Vua Gamba Vaa Gwanda Yapata Dhoruba Lindi

Nikitinga mitaa ya Mtanda, Jamhuri, Mitwelo, Kariakoo, Mikumbi, Mpilipili, Sabasaba; Manispaa ya Lindi imepambwa na bendera za CCM kukiwa na uchache wa bendera za Chadema. Wananchi wa Lindi wamesikika wakinena hawatadanganyika na kujiunga na chama cha Kaskazini, wao sio watu wa kufanywa wa mwisho. Hawatafanya kosa kuiacha CCM iliyoiunua maisha ya Lindi kuipitia sera nzuri mfano ujenzi wa barabara na mashule ya kumwaga.

You are yet another prophet of doom; "Nabii wa kiama"; kwa sasa hakuna kitu cha kuizuia CDM kwa sasa; iwe mizinga, jela na hata vifo; hata hao Walindi wanakaribia kuamka; bado wewe! RIGHT will triumph over MIGHT; SAUTI YA WATU NI SAUTI YA MUNGU: Mungu atasikiliza kilio cha watu, bila shaka uliona kilichojiri CDM SQUAREjumamosi iliyopita.
time is nigh; the writing is on the BIG SCREEN
 
Wewe unaongelea sehemu kuna japo bendera? Embu warudishie majibu kuwa Igunga haikuwa hata moja na sasa ukienda zimemea kama uyoga. kwataarifa yako wewe na wenzio muelewe hata huko Kaskazini kulikuwa na bendera za CCM na tukaingia. Tatizo la kutangaza matokeo hata mechi haijaanza huwa linaashiria woga na woga ukiukubali utashindwa kumkabili adui yako, nakushauri kajipange ujipropagandishe upya.

Yes... tell them wenye fikra mgando utawajua tu mi nikikumbuka Igunga na kugundua kuwa hakuna mahali tutaenda na tusifanye maajabu.
 
Vije Chama Kingine, sio Chadema cha Wakilimnjaro!! Mwaka 2010 Dr. Slaa hakuja Lindi..... Nikagundua hana mpango na sisi!!!!!
 
Nikitinga mitaa ya Mtanda, Jamhuri, Mitwelo, Kariakoo, Mikumbi, Mpilipili, Sabasaba; Manispaa ya Lindi imepambwa na bendera za CCM kukiwa na uchache wa bendera za Chadema. Wananchi wa Lindi wamesikika wakinena hawatadanganyika na kujiunga na chama cha Kaskazini, wao sio watu wa kufanywa wa mwisho. Hawatafanya kosa kuiacha CCM iliyoiunua maisha ya Lindi kuipitia sera nzuri mfano ujenzi wa barabara na mashule ya kumwaga.

Endelea kutoa udongo ndani ya shimo ili 2015 tuwafukie vizuri
 
Nikitinga mitaa ya Mtanda, Jamhuri, Mitwelo, Kariakoo, Mikumbi, Mpilipili, Sabasaba; Manispaa ya Lindi imepambwa na bendera za CCM kukiwa na uchache wa bendera za Chadema. Wananchi wa Lindi wamesikika wakinena hawatadanganyika na kujiunga na chama cha Kaskazini, wao sio watu wa kufanywa wa mwisho. Hawatafanya kosa kuiacha CCM iliyoiunua maisha ya Lindi kuipitia sera nzuri mfano ujenzi wa barabara na mashule ya kumwaga.

Kama kigezo na ushahidi ni namba ya bendera, basi wingi wake unawiana na umasikini
 
Propagaaaaanda, hivi wewe kweli unauelewa sahihi, hata Yesu alipokuja Duniani alikuja kwa ajili ya wakosefu na wenye dhambi, hakuja kwa ajili ya wasio na dhambi.CHADEMA wanaenda Mtwara na Lindi huku wakujua wazi kwamba nguvu yao kule ni ndogo hivyo wanaenda kujiimarisha kwa KUWAVUA MAGAMBA hao wenye bendera za NYINYIEM na KUWAVIKA MAGWANDA.Jaribu kuwa na fikra kabla hujapost humu kwani propaganda za mwaka 47 zimeshapitwa na wakati na haziwezi kufua dafu mbele ya hiki kizazi chenye uelewa wa kutosha.
 
Nikitinga mitaa ya Mtanda, Jamhuri, Mitwelo, Kariakoo, Mikumbi, Mpilipili, Sabasaba; Manispaa ya Lindi imepambwa na bendera za CCM kukiwa na uchache wa bendera za Chadema. Wananchi wa Lindi wamesikika wakinena hawatadanganyika na kujiunga na chama cha Kaskazini, wao sio watu wa kufanywa wa mwisho. Hawatafanya kosa kuiacha CCM iliyoiunua maisha ya Lindi kuipitia sera nzuri mfano ujenzi wa barabara na mashule ya kumwaga.

