kwa sasa naona giza nene badala ya nuru. Mungu atuepushe na hizi vurugu.

Sio vurugu mkuu ni kutiana AdABu................... maana tushachokaaaaaaaaaaaaaaaa!!!:israel:
 
Habari nillizozipata jana kuna chinga mmoja alipigwa sana na wagambo wa jiji bila sababu. Akaenda kushitaki polisi msimbazi. Leo afisa mmoja wa polisi akiwa hajavaa uniform akamchukua huyo chinga ili amwonyeshe hao mgambo waliompiga. Badala yake wale mgambo wakamchapa sawa sawa yule afisa na kumnyanganya bunduki yake.


Naipendaga sana TAnZAnia ni moja ya inchi za aJaBuuuuuuuuu!!
 
Taarifa zikamfikia mkuu wa kituo. Akawapa mamlaka wamachinga woote wa kariakoo kuwasaka mgambo wa city popote walipo na wampelekee kituoni, bila kujali wako katika hali gani.

Post hii inaanza kunitia wasi wasi wa hii story yako


ushaona eeeeeeh!!?:majani7:
 
Akili za kichadema bana kila sehemu siasa.

Acha kuonyesha upumbavu wako wewe, tia akili kichwani badala ya kukurupuka na kuandika uozo.
 
Aisee we mkaleeee, unatufitinisha na Serikali yetu tukufu? Hivi mkuu gani wa kituo anaweza kuwapa amri raia kukamata mgambo ili wawafikishe kituoni? Hivi hujui "People Militia" ni gheshi kama ilivyo magheshi mengine? Wewe kijana utafungwa! Leo sio siku ya wajinga ni Maulid (kuzaliwa kwa Mtume S.A.W)..

--- Ebu. Weee mhudumu lete Castle Lite Baridiii na mwambie Rama kule Jikoni atuletee Kitu Mnyama kilo 2 fasta!! (

Mimi simooooooooooooo ................ lakini mmmhhhhhhhhhh!!!
 
Kwa staili hii kitanuka muda si mrefu

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
kung'uta wamezd uonev wakikamata wat wanakula hadi ukoko wa ubwabwa pumbav
 
Back
Top Bottom