voda mmetupa somo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

voda mmetupa somo

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Parata, Apr 29, 2012.

 1. Parata

  Parata JF-Expert Member

  #1
  Apr 29, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 3,119
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  kwa vodacom kufunga proxy wametupa somo kubwa kuwa tusianike mambo yetu hadharani sana maana kuna watu humu wanajifanya hawajui kumbe ni maspai jamani kweli TZ kuna mambo tuwe makini wataalamu
   
 2. Msamiati

  Msamiati R I P

  #2
  May 2, 2012
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 1,076
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 0
  Aaaaaaaaaaaaaaaaaaaameeeeeen:A S-fire1:
   
 3. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #3
  May 2, 2012
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,668
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Mmependa vya bure sana ndo sababu sasa mnalalamika. Kama nyie ni hackers wa ukweli endelea kuumiza kichwa ili tu upate vya bure
   
 4. c

  chrisnyoni Member

  #4
  May 2, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hee kumbe wamefunga yaan toka jana nahangaika nikajua ni net work kumbe duh, sasa ntafanyaje jamani no muv dowloading tena? Basi tuhame mtandao mwingine kama tigo au airtel, au mnasemaje wakandalasi?
   
 5. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #5
  May 2, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,150
  Likes Received: 2,472
  Trophy Points: 280
  kama vipi tuhame tu..
   
 6. Mwakalinga Y. R

  Mwakalinga Y. R Tanzanite Member

  #6
  May 2, 2012
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 2,718
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  du! Noumer kweli ...ila nawaamini vijana wangu humu watakuja na mbinu mbadala
   
 7. kejof2

  kejof2 JF-Expert Member

  #7
  May 3, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 1,722
  Likes Received: 349
  Trophy Points: 180
  zshapatikana nyie bado mnapga kelele 2
   
 8. khalfan56

  khalfan56 JF-Expert Member

  #8
  May 3, 2012
  Joined: Mar 29, 2012
  Messages: 648
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 45
  Oya washtue washikaji kwamba kuna njia nimeipata ya free internet chakufanya ingia katika Tech,Gadgets and Science Forums
  Kisha shuka chini kabisa kwenye page utaona kuna comment za Khalfan56 Kuhusu Free internet follow the steps below
  in his Comment page
   
 9. khalfan56

  khalfan56 JF-Expert Member

  #9
  May 3, 2012
  Joined: Mar 29, 2012
  Messages: 648
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 45
  Oya wastue washikaji kwamba kuna njia nimeipa ya free internet chakufanya ingia katika Tech,Gadgets and Science Forums
  Kisha shuka chini kabisa kwenye page utaona kuna comment za Khalfan56 Kuhusu Free internet follow the steps below
  in his Comment page
   
 10. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #10
  May 3, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 2,002
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  Hamna kitu hapo
   
 11. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #11
  May 3, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  hilo ni somo kwa wapenda bure au wapenda mambo yao kuwa ya siri maana sijaelewe somo la kufunga proxy zetu?

  siku zote walikuwa wapi kuifunga hizo proxy zisionekane au ndio mbwembwe tu ngoja tuone wataishia wapi..:A S-key:
   
 12. Cestus

  Cestus JF-Expert Member

  #12
  May 4, 2012
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 1,000
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Endeleen kuropoka hovyo tu kwan voda hawawez mtumia PM wakampa hyo hela. Mkifungiwa mnaanza anzisha thread hovyo. Noobs...we kama unamjua anaekupa net ya bure piga kimya no need to preach.
   
 13. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #13
  May 4, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,458
  Trophy Points: 280
  Si ww hapo mwenyewe unayependa upewe bure lakini vyako wauza
   
 14. dottoz

  dottoz JF-Expert Member

  #14
  May 4, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 805
  Likes Received: 317
  Trophy Points: 80
  Kwa kwel voda wame2pa xomo kwa hl.
  But kwa mie mpaka xaxa na2mia internet bure kwa ku2mi proxy nyngne ambayo voda hawajaijua mpaka xaxa na hyo nimejuzwa na ndugu yangu wa damu anayefanya kaz voda kama Network administrator.
  Na akaxema nisi expoz mbele ya umati ambapo inaweza ikapelekea na yenyewe kufungiwa.
  OVER.KWA HLI VODA BADO HAWAJAWEZA KABISA.
  Kwa m2 anayehtaj anitafute
  Chuon,ST.JOSEPH COLLEGE OF ENGINEERING AND TECHNOLOGY.
  OVER.
   
 15. Cestus

  Cestus JF-Expert Member

  #15
  May 4, 2012
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 1,000
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Ushajiexpose mwenyewe sasa **** ww!! Utakuja ufukuzishe watu kazi zao..sasa unafikiri wanashindwa kuja kukubeba hapo mkuku
   
 16. dottoz

  dottoz JF-Expert Member

  #16
  May 4, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 805
  Likes Received: 317
  Trophy Points: 80
  mkuu,hapo watakuwa wanajisumbua 2 hawa voda,
  xawa watakuja chuon je? Watanijua jina langu?
  Hapa mwenyewe co jna langu hli so dey cant do dat.
   
 17. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #17
  May 4, 2012
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Duh kumbe imeshasamba fasta hapo chuoni kwenu hehe!!!
   
 18. dottoz

  dottoz JF-Expert Member

  #18
  May 4, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 805
  Likes Received: 317
  Trophy Points: 80
  hapa full lakn ni siri kubwa xana kat yangu na jamaa zangu wa hapa chuo,
  but wote 2liopata hii ni watalaam wa computer science na ma IT wa st.joxeph kwahyo full,2po na wahnd tena watalaam na TECHNOLOGY.
  Hahahahahaha najivunia kuwa st.joxeph.
   
 19. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #19
  May 4, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,808
  Likes Received: 7,130
  Trophy Points: 280
  dah msidanganyane voda hawajafunga proxy kama mnavodhani wala hii trick haijaharibiwa na voda saa hizi wamekunja nne hata hawajui mnaloongea mnaleta uvumi tu.

  Ishu ipo hivi waliofunga ni facebook ambao wameblock site yao ya 0.facebook.com isitumike na proxy maana mpaka leo ukiingia 0.facebook.com bila proxy unatumia bure

  Nchi kama india ambao walikua wanatumia trick kama yetu ya proxy na site ya bure ya facebook imeacha kama sisi tena siku moja. Je ni coincidence kuacha sku moja?

  Msiwape credit voda wapo wapo tu wale
   
 20. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #20
  May 4, 2012
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Mkuu haifunguki bure na kule India sio kwamba imetokea 0.facebook wameblock proxy bali Airtel yao haitoi tena service za 0.facebook bure. Chk fresh kama line yako ya voda ikiwa haina hela kama inafungua 0.facebook. But ukiweka credit inafunguka bt credit inalika nimetest mara kibao mpaka na apn na settings za voda wap but 0.facebook haifunguki bure
   
Loading...