Vote for Mount Kilimanjaro to become among new 7 wonders

Status
Not open for further replies.
Mlima Kilimanjaro tayari unafahamika kwa jinsi ulivyo, acha Wakenya, Wasauzi na wengineo wapige kura zao. Chema chajiuza, kibaya cha jitembeza na waache wafu wazike wafu wao. Siyo mbaya ukiupigia kura japo hata ukishinda au ukishindwa ukweli uko pale pale.
 
Yaani nimesoma mchango ya wengi humu JF kweli nimejua wengi ni mataahira kama si machizi. Kuupigia mlima kili ni bure unaweza kupiga kupitia internet au simu, Bure. Halafu huo si kwa manufaa ya kikwete ni ya waTZ wote. wenzetu SA wanapiga kuwa za kufa mtu kwa ajili ya uli mlima wao wa table. lakini mitaahira ya bongo hata mlima wao hayataki.
kumbukeni hii itatusaidia mlima wetu kujulikana kuwa upo TZ na itakuwa faida za vizazi na vizazi.

Mimi nimepigia kura table mountain wa south africa angalia tukiongeza pato la south africa na sisi tutafaidi japo vingine kwa hela zetu wenyewe....
 
Hivi mwanamke kushika mimba baada ya kujamiiana kwenu ni jambo la kawaida?
Tupigieni kura na hilo basi...au mpaka wazungu waanzishe na baadae walete masharti yao ya kishoga?
Ndiyo maana wanatudharau.
Tupigie kura na ndoto za kigoma kuwa dubai.
 
What is so new about Kilimanjaro, it has been there for years , TTB hawafanyi lolote despite kuwa na mahela kibao ya kuchezea, hakuna brains ni ushenzi tu na ulaji,hivi mlima ukiingia huko inatusaidia nini watanzania, pinda anatuambia utalii utaongezeka kwa faida ya nani wakati kwanza hatuna miundo mbinu ya kuwapata wataishia kulipia kenya na kuja tanzania mpaka na chupa zao za maji, pili hata tukipata hiyo kodi inaishia kuliwa na viongozi to hell sipotezi vocha yangu kutuma message kokote imekula kwenu, kwanza hauona ajabu yoyote kama vilivyo hivy vivutio vingine huko kwa hiyo sitaki
 
mmh,ni ''AJABU'' kuyapigikia kura ''MAAJABU''
Maajabu ni vitu vya asili so mi sioni haja ati ya kup[igia kura hayo maajabu
huo ni mpango wa kukusanya fedha za watu tu...damn
 
Haya mambo mengine ni upuuzi tu au mbinu za kibiashara za hayo ma NGO, kwani hizo kura tukipiga zinakwenda pale Moshi kuongeza kitu kwenye huo mlima, kura haziwezi kuubadilisha mlima, mlima upo hivyo na sifa zake wakitaka wautambue au wasiutambue ila ukweli ni kuwa Kilimanjaro ni maajabu ya dunia. Badala kuyaambia mazungu yaache kuharibu mazingira na maviwanda yao ili kulinda barafu iliyopo pale juu tunakaa kujidanganya kupiga kura ili wazungu wauweke kwenye maajabu ya kijinga. Shenzi sana.
JAZBA BAADAYE MDAU. Onesha uzalendo kwanza kwa kupiga kura.
 
haya mengine tutayapigia lini
1; ziwa tanganyika
2; ngorongoro '
3; natron
4. selui
5; tanzanite
 
mmh,ni ''AJABU'' kuyapigikia kura ''MAAJABU''Maajabu ni vitu vya asili so mi sioni haja ati ya kup[igia kura hayo maajabuhuo ni mpango wa kukusanya fedha za watu tu...damn
tulizika uzalendo miaka 8 iliopita!!
 
labda tungewashawishi Wakenya nao wapige maana wanafaidika na Mlima Kilimajaro hata zaidi yetu :)
....mama yetu Mama Salma, (na mizengo pinnda) peleka tangazo lako kwenye TV za kenya pia
 
nimevisit hiho website ya 7wonders na naona hakuna lugha ya Kiswahili, sasa hizo sms zetu zinakuwaje!?
Pia hizo nchi tulizokuwa listed nazo mbona ni 'giants'? ....mi naona maajabu yanatokea naturally lakini nguvu ya hawa 'viumbe' wanaoitwa Watanzania na visms vyao hawana potential yoyote ya bubadilisha mambo. Cha msingi tukubaliane Kilimanjaro ni ajabu la dunia no matter we vote or no! Campaign za mama Salma na Pinda ni propaganada tu
 
Michosho tu. Hiyo kazi waifanye akina rostam na lowasa na wenzao ambao ni watanzania daraja la kwanza. Situmii cm yangu kwa ajili ya upuuzi.
 
one more question.

ni kura ya ndiyo au hapana kama enzi za mwalimu, au ni multiparty vote? na kama ni multiparty vote, je nani na nini wasifu wa washindani wa mlima kilimanjaro, nisome nijiridhishe ili niamue wa kumpigia kura yangu?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom