Vote for Mount Kilimanjaro to become among new 7 wonders

Status
Not open for further replies.
Mimi sipigi kura ng'o. Wapuuzi hao ..............ili iweje. Wanyama mbona wanaondoka bila hatua yoyote kuchukuliwa????
 
leo waziri wa utalii ni maige lakini si ajabu kesho na kesho kutwa ukawa wewe au mtoto wako au ndungu yako.
Narudia tena. Ambaye anakataa chance ya waziwazi kama hii hayuko mbali sana na utaahira na nashauri aanze kusogelea pale Dodoma karibu na mirembe kwani usafirishaji wa vijaa si kitu rahisi.
 
Yaani nimesoma mchango ya wengi humu JF kweli nimejua wengi ni mataahira kama si machizi. Kuupigia mlima kili ni bure unaweza kupiga kupitia internet au simu, Bure. Halafu huo si kwa manufaa ya kikwete ni ya waTZ wote. wenzetu SA wanapiga kuwa za kufa mtu kwa ajili ya uli mlima wao wa table. lakini mitaahira ya bongo hata mlima wao hayataki.
kumbukeni hii itatusaidia mlima wetu kujulikana kuwa upo TZ na itakuwa faida za vizazi na vizazi.

Wewe ndio TAAHIRA MKUBWA, wanaofaidika ni mafisadi na wakenya. MASHAVU YAKO!
 
Tuwe wazalendo wa Ukweli

Tuupigie kura Mlima Kilimanjaro ili uingie maajabu SABA (7 ) mapya ya Dunia

Ili kuupigia tuma Neno " KILI " kwenda 15771

kwanza kabla ya kuupigia kura ninahaki na sababu ya kuhoji hiyo pesa ninayokatwa baada ya kutuma hiyo sms inakwenda kwa nani?
 
Zimebaki siku nne tu kwa fursa ya kupiga kura kufungwa. Pia unaweza kupiga kura yako online kwa kufungua linki hii hapa chini:

Vote | New7Wonders of Nature

Mkitaka tuonyeshe uzalendo kwanza mwambie rais wenu atuambie kwaninini Tanzania maskini. Ashasema akiwa ziarani Ufaransa kuwa hajui kwanini Tanzania ni maskini. Akitujibu hivyo basi atuambie Mt.Kilimanjaro ukiingia katika maajabu hayo ya ulimwengu je tutafaidi nini? Kama ni watalii tutafaidi nini na mapato yatokanayo na watalii?

Maoni yetu tukiyatoa yakatofautiana na ya wao tunapewa majina ya kejeli-wahuni, wahaini, wapinzani, wanaharakati na mengine yote kana kwamba hatuna jema tunaweza kuchangia. Sasa kwa nini ktk hili uamuzi wa Watanzania bila kujali tofauti zetu wanauhitaji. Sipigi kura na ningeomba wazalendo wa kweli wasipige kura hatuna cha kufaidi maana huu ni mradi wa wenye simu pamoja watawala wetu wanyonyaji
 
dili la sms hizo.
Kama sms 1 ita cost sh.150 ukatoa sh. 58 unabakiwa na 92 ukizidisha mara watu milioni 3 kwa siku mara siku 20 huoni ni utajiri wa kutupwa?

ndugu,sms zote ni bure toka jana. Hautotozwa chochote. Tuma uonyeshe uzalendo kwa mlima kilimanjaro ambao ni mali ya nchi yako tanzania,wala si wa kenya!.
 
Yaani nimesoma mchango ya wengi humu JF kweli nimejua wengi ni mataahira kama si machizi. Kuupigia mlima kili ni bure unaweza kupiga kupitia internet au simu, Bure. Halafu huo si kwa manufaa ya kikwete ni ya waTZ wote. wenzetu SA wanapiga kuwa za kufa mtu kwa ajili ya uli mlima wao wa table. lakini mitaahira ya bongo hata mlima wao hayataki. kumbukeni hii itatusaidia mlima wetu kujulikana kuwa upo TZ na itakuwa faida za vizazi na vizazi.
huwezi mlazimisha punda kunywa maji acha utaahira wako.
 
Tumpigie kura Jakaya Kikwete ili aingie maajabu SABA (7 ) mapya ya Dunia
Ili kumpigia tuma Neno " JK " kwenda 15771

Hata kama sms ni 5000/- ningepiga
 
jamani tupigeni kura kuwaondoa wezi waliokuja kuiba madini na rasilimali zetu kwa kigezo cha uwekezaji. Kura 1 ni elf 10, mi nimepiga 5 wewe umepiga ngapi??
 
Tuheshimuni mipaka ya majukwaa ndani ya JF, nafkriri hii haipaswi kuwa kwenye jukwaa la siasa, MODS!
 
nikiupigia itasaidia nini? ada ya watoto itapungua? vyakula vitashuka bei? shilingi itaongezeka dhamani? sukari na huduma muhimu zitafika rombo ambapo ndipo penye chanzo cha hio kilimanjaro? jk atajiuzulu? sidanganyiki kuwatengenezea mafisadi mchongo wa hela

Zimebaki siku nne tu kwa fursa ya kupiga kura kufungwa. Pia unaweza kupiga kura yako online kwa kufungua linki hii hapa chini:

Vote | New7Wonders of Nature
 
nilikuwa sijui kama una upeo mdogo hivi wakufikiria. Wewe unafikiri hawa mafisadi watakaa milele?
Jamani acheni kufanya mzaa kwenye mambo serious yanayohusu taifa. Tuma neno kilimanjaro kwenda 15771 BURE. Hutotozwa hata senti moja.
Kwann unalazimisha? Piga wewe kimya kimya au na wewe ndo mmoja wao nini? Maajabu yanakuja naturally na siyo kwa kupigiwa kura.
 
Yaani nimesoma mchango ya wengi humu JF kweli nimejua wengi ni mataahira kama si machizi. Kuupigia mlima kili ni bure unaweza kupiga kupitia internet au simu, Bure. Halafu huo si kwa manufaa ya kikwete ni ya waTZ wote. wenzetu SA wanapiga kuwa za kufa mtu kwa ajili ya uli mlima wao wa table. lakini mitaahira ya bongo hata mlima wao hayataki.
kumbukeni hii itatusaidia mlima wetu kujulikana kuwa upo TZ na itakuwa faida za vizazi na vizazi.

Taahira ni wewe na kizazi chako,peleka upuuzi wako kwa familia yako,shame on you!
 
leo waziri wa utalii ni maige lakini si ajabu kesho na kesho kutwa ukawa wewe au mtoto wako au ndungu yako.
Narudia tena. Ambaye anakataa chance ya waziwazi kama hii hayuko mbali sana na utaahira na nashauri aanze kusogelea pale Dodoma karibu na mirembe kwani usafirishaji wa vijaa si kitu rahisi.

Akili yako imefanana na kingwendu,sasa nikiwa waziri wa utalii so what? Yani wewe upo kimaslahi binasfi na ndo hayo si hatutaki,hata ingekuwa ukipiga unatumiwa vocha ya buku 10 nisingetuma,kama mbwai mbwai piga wewe na matahahira wenzako sie tulioelimika hatuwezi piga,nakuuliza kwani ngorongoro craters uliipigia kura?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom