Vua Gamba Vaa Gwanda Yapata Dhoruba Lindi

Nikitinga mitaa ya Mtanda, Jamhuri, Mitwelo, Kariakoo, Mikumbi, Mpilipili, Sabasaba; Manispaa ya Lindi imepambwa na bendera za CCM kukiwa na uchache wa bendera za Chadema. Wananchi wa Lindi wamesikika wakinena hawatadanganyika na kujiunga na chama cha Kaskazini, wao sio watu wa kufanywa wa mwisho. Hawatafanya kosa kuiacha CCM iliyoiunua maisha ya Lindi kuipitia sera nzuri mfano ujenzi wa barabara na mashule ya kumwaga.
Nimeishi kusini miaka 10 na lindi mjini ndiyo nimeishi zaidi nikiwa nafanya kazi katika mashirika ya kimataifa vijijini. Nilishuhudia umaskini wa kutisha na mawazo mgando yaliyolalamika daima "sisi watu wa kusini tumeachwa, kuanzia kung'oa reli" hadi ukosefu wa barabara. Nimeshuhudia wanafunzi wa shule wasiovaa viatu na wasichana wamejifunga vipande vya kaniki wakiimba tuna imani na Mwinyi, Nyerere, CCM huku viganja vikilenga mapaji ya uso salamu ya chipukizi wa TANU youth league!!

Nimeshuhudia watu wakila mbegu za miti zenye sumu sana wengine wakifa!! na hata majani!!
Ndugu yangu kusini ni mtaji mkuu wa CCMAGAMBA yaani UMASKINI. Sasa kudanganywa kunatokana na ahueni ndogo!! ambayo wameipata au ni ujumbe kutoka kwa SALMA JK (First lady) mwenye uenyeji wa hapo MIKUMBI?
Simba wa Nachunyu vipi?? wamethibitiwa?
Ming'oko vipi bado inaliwa? Huo utajiri mlioletewa na CCM ni upi?
 
Acha unafiki,uongo,uzandiki na upotoshaji!,je wewe n msemaji wa wana lindi.Lindi vua gamba vaa gwanda achaneni na magamba yatawamaliza.Ni m4c 4ever.
 
Nikitinga mitaa ya Mtanda, Jamhuri, Mitwelo, Kariakoo, Mikumbi, Mpilipili, Sabasaba; Manispaa ya Lindi imepambwa na bendera za CCM kukiwa na uchache wa bendera za Chadema. Wananchi wa Lindi wamesikika wakinena hawatadanganyika na kujiunga na chama cha Kaskazini, wao sio watu wa kufanywa wa mwisho. Hawatafanya kosa kuiacha CCM iliyoiunua maisha ya Lindi kuipitia sera nzuri mfano ujenzi wa barabara na mashule ya kumwaga.[/QUOTE]

Uongo hauna chuo kikuu,hiyo Lindi unayoisema labda ya Saudi Arabia,mitaa uliyoitaja ina ukame mkubwa sana wa bendera za ccm,na unalifahamu hilo,pia hapo kwenye red kama ni kosa la kuiacha ccm lilishafanyika tayari Lindi mjini ni CUF tena mheshimiwa special white,nadhani kuna tatizo la kufikiri ukiwa ccm,face reality please!
 
Wananchi wa Lindi wanahitaji ukombozi wa fikra kwanza kabla ya mambo mengine. CDM wanayo kazi kuwaelimisha, ukizingatia mtaji wa ccm ni wajinga.

asante kwa kusema yale niliyoyakusudia!
 
Mitaa yote uliyo itaja ipo Lindi mjini na jimbo lipo mikononi mwa cuf,sasa bendera za ccm zimetoka wapi? ungesema mji umetanda bendera za cuf ningekuelewa ACHA UZUSHI

Jimbo kuwa mikononi wa CUf si hoja, pale zilipigwa kura za chuki dhidi ya mgombea wa CCM, Mohamedi Abdul Azizi hakuwa chaguo la wana Lindi Mjini. Chaguo lilikuwa Maguo, uthibitisho ni kuwepo kwa madiwani wengi kutoka CCM
 
Wananchi wa Lindi wanahitaji ukombozi wa fikra kwanza kabla ya mambo mengine. CDM wanayo kazi kuwaelimisha, ukizingatia mtaji wa ccm ni wajinga.

hapa una maana gani?kwamba watu wa kusini ni wajinga ndo mana ni mtaji wa ccm?naomba ututake radhi!
 
