Vote for Mount Kilimanjaro to become among new 7 wonders

Status
Not open for further replies.
Hili suala la mlima Kilimanjaro limeendeshwa kitapeli zaidi. Kwanza watu tunaambiwa tuupigie mlima kura bila kuelimishwa ni kwa nini tunafikiri unapaswa kuwamo katika maajabu 7. Pili, sh. 300 zinazokatwa zinaenda kwa nani na kwa nini zinakatwa kimyakimya? Na je, hawajui kwa kutoza hela wanapunguza kura?
 
Ikiwa mwisho ni Tarehe 11 Novemba basi Mlima wetu umweshindwa, badala yake mlima Meza umeingia kwenye maajabu saba. Swali ni je ikiwa zoezi hili liliaza tangu mwaka 2009 mbona ni juzi tu ndio uhamasishaji umefanyika? zima moto itatutesa.
 
Mi nadhani huu ni uchakachuaji wa akili za watu, mlima kilimanjaro huwezi kuufananisha na mlima meza, hivi meza unasifa zipi? Hivi watu hawajui sifa za kilimanjaro mpaka ipigiwe kura? Tafuteni jinsi ya kutafuta fedha hapo mimi sidanganyiki.
 
Mlima umetoka kapa hahaha kama mamiss wetu waendavyo kushindana kidunia hii mada ifungwe ishafika Tamati Washindi weshatangazwa
 
Status
Not open for further replies.
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom