Utaratibu kununua vocha za TTCL ni kero; Unalipia Benki baada ya kupewa control number

Malipo yote ya serikali yanafanyika kwa control number labda ungeenda kwenye maduka ya kawaida ndo unapata bila control number
 
Hiyo ndio namna wanavyohujumu mali ya umma. Lengo hapo pesa ingieni kwenye mfuko binafsi kama hutaki hasara kwa shirika, mhudumu mshahara uko pale pale.

Niliwahi kuingia mkenge pale, nikanunua MODEM yao moja matata sana ukiiangalia kwa macho, lakini ni bomu kweli kweli. Ninayo hadi leo lakini ufanisi ni zero.

Baada ya kufanya malipo niliambiwa mtandao unasumbua hivyo kama Nataka risiti nirudi kesho yake, au sivyo nirudishiwe pesa nikanunue MODEM kwingine. Shirika la umma hili!!🤔🧐
 
Nilienda kununua vocha ya shs 5,000.00 pale Telephone House, ile natoa pesa naambiwa nipewe control numbernukalipie benki.

Jamani hii ni biashara au huduma na huku wanadai rudi nyumbani kumenoga.

Hebu wajirekebishe.
Hiyo ni vocha fikiria kwenye matibabu kimbembe kitakuwaje
 
Jumatatu tarehe 26 Julai, 2021 nilipitia Telephone House kutaka vocha ya shs 5,000/= nikaambiwa nipewe control number nikalipie benki au kwa wakalaniliamua kuondoka nawaza kuhama kabisa mtandao huu wa "Rudi nyumbani Kumenoga"
 
Nilienda kununua vocha ya shs 5,000.00 pale Telephone House, ile natoa pesa naambiwa nipewe control number nikalipie benki.

Jamani hii ni biashara au huduma na huku wanadai rudi nyumbani kumenoga.

Hebu wajirekebishe.
Rudi ulikotoka mkuu!
 
Hivi ulishawahi kupiga namba yao ya huduma kwa wateja?
 
Back
Top Bottom