Nimeishi kusini miaka 10 na lindi mjini ndiyo nimeishi zaidi nikiwa nafanya kazi katika mashirika ya kimataifa vijijini. Nilishuhudia umaskini wa kutisha na mawazo mgando yaliyolalamika daima "sisi watu wa kusini tumeachwa, kuanzia kung'oa reli" hadi ukosefu wa barabara. Nimeshuhudia wanafunzi wa shule wasiovaa viatu na wasichana wamejifunga vipande vya kaniki wakiimba tuna imani na Mwinyi, Nyerere, CCM huku viganja vikilenga mapaji ya uso salamu ya chipukizi wa TANU youth league!!

Nimeshuhudia watu wakila mbegu za miti zenye sumu sana wengine wakifa!! na hata majani!!
Ndugu yangu kusini ni mtaji mkuu wa CCMAGAMBA yaani UMASKINI. Sasa kudanganywa kunatokana na ahueni ndogo!! ambayo wameipata au ni ujumbe kutoka kwa SALMA JK (First lady) mwenye uenyeji wa hapo MIKUMBI?
Simba wa Nachunyu vipi?? wamethibitiwa?
Ming'oko vipi bado inaliwa? Huo utajiri mlioletewa na CCM ni upi?

hivi kusini unayoizungumzia ni ya miaka gani?kula mizizi,majani,na mbegu ni kusini tu?!,je una hakika na hili!kwani wewe zaidi ya kula mazao ya mbegu.mizizi na majani unakula mazao gani?????
naomba tembelea kusini sasa kama hujashika tama na kutoamini kasi ya maendeleo ya kusini!punguza kashfa ndugu,kusini kuna utajri mkubwa sana,na sasa ndo maendeleo yanaanza tena kwa kasi ya ajabu,gesi,mafuta,madini yote yapo ya kumwaga,na sasa tumeamka,rasilimali zetu zitusaidie wenyewe kwanza,wengine baadae!TIME WILL TELL!WALE WOTE WANAOTUBEZA WATU WA KUSINI WATAINAMISHA VICHWA CHINI KWA AIBU!
 
Nikitinga mitaa ya Mtanda, Jamhuri, Mitwelo, Kariakoo, Mikumbi, Mpilipili, Sabasaba; Manispaa ya Lindi imepambwa na bendera za CCM kukiwa na uchache wa bendera za Chadema. Wananchi wa Lindi wamesikika wakinena hawatadanganyika na kujiunga na chama cha Kaskazini, wao sio watu wa kufanywa wa mwisho. Hawatafanya kosa kuiacha CCM iliyoiunua maisha ya Lindi kuipitia sera nzuri mfano ujenzi wa barabara na mashule ya kumwaga.

Kwani nani hakujui wewe kama ni msukule wa Nape?unachokifanya ni kukimaliza kabisa chama chenu,tunakushukuru sana kwa hilo,
NOTE. Uongo hautasaidia lolote kwenye ukweli.
 
hivi kusini unayoizungumzia ni ya miaka gani?kula mizizi,majani,na mbegu ni kusini tu?!,je una hakika na hili!kwani wewe zaidi ya kula mazao ya mbegu.mizizi na majani unakula mazao gani?????
naomba tembelea kusini sasa kama hujashika tama na kutoamini kasi ya maendeleo ya kusini!punguza kashfa ndugu,kusini kuna utajri mkubwa sana,na sasa ndo maendeleo yanaanza tena kwa kasi ya ajabu,gesi,mafuta,madini yote yapo ya kumwaga,na sasa tumeamka,rasilimali zetu zitusaidie wenyewe kwanza,wengine baadae!TIME WILL TELL!WALE WOTE WANAOTUBEZA WATU WA KUSINI WATAINAMISHA VICHWA CHINI KWA AIBU!

Kumbe unataka mfumo wa majimbo??
Kwahiyo unaunga mkono CHADEMA.
 