Mwisho wa Mchwa ni 2012.. Jitathmini tafadhali.
 
Nikitinga mitaa ya Mtanda, Jamhuri, Mitwelo, Kariakoo, Mikumbi, Mpilipili, Sabasaba; Manispaa ya Lindi imepambwa na bendera za CCM kukiwa na uchache wa bendera za Chadema. Wananchi wa Lindi wamesikika wakinena hawatadanganyika na kujiunga na chama cha Kaskazini, wao sio watu wa kufanywa wa mwisho. Hawatafanya kosa kuiacha CCM iliyoiunua maisha ya Lindi kuipitia sera nzuri mfano ujenzi wa barabara na mashule ya kumwaga.
inaelekea bila kutukanwa siku yako haikamiliki.
 
Nikitinga mitaa ya Mtanda, Jamhuri, Mitwelo, Kariakoo, Mikumbi, Mpilipili, Sabasaba; Manispaa ya Lindi imepambwa na bendera za CCM kukiwa na uchache wa bendera za Chadema. Wananchi wa Lindi wamesikika wakinena hawatadanganyika na kujiunga na chama cha Kaskazini, wao sio watu wa kufanywa wa mwisho. Hawatafanya kosa kuiacha CCM iliyoiunua maisha ya Lindi kuipitia sera nzuri mfano ujenzi wa barabara na mashule ya kumwaga.

Hivi mbunge wa maeneo hayo ni ccm au cuf?
 
Vije Chama Kingine, sio Chadema cha Wakilimnjaro!! Mwaka 2010 Dr. Slaa hakuja Lindi..... Nikagundua hana mpango na sisi!!!!!

kama haujui kitu kaa kimya kenge wewe. Kwa taarifa yako Dr.slaa alifika lindi na akafanya mkutano pale ilulu stadium. Usiwe unapotosha umaa kwanza lindi hatuna mtu punguani kama wewe
 
zamu ya lindi mbona bado tulia leo tuko Mtwara subiri na hapo tunakuja utauona mziki wake.
 
Nikitinga mitaa ya Mtanda, Jamhuri, Mitwelo, Kariakoo, Mikumbi, Mpilipili, Sabasaba; Manispaa ya Lindi imepambwa na bendera za CCM kukiwa na uchache wa bendera za Chadema. Wananchi wa Lindi wamesikika wakinena hawatadanganyika na kujiunga na chama cha Kaskazini, wao sio watu wa kufanywa wa mwisho. Hawatafanya kosa kuiacha CCM iliyoiunua maisha ya Lindi kuipitia sera nzuri mfano ujenzi wa barabara na mashule ya kumwaga.

Mafilili hafu ya nini?kwani hujui mtu hukifuta kifo chake yeye mwenyewe.Miaka zaidi ya hamsini hakuna mabadiliko mnategemea nini,mabadiliko ya kweli yataletwa na fikra endelevu na zenye mitazamo mipya.Tukiachana na propaganda tutafika mbali,wana Lindi wana shida zaidi za kimaisha kuliko hizo bendera unazozinadi.Wakati mwingine tuanzishe operation vua fikra mgando vaa fikra endelevu
 
magamba kazi kweli kweli ni aibu mtabadili style ya kuingi jamvini sisi tunasonga kila kukicha
 
Mimi nnachowasihi makamanda wa CHADEMA,wakomae nao kuwaelimisha wataelewa tu,kwani historia inaonyesha hata hizo sehemu ambazo wanakubalika leo walikuwa hawakubaliki hapo awali,cha muhimu ni kukaza buti ili wapambane hadi wawashinde maadui zao[MAFISADI WA CCM]
 
Nikitinga mitaa ya Mtanda, Jamhuri, Mitwelo, Kariakoo, Mikumbi, Mpilipili, Sabasaba; Manispaa ya Lindi imepambwa na bendera za CCM kukiwa na uchache wa bendera za Chadema. Wananchi wa Lindi wamesikika wakinena hawatadanganyika na kujiunga na chama cha Kaskazini, wao sio watu wa kufanywa wa mwisho. Hawatafanya kosa kuiacha CCM iliyoiunua maisha ya Lindi kuipitia sera nzuri mfano ujenzi wa barabara na mashule ya kumwaga.

Habari za 'wamesikika wakinena' huwa ni za kimbea.

CCM imeinua maisha ya Lindi?!!!! Au kuna Lindi mbili hapa Tanzania? Bila shaka wewe unawaletea kejeli sio bure. Kama pale walipo unathubutu kusema wameinuka, basi bila shaka walikuwa kaburini.

Sasa swali linakuja, CCM imewanyanyua baada ya kusahauliwa chini na nani?

Jambo moja nakuhakikishia; Kama Lindi kungekuwa na shule za kumwaga, basi ungeona bendera za CDM kila kona. Labda umeshindwa kujua tofauti ya SHULE na MAJENGO YA MADARASA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom