Kamanda Kazi
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 2,613
- 798
mmh...serikali hii ina vituko! bora iwekwe kwenye Guiness Book!
ngoshwe, Aaaa! mi sinywi ya baridi bana, lete na safari ya moto na kiroba!Aisee we mkaleeee,
unatufitinisha na Serikali yetu tukufu? Hivi mkuu gani wa kituo anaweza
kuwapa amri raia kukamata mgambo ili wawafikishe kituoni? Hivi hujui
"People Militia" ni gheshi kama ilivyo magheshi mengine? Wewe kijana
utafungwa! Leo sio siku ya wajinga ni Maulid (kuzaliwa kwa Mtume
S.A.W)..
--- Ebu. Weee mhudumu lete Castle Lite Baridiii na mwambie Rama kule
Jikoni atuletee Kitu Mnyama kilo 2 fasta!! (
Vita huanza kidogo lakini ikisambaa hakuna atakayeizima. Mgambo wamekuwa wakiwaonea wamachinga wakubwa wanajua lakini hawajali. Nawasihi mgambo wa city wafuate sheria waache uonevu. Nguvu ya umma si ya kuchezea wanyonge wakishindwa kuvumilia.
Utu tubia tunashukaga,......dah, natutamani..ngoja nirudi duniani kwanza.
Mgambo wa jiji wamepewa kipigo cha mbwa mwizi. Msako wa wengine unaendelea kwa kasi. Na raia. More to follow
Tulia uandike kitu kieleweke ndo uturushie bhana, sasa hapa ndo umesema nini?
sasa hivi ulinzi na usalama uko chini ya raia, coz askari wote wameshindwa kazi na wao wanapewa kisago kama kawa.
hii inanikumbusha wakati niko shule serikali poa unakuta viongozi wanapigwa na raia afu serikali ya wanafunzi inashinwa cha kufanya coz inawaogopa wababe.
ndo serikali ya JK imeshindwa kudhibiti mpaka raia wanajichukulia sheria mkononi, kwa sasa ni kawaida waziri na hata Rais mwenyewe kupopolewa mawe na kuzomea. haya yamemtokea JK mwenyewe na mawaziri kadhaa. hii nchi tunakoelekea kwa sasa naona giza nene badala ya nuru. Mungu atuepushe na hizi vurugu.
Yaani hapo umeona umeitetea Serikali ya magamba kweli kumbe umeivua nguo....Mgambo na polisi..Kikwete ana kazi jana ilikuwa polisi na wananchi, kesho ni ikulu na wanajeshi..hivi kikwete kasharudi?Acha uongo wewe...
Kilichotokea ngoja niwafahamishe wanabodi. Leo ni mapumziko kiserikali kutokana na sikukuu. Machinga siku kama hizi huwa wanakuwa free kupanga bidhaa zao kwa kuwa mgambo wa city hawapo.
Kilichotokea mgambo wa city wakajikusanya kwenda kutafuta pesa kwa machinga, polisi mmoja akijitokeza na kuwambia mgambo hebu waachieni leo wafanye kazi sikukuu.
Basi wale mgambo wakampiga yule askari. Yule askari ndiyo akawaita askari wenzake ndiyo ikaanza piga nikupige wale mgambo wakakimbia, machinga wakaingia mitaani kuwasaka migambo kisha wanawaita polisi.
Mgambo wote wamekimbia kariakoo.
Kamanda, mambo ya Kitunda, Banana, Kipunguni kwa wauza mayai Mulla. Huku hata TRA, SUMATRA na EWURA ni magheshi! Tupo hapa nyuma ya kituo cha Banana Mulla, unapata kitimoto mchicha wangu! Achaa acha kabisa aisee bora afe askari polisi kuliko Mkurya mmoja raia mulla!...kamanda wapi hiyo jomba..