Nikitinga mitaa ya Mtanda, Jamhuri, Mitwelo, Kariakoo, Mikumbi, Mpilipili, Sabasaba; Manispaa ya Lindi imepambwa na bendera za CCM kukiwa na uchache wa bendera za Chadema. Wananchi wa Lindi wamesikika wakinena hawatadanganyika na kujiunga na chama cha Kaskazini, wao sio watu wa kufanywa wa mwisho. Hawatafanya kosa kuiacha CCM iliyoiunua maisha ya Lindi kuipitia sera nzuri mfano ujenzi wa barabara na mashule ya kumwaga.

Makitu mengine ni just kuyapuuza tu hmna hata haja ya kuchangia utumbo wanaouandika hapa... Ni jana ulitoka kumlaumu mhariri wa mzalendo kwa kuandika utumbafu ambao hata waajiri wake kama hawafikirii kwa masaburi kama yeye wangepaswa kujua kuwa anawapeleka chaka lakini leo bora hata mzalendo/uhuru linaloandika utumbo kuliko huu unaouandika hapa kuhadaa watu....Picha za kitakachotokea huko zitakuumbua.
 
Haaaaa
CDM haina sera za kusaidia cc wamachinga..... Kwan walituchefua na kutudharau miaka mingi!!!! With wrong belief eti tunakula watu!!!

Kwa hiyo swali langu ni lilelile , tangu lini mmakonde amuoe mchaga!!!???

CCM hawana jipya... Tulidhan CUF ingetuokoa kumbe ni Zanzibar tuuuuu

Nadhan watu wa kusini tuanzishe chama chetu ndio suluhisho!!!!!

Wewe uko nyuma sana! Unajua ni Wamakonde wangapi wameolewa Uchaggani au ni Wachagga wangapi wameolewa umakondeni! Unaishi Lindi kweli wewe? Ni nani jirani yako, si ajabu ni mchaga tena umeshamsahau maana anaishi kama mmakonde.....OOOOOPSSSS NA MIMI NIMEINGIZWA MKENGE NIMEANZA KUZUNGUMZA KIKABILA, NAOMBA MOLA ANIHURUMIE NA MODS NAOMBA NISAMEHE
 
hapa una maana gani?kwamba watu wa kusini ni wajinga ndo mana ni mtaji wa ccm?naomba ututake radhi!

Mjinga akielimishwa anaelimika. ccm wanawatumia watu wajinga ambao hawajajitambua, hawajaitambua serikali yao.
ccm wanafurahia hali hii.
siyo watu wa kusini tu mkuu, hata huku umasaini watu bado ni wajinga, lakini wakielimishwa watakuja kujuta kwanini walichelewa kufanya mabadiliko.
Mwl. Nyerere alikuwa na usemi wake kuwa Tanzania tuna maadui watatu, ambao ni Umaskini, Maradhi na Ujinga. Hakuwa anawatukana watanzania.
Ni heri ya mjinga kuliko Mpumbavu.
CHADEMA siku zote wanahubiri kuwa Madaraka ya nchi yaamuliwe na wananchi wenyewe, lakini CCM siku zote wanahubiri kuwa mamlaka ya nchi yapo mikononi mwa ccm. Ndiyo maana kwenye baadhi ya majimbo watu ambao wamekuwa chaguo la wananchi wanapigwa chini kwenye kura za maoni za ccm, wanawapitisha wale ambao ni chaguo la ccm. mifano ni mingi lakini hebu funguka
 
Nikitinga mitaa ya Mtanda, Jamhuri, Mitwelo, Kariakoo, Mikumbi, Mpilipili, Sabasaba; Manispaa ya Lindi imepambwa na bendera za CCM kukiwa na uchache wa bendera za Chadema. Wananchi wa Lindi wamesikika wakinena hawatadanganyika na kujiunga na chama cha Kaskazini, wao sio watu wa kufanywa wa mwisho. Hawatafanya kosa kuiacha CCM iliyoiunua maisha ya Lindi kuipitia sera nzuri mfano ujenzi wa barabara na mashule ya kumwaga.

1689bp1.jpg

Maji+1%5B1%5D.jpg
MATOPE.JPG

MAISHA+BORA.jpg
elimu+chini+.jpg
ELIMU+CHINI+TENA.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom