VoA: Lissu aomba Rais Magufuli kufanya maridhiano na wapinzani wake

Mada chonganishi hizi, vile una bahati mods hawafuti uzi kama hizi kwa watu kama wewe.

😔 Wenzako wanaanzisha zinakula kufuri.
 
Kwa vile VOA ni interactive, next time, ukiweka anything on VOA, weka na links ili na sisi tuweze kusikia wenyewe kwa masikio yetu na sio kutuletea matango pori kutaka kutulisha ukidhani tutafakamia na kukimbilia kubugia tuu

Kwenye Website ya VOA story ya Lissu iliyopo ni hii tuu


Hivyo hii story ya mleta mada huyu, hili linaweza kuwa ni tango pori!.

P
 
Kaanza interview ya kazi aliyoahidiwa uyo ni suala la muda tu acha Mbowe asusie kupelekea Wabunge viti maalum akose hata iyo ruzuku
 
Msimamo huo haukuanza leo. Ni msimamo wa chama ... kumbukeni zile sherehe za siku ya uhuru zilofanyika Mwanza na kuhudhuriwa na uongozi wa CHADEMA. Msimamo wa ulikua ni huo huo wa MARIDHIANO NA UMOJA wa kitaifa. Hili sio jipya
 
Back
Top Bottom