Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)



naomba kufahamisha viwango(tarriffs) vya makato unaponunua vitu online kupitia vodacoma mastercard.
 
Nyie vodacom hayo ma meseji yenu sjui mnada poa, pesa ni mpesa, songesha na uchafua kama huo hamuwezi kusitisha?



"Not everything is for everybody"
 
VODACOM KILA MUNAPUNGUZA MB ZA KILA BAADA YA KIPINDI. MULIANZA 3GB kwa buku 3000 NOW NI GB2 kwa wiki. Sio poa munatuibia
 
Hapo awali M-PESA ilikuwa ni kampuni iliyo anziasha au kubudi mobile money payment hapa East Africa, ili iweze kufanya kazi ndio ikaingia partnership na vodacom Tanzania & SafariCom Kenya.... kwasasa sijui kama wameshakuwa kitu kimoja au bado wako na partnership....

Tofauti na tigo Pesa & Airtel money, hizo zinamilikiwa na makampuni husika ya simu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…